Unajua nini kaka? hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume coz lazima mtu kati yao atapata hisia flani mwanzoni au baadae wakati wa upweke... Mueleze huyo dada.. na i think hata mkeo akiongea nae it will be better kama mkeo hana wivu sana. Wanawake kuacha kumpenda mvulana ni decision yetu.. na hata kama kuambiwa hatupendwi au kutukanwa... inaweza tokea bado tunampenda huyo mwanaume..
Mpotezee after kumwabia.. akikupigia usipokee yaani make sure unamchunia until message izame akilini.. Ila kumbuka kumtaarifu mkeo coz wanawake hupenda fitna. anaweza kukuzushia anything. all d best. :glasses-nerdy:
habarini za jioni. Ninaomba niwakilishe hii wakuu! Kuna dada mmoja hapa jamii forum ananisumbua sana jamani. Tulifahamia humu humu. Tukawa tunachati. Kwa kuwa wote tunaishi dar. Tukapanga kuonana kama marafiki wa kawaida tu. Tulipoonana nilimfahamisha zaidi kuhusu mimi kuwa nimeoa na ni na familia. Kuanzia anione ndiyo imekuwa matatizo. Meseji kila leo. Eti anasema ananipenda sana. Nikimkumbusha kuwa nimeoa ananiambia yupo tayari hata kuwa kimada. Eti anasema nausumbua moyo wake kwani tangu aliponoona anaona kuwa mimi ningemfaa hata kama nimeoa. Kihakika huyo mdada ni mzuri. Sipendi kutaja jina maana ni mtu maalufu sana hapa jf. Kwa kweli ameniganda kwelikweli. Nifanyenyeje jamani. Naomba ushauri.
Habarini za jioni. Ninaomba niwakilishe hii wakuu! Kuna dada mmoja hapa jamii forum ananisumbua sana jamani. Tulifahamia humu humu. Tukawa tunachati. Kwa kuwa wote tunaishi Dar. Tukapanga kuonana kama marafiki wa kawaida tu. Tulipoonana nilimfahamisha zaidi kuhusu mimi kuwa nimeoa na ni na familia. Kuanzia anione ndiyo imekuwa matatizo. Meseji kila leo. Eti anasema ananipenda sana. Nikimkumbusha kuwa nimeoa ananiambia yupo tayari hata kuwa kimada. Eti anasema nausumbua moyo wake kwani tangu aliponoona anaona kuwa mimi ningemfaa hata kama nimeoa. Kihakika huyo mdada ni mzuri. Sipendi kutaja jina maana ni mtu maalufu sana hapa JF. Kwa kweli ameniganda kwelikweli. Nifanyenyeje jamani. Naomba ushauri.

this is childish now...
jiheshimu basi....na waheshimu watu hapa
weather ni true au umetunga....ni 'upumbavu mtupu kuja na thread hii'