Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 655
- 1,288
agiza nakuja kulipaSiku Nikilewa Ntamtaja Hadharani
agiza nakuja kulipaSiku Nikilewa Ntamtaja Hadharani
Kila la kheri kwake
Hongera sana.Nilihisi Duniani Nimeona Vyote kumbe Nimeona Vingi Na Si Vyote,Kuna Mdada Humu JF Kaitisha Maandamano ya Hisia zangu Moyoni Mwangu Juu Yake,
Macho Yangu Yamemlasimisha Hakuna kama Yeye Ana Shape Namba F na Tabasamu La Mwaka Wa Mbele Na Hakika Wanaosema Hamisa Mobetto Ni Mrembo Hawajawahi Kumuona Yeye Siku wakimuona Watazikana Kauli Zao,
TRA wakianzisha Kodi Ya Kulipia Kushuhudia Tanzania Ilivyobarikiwa Wanawake Warembo Hakika Kila Mwaka Ntalipia Kodi Bila Gagaziko Niendelee Kuwa Shuhuda Wa Jinsi alivyopendelewa Kuumbwa,Bila Kuvunja Sheria.
AMA KWELI PENZI KITOVU CHA UZEMBE
Sio Kila mtu.ID FAKE AVATAR FACE
Mpaka Weekend Sahivi Ni katikati ya Week Mda wa Kazi.agiza nakuja kulipa
Mbona Kama Unanicheka kwa Kusikitika Mkuu?😂😂kila la kheri
DaahTamaa hizo.
Sawa..!Sio Kila mtu.
Kama hujaikosea serikali na hudaiwi unakuwa na kipi Cha kuficha.
😀😀😀 Wamekuaje?Vijana bwana!
😀😀😀 Mapema Yote hii?Hongera sana.
Mhudumie vizuri
Sasa usipomhudumia atakukimbia mapema.😀😀😀 Mapema Yote hii?
Daah Mtego Huo Utaanzaje Kumuhudumia Crush,Wakati Hajajua Kama Unampenda Na Hampo kwenye Mahusiano😀😀😀Sasa usipomhudumia atakukimbia mapema.
Ni Muhimu,Ila Sio Lazima.Sio Kila mtu.
Kama hujaikosea serikali na hudaiwi unakuwa na kipi Cha kuficha.
Umeona ee.Ni Muhimu,Ila Sio Lazima.
Mtu anaeshauri Usitumie ID Fake Na Yeye Ana ID Fake😀😀😀Umeona ee.