Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 529
- 1,049
Nilihisi Duniani Nimeona Vyote kumbe Nimeona Vingi Na Si Vyote,Kuna Mdada Humu JF Kaitisha Maandamano ya Hisia zangu Moyoni Juu Yake,
Macho Yangu Yamemlasimisha Hakuna kama Yeye Ana Shape Namba F na Tabasamu La Mwaka Wa Mbele Na Hakika Wanaosema Hamisa Mobetto Ni Mrembo Hawajawahi Kumuona Yeye Siku wakimuona Watazikana Kauli Zao,
TRA wakianzisha Kodi Ya Kulipia Kuwa Shuhuda Wa Jinsi Tanzania Ilivyobarikiwa Wanawake Warembo Hakika Kila Mwaka Ntalipia Kodi Bila Gagaziko Niendelee Kuwa Shuhuda Wa Jinsi alivyopendelewa Kuumbwa,Bila Kuvunja Sheria.
AMA KWELI PENZI KITOVU CHA UZEMBE