Pafyum
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 211
- 113
Watu wengne wanapenda sifa, au unaona ujiko kupendwa? wew kama ulijijua una mke uliamua kukutana physically ya nn? au umekuta halipi ndo unaanza kutuzingua? Jiheshim bana, mbona wengne tunapendwa sna bt tunakausha tu, we utakuwa unasoma Form three shule ya kata