Mdada asiyeamini/ asiyeukubali uchawi

Mdada asiyeamini/ asiyeukubali uchawi

NN unajua kuniita kwenye uzi kama huu unanitaka nini lakin??

Kwa sababu wewe ndo rejea yangu ya watu na vitisho vyao vya kuniroga.

Halafu, hivi hilo la majina ya mwana na mama mzazi ndo huwa sharti kuu la wachawi?

Manake huyo naye kaja kama ulivyokuja wewe 😀.

afu kusema wateja wakubwa awa hao wanaovuta wapenzi ni wanawake you are very wrong.
for sure its a two way. there are women who go for the service as well as men.

Sawa, nakubali kwamba sina takwimu lakini nikitumia anecdotes bado naona kuwa wateja wakubwa wa hao waganga ni wanawake.

Sasa kusema wateja wakubwa ni wanawake haimaanishi kwamba hakuna wanaume waendao huko.

Lakini kusema kweli mpaka sasa bado nadhani wanawake wanawapiku wanaume kwenye hilo.

Sijawahi kukutana na mwanaume aliyeenda kwa mganga kwenda kutafuta mitishamba ya mapenzi. We ushawahi?

kuna wanawake wanalia kabisa kisa aina ya ndoa walizoolewa nikimaanisha waliolewa na wanaume ambao waliwavuta hao wanawake kichawi hadi mwanamke kukubali kuolewa nae.

Nah...mimi nakataa aisee. Kwani mtu huwezi tu ukampenda mtu haraka haraka au hata taratibu halafu baadae penzi likachuja? Kwa nini likichuja sababu iwe uchawi na si tu kwamba upendo umepungua kwa hali ya kawaida tu?

wapo wanawake waliopata waume kwa njia hizo hizo. siku hizi biashara ya kuvuta wapenzi na yenyewe haina mashiko biashara yao kubwa imebaki kuwa kuvuta watu kwenda kwenye ufreemason na kutoa pesa za bahati ama kuwapa hela za majini.

Hapa inabidi nichecke tu kwa kweli 😀😀😀.

Ati pesa za nini? Au kujiunga na nini? Mbona umesahau kuongeza akili za darasani..?

Bila Mungu mjin hapa hukawii kulishwa kinyesi cha mbuzi ukidhan ni korosho za mtwara

Hakika maana kwa upumbavu wa kuamini upuuzi kama uchawi mtu akili [kama hata unayo] utaiweka kando ili kutimiza masharti ya mganga wako.

Mganga hakawii kukwambia ule maharage ya Mbeya na mayai ya kuchemsha halafu umvizie mumeo akiwa amelala umjambie mdomoni ili penzi lake likolee!
 
Dare zingine bana. Watakuloga kweli uvuke border, uanze kutuwekea sombreros na ku-scream "orale!", no more "USA baby".
 
hii nilishawahi kusikia ikanifanya hata karanga wala kitu sinunui kabisa mtaani. ni noma
 
Dare zingine bana. Watakuloga kweli uvuke border, uanze kutuwekea sombreros na ku-scream "orale!", no more "USA baby".

Mikwara ya nini....

Let them do it. Let them make an example out of me.

I double and triple dog dare them to put a hex on me again [coz I've been daring them for years now and I'm still here].

Otherwise there's no there there. Fictional. Imaginary. Summa Cum Laude BS.

USA baby
upload_2016-7-15_14-33-50.png
upload_2016-7-15_14-33-52.png
upload_2016-7-15_14-33-53.png
.
 
Kwa sababu wewe ndo rejea yangu ya watu na vitisho vyao vya kuniroga.

Halafu, hivi hilo la majina ya mwana na mama mzazi ndo huwa sharti kuu la wachawi?

Manake huyo naye kaja kama ulivyokuja wewe 😀.

Sawa, nakubali kwamba sina takwimu lakini nikitumia anecdotes bado naona kuwa wateja wakubwa wa hao waganga ni wanawake.

Sasa kusema wateja wakubwa ni wanawake haimaanishi kwamba hakuna wanaume waendao huko.

Lakini kusema kweli mpaka sasa bado nadhani wanawake wanawapiku wanaume kwenye hilo.

Sijawahi kukutana na mwanaume aliyeenda kwa mganga kwenda kutafuta mitishamba ya mapenzi. We ushawahi?

Nah...mimi nakataa aisee. Kwani mtu huwezi tu ukampenda mtu haraka haraka au hata taratibu halafu baadae penzi likachuja? Kwa nini likichuja sababu iwe uchawi na si tu kwamba upendo umepungua kwa hali ya kawaida tu?

Hapa inabidi nichecke tu kwa kweli 😀😀😀.

Ati pesa za nini? Au kujiunga na nini? Mbona umesahau kuongeza akili za darasani..?

Hakika maana kwa upumbavu wa kuamini upuuzi kama uchawi mtu akili [kama hata unayo] utaiweka kando ili kutimiza masharti ya mganga wako.

Mganga hakawii kukwambia ule maharage ya Mbeya na mayai ya kuchemsha halafu umvizie mumeo akiwa amelala umjambie mdomoni ili penzi lake likolee!
nianze hivi
1) jina la mama mzazi linatumika zaid kwasabab huyo ndo mtu wa kwanza ambaye unasaba wake na wewe hauna shaka.
2) wapo wanaume ambao wanaloga hadi kupata wake na haya usipokuwa mtu wa kusali huwez kuyaona, nimeona watu wakifanyiwa maombi ili kuwatoa kwenye haya maagano ya kipepo si mara moja wala mbili
3) usitake kuniambia kwamba hazijui pesa za majini. mfano mdogo tu ninao kupa uliwah kuskia watu kuna utajiri wa zambia wa kuhesabiwa mahindi ya kuku aliomeza?? je hujawah kushuhudia mtu anamiliki utajiri wa kipepo ambao may be halal kitandani, hali vizuri, havai vizuri, mke amezika, watoto kila mwaka anazika na bado analindondocha nje ya ofc yake linalomletea mali? inamaana wewe mwenzangu huamin hata makafara ambayo baadhi ya makampuni ya mabasi yanayosafirisha watu kwenda mkoan wanafanya?
4) Hili swala lipo ila mi kama ilivyo evolution kwamba theory ya origin of life huwez uka iverfy kwa kutumia special creation as haina empirical evidance
 
bora nife njaa
 
Mambo ya uchawi hayaeleweki.

Kuna mmoja huyo aliturusha roho kwamba kampa mwanaume limbwata kamjengea nyumba kumbe zilikuwa fiksi tu.

Mwingine alikuwa na mbaba kigogo flani hivi, vacations za maana, gari, kaambiwa atafute kiwanja ajengewe nk, katurusha roho ipasavyo. Shosti aliapa kuwa siri ni ndumba.
Mara kaja analia kachanganyikiwa kaachwa. Mwezi wa pili huu mbaba kakata mawasiliano hataki kabisa kumsikia. Tukawa tunajiuliza kulikoni.
 
Mikwara ya nini....

Let them do it. Let them make an example out of me.

I double and triple dog dare them to put a hex on me again [coz I've been daring them for years now and I'm still here].

Otherwise there's no there there. Fictional. Imaginary. Summa Cum Laude BS.

USA baby View attachment 366531 View attachment 366532 View attachment 366533.

All right vato. Can't wait to see you dropping them pixels of mariachis, chicken fights, and sneaking through the wall.
 
nianze hivi
1) jina la mama mzazi linatumika zaid kwasabab huyo ndo mtu wa kwanza ambaye unasaba wake na wewe hauna shaka.

Teh teh...kumbe hata 'wachawi' huwa wanatumia mantiki walau kidogo eh?

wapo wanaume ambao wanaloga hadi kupata wake na haya usipokuwa mtu wa kusali huwez kuyaona, nimeona watu wakifanyiwa maombi ili kuwatoa kwenye haya maagano ya kipepo si mara moja wala mbili

Hmm...bado sijashawishika kabisa aisee. Naona ni stori tu.

3) usitake kuniambia kwamba hazijui pesa za majini. mfano mdogo tu ninao kupa uliwah kuskia watu kuna utajiri wa zambia wa kuhesabiwa mahindi ya kuku aliomeza?? je hujawah kushuhudia mtu anamiliki utajiri wa kipepo ambao may be halal kitandani, hali vizuri, havai vizuri, mke amezika, watoto kila mwaka anazika na bado analindondocha nje ya ofc yake linalomletea mali? inamaana wewe mwenzangu huamin hata makafara ambayo baadhi ya makampuni ya mabasi yanayosafirisha watu kwenda mkoan wanafanya?

Dah! Hadi mnatia huruma kweli kama hivi ndivyo mnavyowaza.

Na hilo la ajali na kafara ndo narrative inayoanza kushika kasi sasa hivi.

Acha tu niendelee kuwa tofauti na mlio wengi kwa kukataa uwepo wa huo upuuzi.

4) Hili swala lipo ila mi kama ilivyo evolution kwamba theory ya origin of life huwez uka iverfy kwa kutumia special creation as haina empirical evidance

Kheri hata theory ya evolution kuliko hizi imani za kishirikina. Evolution kidogo ina akili. Lakini hizi imani..? Bure kabisa...yaani ni ujinga, upuuzi, na upumbavu tu mwanzo mwisho.
 
Mambo ya uchawi hayaeleweki.

Kuna mmoja huyo aliturusha roho kwamba kampa mwanaume limbwata kamjengea nyumba kumbe zilikuwa fiksi tu.

Ila usikute huyo keshachanganywa na hayo mambo ya kishirikina kiasi kwamba hata hajielewi wala kujitambua. Hivyo kila kitokeacho yeye anadhani sababu ni ushirikina tu.

Kuna watu hata wakiugua mafua wao wanadhani wamerogwa! Wakijikwaa na kudondoka wanadhani wametupiwa jini. Wakiota usiku wanasingizia mapepo....

Mwingine alikuwa na mbaba kigogo flani hivi, vacations za maana, gari, kaambiwa atafute kiwanja ajengewe nk, katurusha roho ipasavyo. Shosti aliapa kuwa siri ni ndumba.
Mara kaja analia kachanganyikiwa kaachwa. Mwezi wa pili huu mbaba kakata mawasiliano hataki kabisa kumsikia. Tukawa tunajiuliza kulikoni.

Basi hapo atapata watu wataomjaza upuuzi na kumwambia eti hakufuata masharti ya mganga wake.

Upumbavu wa daraja la kwanza.
 
Kwa iyo uchawi Anna?
Yan wewe!!!tema mate chini.uktema juu yatakuludia!!Subl yakukute
 
lol NN umesoma thread ya huyo mdada alieiba mme wa mtu kwa uchawi??
 
Mie nilianza kuisoma hiyo thread nikaona ni upuuzi mtupu nikaachana nayo. Baadhi ya Watanzania uchawi wameweka mbele sana. Nakumbuka miaka mitatu au minne kuna utafiti uliofanywa katika baadhi ya nchi za Kiafrika Tanzania na Nigeria zikiwemo na hitimisho lilikuwa kwamba Watanzania tena wale wacha Mungu wa dini kubwa mbili nchini wanaamini sana uchawi na Watanzania wengi wanaamini uchawi kuliko Wanigeria, inashangaza lakini ni kweli. Maadui wakubwa nchini mwetu ni CCM, ujinga, imani potofu za uchawi, maradhi na umaskini.

Ni kitu gani haswa kinamfanya mtu aamini kwamba kuna guvu za uchawi?
NI kwamba watu hawana elimu ya kutosha au zilikuwa mila za Kiafrika kabla ya
dini nyingine kuingia?

Nashindwa kuelewa maana tukisema elimu mbona kuna watu na ma PHD ya TZ bado
wanaenda kwa waganga?

Maana inasikitisha karne hii ya 21 bado watu wana ng'ang'ania mambo ya kishirikina.
Nashindwa kuelewa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom