Mdada asiyeamini/ asiyeukubali uchawi

Mdada asiyeamini/ asiyeukubali uchawi

Usilolijua usiku wa giza omba ya sikukute mshukuru mungu kwa kukulinda na kupata akili ya kuingia jf ila nakushangaa sna Nyani ngabu uchawi upo na una nguvu kubwa tu fuatiria kwa nini kuna kitu kinaitwa msukule au ndondocha ukipata majibu utarudi fasta kufuta haka ka thread.
 
Wengine wana Masters na Phd lakini hawajaelimika walikuwa wanahama darasa moja baada ya jingine kwa zaidi ya miaka 20 lakini hawakuelimika hata chembe. Hivyo hawa kwenda kutapeliwa na hawa matapeli ni kitu rahisi sana.

Ni kitu gani haswa kinamfanya mtu aamini kwamba kuna guvu za uchawi?
NI kwamba watu hawana elimu ya kutosha au zilikuwa mila za Kiafrika kabla ya
dini nyingine kuingia?

Nashindwa kuelewa maana tukisema elimu mbona kuna watu na ma PHD ya TZ bado
wanaenda kwa waganga?

Maana inasikitisha karne hii ya 21 bado watu wana ng'ang'ania mambo ya kishirikina.
Nashindwa kuelewa.
 
Kumbe ni ligi tuu. Tembeeni muone! Au kutembea yaweza kuwa gharama. Piga stori na wazee wako watakufunua macho!
 
Ukikutana na mwanamke asiyeamini na kufuata nguvu za giza shukuru Mungu, wataenda kwa mungu wa bakili either kutafuta mume, kuroga mume wa mtu, kumfunga/kumpumbaza mume au kutafuta watoto.

Wakati mwingine najuiliza, wanawake wameumbwa vipi?
 
Zaidi ya 80% ya watanzania wanaamini na kufuata mambo ya kishirikina.

Zaidi ya 80% ya watanzania wana imani za kidini na ni waendaji wazuri wa kanisani na wanatumia mda wao mwingi kusali na ibada.

NN mara nyingi watu wenye imani za kidini ndio wanaoamini nguvu za giza na baadhi yao wanafuata kote kote.
 
[QUOTE="Hakika maana kwa upumbavu wa kuamini upuuzi kama uchawi mtu akili [kama hata unayo] utaiweka kando ili kutimiza masharti ya mganga wako.

Mganga hakawii kukwambia ule maharage ya Mbeya na mayai ya kuchemsha halafu umvizie mumeo akiwa amelala umjambie mdomoni ili penzi lake likolee!"[/QUOTE]

loh... hii kali asee 😀😀
 
Mie nilianza kuisoma hiyo thread nikaona ni upuuzi mtupu nikaachana nayo. Baadhi ya Watanzania uchawi wameweka mbele sana. Nakumbuka miaka mitatu au minne kuna utafiti uliofanywa katika baadhi ya nchi za Kiafrika Tanzania na Nigeria zikiwemo na hitimisho lilikuwa kwamba Watanzania tena wale wacha Mungu wa dini kubwa mbili nchini wanaamini sana uchawi na Watanzania wengi wanaamini uchawi kuliko Wanigeria, inashangaza lakini ni kweli. Maadui wakubwa nchini mwetu ni CCM, ujinga, imani potofu za uchawi, maradhi na umaskini.

You're right on the money!

It's so sad.
 
Ni kitu gani haswa kinamfanya mtu aamini kwamba kuna guvu za uchawi?
NI kwamba watu hawana elimu ya kutosha au zilikuwa mila za Kiafrika kabla ya
dini nyingine kuingia?

Nashindwa kuelewa maana tukisema elimu mbona kuna watu na ma PHD ya TZ bado
wanaenda kwa waganga?

Maana inasikitisha karne hii ya 21 bado watu wana ng'ang'ania mambo ya kishirikina.
Nashindwa kuelewa.

Magu mwenyewe anaamini katika huo upuuzi.

Jaribu tu kumsikiliza hotuba zake.

Anapenda penda sana kuchomekea habari za uchawi.
 
Usilolijua usiku wa giza omba ya sikukute mshukuru mungu kwa kukulinda na kupata akili ya kuingia jf ila nakushangaa sna Nyani ngabu uchawi upo na una nguvu kubwa tu fuatiria kwa nini kuna kitu kinaitwa msukule au ndondocha ukipata majibu utarudi fasta kufuta haka ka thread.

Hakuna uchawi wala baba yake ushirikina.

Kilichopo ni mambo ya kufikirika tu.

Lakini hata wewe hujachelewa.

Kama kweli uchawi upo nitolee mimi mfano.

Niroge.
 
Zaidi ya 80% ya watanzania wanaamini na kufuata mambo ya kishirikina.

Zaidi ya 80% ya watanzania wana imani za kidini na ni waendaji wazuri wa kanisani na wanatumia mda wao mwingi kusali na ibada.

NN mara nyingi watu wenye imani za kidini ndio wanaoamini nguvu za giza na baadhi yao wanafuata kote kote.

Hiyo inaweza kuwa ni kweli kabisa kwa sababu uchawi nayo ni imani tu.

Na kama mtu unajua maana ya imani basi utaelewa kwa nini uchawi nao huitwa 'imani'.
 
Ukikutana na mwanamke asiyeamini na kufuata nguvu za giza shukuru Mungu, wataenda kwa mungu wa bakili either kutafuta mume, kuroga mume wa mtu, kumfunga/kumpumbaza mume au kutafuta watoto.

Wakati mwingine najuiliza, wanawake wameumbwa vipi?

We [men and women] are wired so differently.

Have you ever wondered why most of the witch-doctors are male and most of their clients are female?

Definitely there's got to be a reason for it...
 
Ngabu...hujawa na thamani machoni pa wachawi....muombe mungu masikhara hayo wakisikia tu na hata kusali husali na teyari una mke au watoto utaanza misiba
 
uchawi haupo...

ni hadithi za kufikirika tu kwa ajili ya kutapeli watu..

tatizo la nchi hii ina wajinga wengi sana.. watu hawajaelimika kabisa japokuwa wana vyeti hadi vya phd...

elimu ni ukombozi wa fikra.. sasa msomi anaeamini kuna uchawi ni lazima hajakombolewa kifikra
 
Wengine wana Masters na Phd lakini hawajaelimika walikuwa wanahama darasa moja baada ya jingine kwa zaidi ya miaka 20 lakini hawakuelimika hata chembe. Hivyo hawa kwenda kutapeliwa na hawa matapeli ni kitu rahisi sana.
Kazi ipo.
Hakuna uchawi wala baba yake ushirikina.

Kilichopo ni mambo ya kufikirika tu.

Lakini hata wewe hujachelewa.

Kama kweli uchawi upo nitolee mimi mfano.

Niroge.
hahahahahahahahahahahahahahahah lol

Dahhh umeniacha hoi kwa kweli .
 
Back
Top Bottom