Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile wa Mbeya akagua simu za waumini hadharani akiwa madhahabuni

Mtu akisha kujitambulisha tu kuwa ana dhehebu basi mjue tu huyo ni ibilisi shetani mwenyewe ...tena ni mpumbavu ...mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa na dhehebu
 
Duuuuuhhhh!! Kwa reference gani mkuu?
Mimi nimesoma vyuo kadhaa vya theology tena vya nje
Pia nimewahi kuwafukuza vijana nikiwa chairman wa CASFETA. MUNGU alinihakikishia kuwa kumfukuza mtu kanisani ni dhambi tena kubwa .
Ukimfukuza mtu madhabahuni usipotubu huwezi kwenda MBINGUNI.
Thamani ya mtu ni kubwa mno , na Mungu hutumia gharama kubwa kumuokoa mtu . Kabla mchungaji au mtu yeyote hajamtimua muumini yeye mwenyewe athibitishe kwa 100% hana dhambi, hatafanya dhambi na hajawahi kuionja dhambi
 
Mtumishi wa MUNGU hawezi kuwavunjia utu waumini wake na kuwadhalilisha. Watu wanaenda kanisani kuungana na wengine katika kuutafuta uso wa MUNGU. Kanisani watu wanaenda kutubu, sio kuhukumiana.
Najiuliza maswali mengi. Je, huyo mchungaji yeye ni mtakatifu, hana dhambi?
 
Mimi nimesoma vyuo kadhaa vya theology tena vya nje
Pia nimewahi kuwafukuza vijana nikiwa chairman wa CASFETA. MUNGU alinihakikishia kuwa kumfukuza mtu kanisani ni dhambi tena kubwa .
Ukimfukuza mtu madhabahuni usipotubu huwezi kwenda MBINGUNI.
Thamani ya mtu ni kubwa mno , na Mungu hutumia gharama kubwa kumuokoa mtu . Kabla hajamtimua athibitishe 100% hana dhambi, hatafanya dhambi na hajawahi kuionja dhambi
Ok mkuu, nimekuelewa vyema!
 
Eliya anamuogopa jamaa kama mungu vile ingekuwa mimi nisingempa simu na ningemnyooshea dole la kati.Halafu kwanini amuandame Eliya tu.Huyu mpumbavu arudi tu jela
Inaonekana alishawahi kumuonya aache tabia ya umalaya, lakini ni kama bwana Eliya hakusikia😂
 
Mimi ni mkristo

Sijaenda kanisani kwa zaidi ya miaka 12

Huyu mchungaji huko jela itakua wamemharibu sasa hivi anachukia kila mwenye nguvu za kiume
Ila hiyo tabia ya kukagua simu za waumini wake hajaianza baada ya kutoka jela. Si unaona ndio maana hata bwana Eliya ni kama alikua "ameisafisha" hiyo simu? Hata hiyo meseji aliyokuta mchungaji seems iliingia wakiwa hapo hapo ibadani.
 
Back
Top Bottom