Mdada huyu ananisumbua

Mdada huyu ananisumbua

Ha ha ha sijacheka kitambo sana duh.
 
Mamaz-boy wengine bana can't avoid ther nature




Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kilichokufanya ukamwone nini? Umemwacha mkeo kuhangaika barabarani
Tena na foleni hizi za Dar? Huyu kweli anawapima akili WanaJF. Mi namshauri huyu jamaa anitumie namba za huyo bidada mi nionane naye naamini atanipenda na kuniganda na hatimaye nikamuondolea huo usumbufu anaousema na pia nitasuuza roho ya huyo bidada anayeonekana kuwa yu mpweke. Asipotuma hiyo namba basi mjue huyu jamaa anajishaua tu, hana lolote na hivyo huu uzi ufungwe na ukatupwe kwenye dustbin!
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmh uyo hatakuwa mubaya tuuu ulitaka kumwona ili iweje wakati unaye mkeeeee......umebip yy kapigaa pokea tuuuuuuuuuuuuu unaogopaaa nn?kumbuka ndoa na iheshimiweeeeeeeee na watu wote kwan ni zawad toka kwa mola
 
kwa type yako sidhani kama kuna kiumbe wa kukung'ang'ania wewe.....km umetunga unajidhalilisha mwenyewe ,hala acha PM iwe PM mkuu.............mwendo ni kumalizana humo humo privately
 
kwa type yako sidhani kama kuna kiumbe wa kukung'ang'ania wewe.....km umetunga unajidhalilisha mwenyewe ,hala acha PM iwe PM mkuu.............mwendo ni kumalizana humo humo privately

si ndo hapo! Watu waache kumang'ang'ania asakuta same! Ligentleman la nguvu! Lol.
Habari ya wewe?
 
si ndo hapo! Watu waache kumang'ang'ania asakuta same! Ligentleman la nguvu! Lol.
Habari ya wewe?

ha ha ha ha ha! thread zingine mpaka kizunguzungu ,hata unapotaka kuipotezea akili haikubali inakubidi uikemee.
hawa ndiyo wale enzi zetu za ujana akipewa salamu tu na kina[MENTION]husninyo[/MENTION] basi anakuja kijiweni kujitapa ameshakuwa mpenzi wake.
mimi nipo poa ,miss you best.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom