Mdada huyu ananisumbua

Mdada huyu ananisumbua

Muongo tu huyu anataka kuwadhalilisha dada zetu humu JF siamini hicho kitu hata kidogo
Mtu yoyote anayeingia humu ni mstaarabu, na muelewa kwani kusurf humu ni gharama licha ya kupoteza muda na kuna vitu vingi vya kuelimisha, sasa mdada wa watu hajakutana na watu mpaka ndani ya JF
Haya mambo yapo Facebook sio JF
Mkuu Facebook na JF are just media watu ni walewale, suala hapa ni tabia za watu na sio media mkuu. Natumaini umenipata
 
Kuna uwezekano hujaoa na kama umeoa basi ulikuwa hujajiandaa kifikra kuwa mume wa mwanamke. Haya yanajidhihirisha kwenye post yako ya kwanza ya uzi huu
 
Dah! Nina miezi mitatu tangu niperuzi page za MMU kwa mara ya mwisho,i missed you MMU.
 
Habarini za jioni. Ninaomba niwakilishe hii wakuu! Kuna dada mmoja hapa jamii forum ananisumbua sana jamani. Tulifahamia humu humu. Tukawa tunachati. Kwa kuwa wote tunaishi Dar. Tukapanga kuonana kama marafiki wa kawaida tu. Tulipoonana nilimfahamisha zaidi kuhusu mimi kuwa nimeoa na ni na familia. Kuanzia anione ndiyo imekuwa matatizo. Meseji kila leo. Eti anasema ananipenda sana. Nikimkumbusha kuwa nimeoa ananiambia yupo tayari hata kuwa kimada. Eti anasema nausumbua moyo wake kwani tangu aliponoona anaona kuwa mimi ningemfaa hata kama nimeoa. Kihakika huyo mdada ni mzuri. Sipendi kutaja jina maana ni mtu maalufu sana hapa JF. Kwa kweli ameniganda kwelikweli. Nifanyenyeje jamani. Naomba ushauri.

Bloodbagamoyo,mpuuzi mbona hukuanza kuomba ushauri kwa mkeo kwanza kabla ya kuileta hii thread hapa
 
Mmmmm sio Smile huyo jamani nimemmiss huyu mtu yupo wapi ati?
 
Last edited by a moderator:
Habarini za jioni. Ninaomba niwakilishe hii wakuu! Kuna dada mmoja hapa jamii forum ananisumbua sana jamani. Tulifahamia humu humu. Tukawa tunachati. Kwa kuwa wote tunaishi Dar. Tukapanga kuonana kama marafiki wa kawaida tu. Tulipoonana nilimfahamisha zaidi kuhusu mimi kuwa nimeoa na ni na familia. Kuanzia anione ndiyo imekuwa matatizo. Meseji kila leo. Eti anasema ananipenda sana. Nikimkumbusha kuwa nimeoa ananiambia yupo tayari hata kuwa kimada. Eti anasema nausumbua moyo wake kwani tangu aliponoona anaona kuwa mimi ningemfaa hata kama nimeoa. Kihakika huyo mdada ni mzuri. Sipendi kutaja jina maana ni mtu maalufu sana hapa JF. Kwa kweli ameniganda kwelikweli. Nifanyenyeje jamani. Naomba ushauri.
kwa hiyo wewe ndo Super Handsome ama vipi? baada ya kuonwa tu umegandwa halafu umesema mdada huyu...nani sasa? si utaje? we wa wapi bhana...enh...
 
Kihakika huyo mdada ni mzuri. Sipendi kutaja jina maana ni mtu maalufu sana hapa JF. Kwa kweli ameniganda kwelikweli. Nifanyenyeje jamani. Naomba ushauri.
Eberhard heri ya mwaka mushasha!

Unataka tukupie mstari katika majibu yako!
Au unaogopa umaarufu wake katika JF!

Iv qanza ni nani, Smile, Erotica, amu au MadameX
Bila kujali umaarufu wake wewe pigia mstari mawazo yako ya kimaluuni.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Facebook na JF are just media watu ni walewale, suala hapa ni tabia za watu na sio media mkuu. Natumaini umenipata

jf is for Great thinkers and Facebook is for everyone..........hebu Evelyn Salt ,kongosho ,kaunga ,the boss, Nyani Ngabu, gfsonwin,aspirin ,madame b, Good Guy slave, Ukwaju, bishnga ,ukwaji et ol njooni kipande hii mtoe somo la tofauti ya jf na fb
 
Last edited by a moderator:
Ulipoenda kumuona mbona hujaenda na mkeo au kutuaga hapa JF? Acha zako bana inawezekana hajakumaindi ulivyo ndo sasa unataka kumuumbua au kumtishia maisha akupe mgegedo kinguvu. Mbona yeye hajaomba ushauri kuna mkaka anampotezea afanyeje? wewe mzushi bwanaaaa
 
Mwanamke hawezi kukupania kihivyo halafu eti uwe na guts za kumchomolea mwanamke akishakuwakia lazima utamgegeda tu hata kama una wake sita hebu soma hii:

[h=5]George and Allan were neighbors and their wives had become real friends. George was about forty years of age while Allan was a little older. Their wives were both in their early thirties. Usually neighbors do not differ much in matters of finances and both families were in the same middle income bracket.
Allan had the build of an athletician, although he was not of the sports type. This feature, however, made him gain unusual respect from the neighbor's wife. At times, when they met accidentally alone, she would drop her eyes to the ground and start picking her nails, apparently nervous. This kind of mannerism struck Allan as the kind of submission, but he held his fire, lest he should offend George his neighbor.
It was not easy. As the woman kept showing it, Allan kept burning inwards until he turned supernova. One day he beckoned to her and she came running. They went into hiding in a private room and the woman was shaking like a reed. Her hands were full of perspiration and Allan had to help her take off her clothes. He then swept her into his arms and crushed her like a bone crusher.
When she came out of it she figured she had become boneless. Locomotion became an effort and she visioned furniture in the room were turned upside down. In reality Allan did not know where all that energy had come from. He had never before clobbered a woman in the fashion he did with this one in particular. He had never afforded to give his wife half this kind of treatment; which he had used to impel the George wife. It seemed quite miraculous and incomprehensible as far as he was concerned.
Let me tell you where this energy came from; it came from the noble reserves in a man whose doors can only be opened by what a woman emits to it. The mannerisms displayed by the George wife were exactly the keys needed to unlock those hidden doors and unleash the ferocious forces.
Older men of age fifty and above prefer young girls because these do emit the rays which turn them on very easily. It is also assumed in this case that their level of spoilage is still low and the mileage is also very low. This knowledge alone constitutes a latent ray large enough to pass a spark in the hearts of these men. Older women as they gather years above thirty they usually become stubborn and spoiled.
They practice the art of massacring their men. These also do prefer younger men, but for different reasons. The one and most important reason being that the younger blood does it better and can generate a befitting clobbering. Let me tell women this: don't engage in the business of assassinating your husbands and start looking for boys; because your men whom you consider old and tired are more competent at it than those young ladies you hunt around.
The grass is sweeter on the other side of the fence only because you think it. Give your man the kind of glory he deserves and see what is coming your way. You will receive a clobbering such as will give you a heart attack and make you wonder if you ever knew him. If you ignore my advice, you will soon find the boys trash and move on to the artificial organ, which will in turn disappoint you and in the end start being really sick out of disillusionment. There is onlydeath in store for you when you choose ways not in keeping with your design by the hand of nature.[/h]
 
Mkuu Facebook na JF are just media watu ni walewale, suala hapa ni tabia za watu na sio media mkuu. Natumaini umenipata

Jamaa yangu km unataka kuonyeshana Sura na uHandsome ni Facebook lakini JF ni mambo yote kuanzia Elimu hata ya Technology Dini hadi Historia, Ukitaka Mambo ya MMU au ya kikubwa ni hapa lakini huko Facebook ni unafiki tu wa vitoto

jf is for Great thinkers and Facebook is for everyone..........hebu Evelyn Saltkongoshokaungathe boss, Nyani Ngabu, gfsonwin,aspirinmadame b, Good Guyslave, Ukwaju,bishnga,ukwaji et ol njooni kipande hii mtoe somo la tofauti ya jf na fb

km Elimu hii haitakutosha na ya hawa ma Great Thinker basi jua litakuchwa hutajua unachojua
 
Mh mbna km nadaut na huu uzi wako! Nahc ni hadithi za kale!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
freedom of speech! mawazo yetu hayafanani, kama zilivyo sura zetu.
 
Habarini za jioni. Ninaomba niwakilishe hii wakuu! Kuna dada mmoja hapa jamii forum ananisumbua sana jamani. Tulifahamia humu humu. Tukawa tunachati. Kwa kuwa wote tunaishi Dar. Tukapanga kuonana kama marafiki wa kawaida tu. Tulipoonana nilimfahamisha zaidi kuhusu mimi kuwa nimeoa na ni na familia. Kuanzia anione ndiyo imekuwa matatizo. Meseji kila leo. Eti anasema ananipenda sana. Nikimkumbusha kuwa nimeoa ananiambia yupo tayari hata kuwa kimada. Eti anasema nausumbua moyo wake kwani tangu aliponoona anaona kuwa mimi ningemfaa hata kama nimeoa. Kihakika huyo mdada ni mzuri. Sipendi kutaja jina maana ni mtu maalufu sana hapa JF. Kwa kweli ameniganda kwelikweli. Nifanyenyeje jamani. Naomba ushauri.

Are you a matured person? You seems to be a child!! Why bringing such a childish post hear? Yaani unakutana na mtu huko Chat room na unajua umeoa, unapanga kukutana na binti wa watu, for what reason kama kweli unaheshimu ndoa yako. Maswala haya ni private kwako na yamalize huko huko na huyo binti!! Sasa unataka tukuambie nini kuhusu member wetu huyo? Fikiria mara mbili kama hujapost uzi hasa unaohusu JF member kwa masuala yenu ya social and private. Dah kweli sasa na mambinti mlio humu bebu epukeni kudate via mitandao!! Ni nouma sana ukikutana na mtu kama huyu wa leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom