Mdada huyu ananisumbua

Mdada huyu ananisumbua

Yezakuwa ni kweli jamaaa anasumbuliwa,na yezakuwa mrembo kafall......ila jamaa imekwenda damn low,because a gentlemen dont expose such things,he just sort them out by himself gently!
Hapo kwenye Red nakuunga mikono na miguu yote miwili, huyu atakuwa hajakamilika kuwa mwanaume, ni mwanaume suruali, kama unashindwa kusolve issue zako mwenyewe unaleta hapa Jamvini , its Hopeless kabisaaaaaaaaaa!

Na ungekuwa mwanagu, au ndugu yangu ningekutia bakora takatifu, Kwa sababu mwanaume wa kiafrika lazima uweze kujikwamua katika magumu na mepesi, na siyo kuja kulia lia hapa JF.
 
Eberhard heri ya mwaka mushasha!

Unataka tukupie mstari katika majibu yako!
Au unaogopa umaarufu wake katika JF!

Iv qanza ni nani, Smile, Erotica, amu au MadameX
Bila kujali umaarufu wake wewe pigia mstari mawazo yako ya kimaluuni.

Bazazi!

nitue babu wewe nina wanaume 6 mabuzi ya ukweli 8.
Nafasi zimejaa and for ur information i dont entertain pms.
Mlengwa wote mnamjua ila kumtag ha ha ha munaogopa ha ha ha.
 
Last edited by a moderator:
Huyu huyu Good Guy nnaemjua mie ndo unamuita huku MMU!!!!
haezi kuja, nipe tu ujumbe nimpelekee........

hahah wewe kwa nn nicfike huku bna, me sifikaki jukwaa 1 tu, lile jukwaa chafu la kule chini kabsa :evil: ! kwingine huku nipo chini chini 2 kama spy salt.
 
Mtoa mada,nakushauri rudi pm muombe radhi huyo dada,kama hujui visasi vya wanawake utajifunza hapa,atakutenda kitu mbaya utajuta milele
 
Habarini za jioni. Ninaomba niwakilishe hii wakuu! Kuna dada mmoja hapa jamii forum ananisumbua sana jamani. Tulifahamia humu humu. Tukawa tunachati. Kwa kuwa wote tunaishi Dar. Tukapanga kuonana kama marafiki wa kawaida tu. Tulipoonana nilimfahamisha zaidi kuhusu mimi kuwa nimeoa na ni na familia. Kuanzia anione ndiyo imekuwa matatizo. Meseji kila leo. Eti anasema ananipenda sana. Nikimkumbusha kuwa nimeoa ananiambia yupo tayari hata kuwa kimada. Eti anasema nausumbua moyo wake kwani tangu aliponoona anaona kuwa mimi ningemfaa hata kama nimeoa. Kihakika huyo mdada ni mzuri. Sipendi kutaja jina maana ni mtu maalufu sana hapa JF. Kwa kweli ameniganda kwelikweli. Nifanyenyeje jamani. Naomba ushauri.

GO HOME, YOU'RE DRuNK!
 
lala shost. mi hapa sina usingizi. nimekumbatia midoli weee hadi nimechoka ila wapi!! nimeona niingie jf nikumbatiane na vivuli. lol
Cheki huyu! Kwa hiyo kwa nini unakumbatia midoli!? Mwambie rafiki yako asirudie tabia yake kwani sitamvumilia tena. Mambo yote yatawekwa adharani.
 
nitue babu wewe

amu!
Nikutue vipi ilhali sijakubeba?
Shida yangu ni kumsaidia maaluni mwenzako;
Sihitaji PM qa DEMu qangu ni ana qa ana;
Na qa mtaji huu nitakutafuta bila kujali hali, hadhi na muda.

Bazazi!

Last edited by a moderator:
Wewe acha uwongo.Labda "mmeshapandana" sasa humtaki au kakunyima 'round about' kama mliweza kupanga kuonana wazi ulijua nini kingefuatia.Ya uwongo hii.:shut-mouth:
 
Habarini za jioni. Ninaomba niwakilishe hii wakuu! Kuna dada mmoja hapa jamii forum ananisumbua sana jamani. Tulifahamia humu humu. Tukawa tunachati. Kwa kuwa wote tunaishi Dar. Tukapanga kuonana kama marafiki wa kawaida tu. Tulipoonana nilimfahamisha zaidi kuhusu mimi kuwa nimeoa na ni na familia. Kuanzia anione ndiyo imekuwa matatizo. Meseji kila leo. Eti anasema ananipenda sana. Nikimkumbusha kuwa nimeoa ananiambia yupo tayari hata kuwa kimada. Eti anasema nausumbua moyo wake kwani tangu aliponoona anaona kuwa mimi ningemfaa hata kama nimeoa. Kihakika huyo mdada ni mzuri. Sipendi kutaja jina maana ni mtu maalufu sana hapa JF. Kwa kweli ameniganda kwelikweli. Nifanyenyeje jamani. Naomba ushauri.

lazima atakuwa .........niunganishe jamaa angu!!!!
 
huyu lazima mburula...yan unabahati hapa kuna ban mbona ungekoma!!mwanaume mzma kuja kutueleza sisi mambo yako huko ulikokuwa ukitongoza ndo nini sasa??wenzio hawasemagi wanakaa kimya ndo uanaume huo.anakusumbua kwann na wewe usimsumbue??ndo hawa wanaume chipsi mayai njoo tukusute hapa.eti utaweka hadharan haya weka basi uone kama kuna mtu atakufa???naniliu weee na mkeo kapata hasara sana yan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom