Mdada asiyeamini/ asiyeukubali uchawi

Mdada asiyeamini/ asiyeukubali uchawi

Uchawi ni story tu haupo. Wengi wanaishi kwa story tu za kusadikika ukimuuliza atakwambia ndugu yangu lilimtokea hili au lile ila wao binafsi hawajawahi kuona zaidi ya kusikia. Hakuna uchawi
 
ukiuamini uchawi lazima utakuwa mtumwa, hata ukipaliwa chai utasema umelogwa
 
Hakuna uchawi wala baba yake ushirikina.

Kilichopo ni mambo ya kufikirika tu.

Lakini hata wewe hujachelewa.

Kama kweli uchawi upo nitolee mimi mfano.

Niroge.

unabishana tu au unafikir neno uchawi limetoka wap? Na huwez ukagundua kama umerogwa unaweza ukakuta wewe unamrahisishia mtu mambo yake bila kujijua kurogwa sio lazima ulale au uwe chizi.
 
Huwezi kupingana na neno la Mungu. Ukisoma kutoka 22:18 imeandikwa husimwache mwanamke mchawi kuishi pia imeandikwa kushindana kwetu si juu ya damu n.a. nyama bali ni juu ya falme na mamlaka za nguvu za giza. Mamlaka za giza ni pamoja na uchawi, majini, mizimu na wagan ga wa kienyji. Uchawi hupo tu lakini unaweza kuutegemea au la. Na ukweli wa dunia tuliyomo watu wengi wanategemea baraka za kichawi zaidi ya Mungu Yehova. Ndoa nyingi zimegubikwa na nguvu za giza omba Mungu akufunulie ukweli wa mambo
 
unabishana tu au unafikir neno uchawi limetoka wap? Na huwez ukagundua kama umerogwa unaweza ukakuta wewe unamrahisishia mtu mambo yake bila kujijua kurogwa sio lazima ulale au uwe chizi.

Sitaki kuishia kubishana tu na ndiyo maana nimetoa changamoto kwa yeyote mwenye uwezo aniroge ili kunithibitishia kweli uchawi pamoja na nguvu zake upo.

Lakini naona hata wewe huelewi na hujielewi na umeishia kuunga tela la watoa vitisho hewa na kauli za jumla jumla.

Utasemaje siwezi kugundua kama nimerogwa? Hiyo ndo MO ya uchawi na wachawi? Kama ndiyo, imeandikwa wapi?

Bottom line, uchawi hakuna. Uchawi ni imani tu. Na kama unajua maana ya imani katika muktadha husika basi utajua ninachokisema.

Uchawi haupo.
 
Uchawi ni story tu haupo. Wengi wanaishi kwa story tu za kusadikika ukimuuliza atakwambia ndugu yangu lilimtokea hili au lile ila wao binafsi hawajawahi kuona zaidi ya kusikia. Hakuna uchawi

Cosigned!
 
Uchawi upo 100%.
Nimeamini baada ya kumuuguza ndg yangu mpaka nikapoteza matumaini na maombi yalifanywa usiku na mchana ila haikusaidia.

Bwana mmoja aliweza kumtibu ndg yangu kwa usiku mmoja tena bila kuonana (wakiwa mikoa tofauti).
 
Funny.
 
Ni kitu gani haswa kinamfanya mtu aamini kwamba kuna guvu za uchawi?
NI kwamba watu hawana elimu ya kutosha au zilikuwa mila za Kiafrika kabla ya
dini nyingine kuingia?

Nashindwa kuelewa maana tukisema elimu mbona kuna watu na ma PHD ya TZ bado
wanaenda kwa waganga?

Maana inasikitisha karne hii ya 21 bado watu wana ng'ang'ania mambo ya kishirikina.
Nashindwa kuelewa.
Ni sababu zile zile mtu hata msomi wa PHD anaamini kuna Mungu. Ukristo na Uslamu unazungumzia uchawi na shetani. Hivyo huwezi ukachagua super natural power moja ukaiamini na nyingine usiiamini. But again the key word is AMINI hivyo si sayansi kwamba utaprove. My bro has 2 PHD and he is a Priest (Catholic). So anaamini uwepo wa shetani na uchawi. Cardinal Pengo ktk makala yake moja alizungumzia mbinu za shetani. 1) Ni kufanya watu wasiamini presence yake na 2) Kufanya watu waamini nguvu zake hata kama hana hizo nguvu. Sasa 'wasomi' wengi mmenaswa kwenye hilo la kwanza. Washirikina wengi wamenaswa kwenye la pili.
 
watu hawaamini lakin uchawi upo mfano katika familia yetu nina mdogo wangu yamemkuta

Mwaka 2010 aliamka asubuhi ghafla tu anapepesuka hawezi kusimama vizuri ikabdi mshua ampeleke hosptali wakampiga sindano lakin wapi
akapata transfer aende Temeke hospital,temeke wamepima kila ugonjwa,temeke wakapima hawakukuta chochote ikabidi wampeleke muhimbili nako ikawa hvyo hvyo,pima polio,chukua maji ya uti wa mgongo,piga ultrasound,piga x ray vyote hakukutwa na tatizo ikabdi aruhusiwe

aliporudi nyumbani mzee ikabidi ampeleke temeke kuna msikiti mmoja wakamsomea kisomo cha qur an kwa muda wa masaa mawili,wakati wanamsomea dogo alianza kulia ghafla na akajikojolea pale pale,kisomo kilipoisha tukarudi nae hom kesho yake asubuhi akapandisha jini bwana na kuanza kusema kuwa ametumwa na mtu,tulipojaribu kumuliza nan kamtuma hakutka kumtaja ikabdi tumuanzishie tiba ya kumtoa yule jini mpka leo hii jini limet oka lakin dogo hajasimama tena
hii ni stori ya kwel kwa asie amin haya mambo namuonea huruma tena asiseme kabsa.
 
Kiuhalisia uchawi haupo.

Uchawi ni dhana ya kufikirika tu.

Kama uchawi upo waniroge basi tuone.
 
NN unajua kuniita kwenye uzi kama huu unanitaka nini lakin??
afu kusema wateja wakubwa awa hao wanaovuta wapenzi ni wanawake you are very wrong.
for sure its a two way. there are women who go for the service as well as men.
kuna wanawake wanalia kabisa kisa aina ya ndoa walizoolewa nikimaanisha waliolewa na wanaume ambao waliwavuta hao wanawake kichawi hadi mwanamke kukubali kuolewa nae.
wapo wanawake waliopata waume kwa njia hizo hizo. siku hizi biashara ya kuvuta wapenzi na yenyewe haina mashiko biashara yao kubwa imebaki kuwa kuvuta watu kwenda kwenye ufreemason na kutoa pesa za bahati ama kuwapa hela za majini.
Bila Mungu mjin hapa hukawii kulishwa kinyesi cha mbuzi ukidhan ni korosho za mtwara
Una kiuno kizuri jamani
 
Nyani mbona ushalogwa kitambo. ..hiyo milele ya USA. USA. USA

Unaona ni kawaida
 
Lima hekari 50 za mhindi mwite bwana shamba aplly kila elimu iliyopo duniani kuhusu kilimo cha mahindi mwisho wa siku unavuna robo gunia ndio utageuka nyuma na kutambua kwamba uchawi upo.

Fungua duka la kisasa zaidi la jumla lenye kila kitu lakini anaeuza genge la nyanya pembeni yako anakuzidi mauzo ya kila siku hapo utagundua pia kuwa uchawi upo
 
Back
Top Bottom