punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Hiki kisa kiwe cha uongo au kweli....Kwa wewe kutaja tu kuwa ni mzuri sana na hlf ni maarufu sana hapa, lazima atatetewa, na wewe utakashifiwa balaa! Hapa ghafla ni sehemu ya watu-malaika, hawawezi kuwa na tabia za hivyo! Hata kama huwa tunaona matusi na mambo ya ajabu humu kumbe wote hapa ni wasafi! Kuna kashfa humu zitatokana na wivu (wewe umewezaje kuwasiliana na mtu maarufu humu na kuonana naye na sasa anakutamani), nyingine ni kumtetea 'mtu maarufu' humu japo hajulikani nk... Humu hakuna wanafiki, mafisadi, waongo, matapeli wa mapenzi, hakuna wezi, wavivu, washirikina na wafananao na hao! So koma kabisa usituchafulie watu wetu... tena maarufu! Usirudie.