Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,582
- 9,165
Labda kama huna maokoto ila kama una hela hata uwe na tabia chafu kwenye jamii utapewa cheo au mzee wa kanisaUlikua hujawahi kufikiri kuwa unaweza timuliwa kanisani?
Labda kama huna maokoto ila kama una hela hata uwe na tabia chafu kwenye jamii utapewa cheo au mzee wa kanisaUlikua hujawahi kufikiri kuwa unaweza timuliwa kanisani?
Inashangaza sana kwa kweliSikuwahi fikiria kabisa
sababu naona
Kanisa ni pahali ya kuheshimiana na
unaweza patiwa utatuzi ukiwa na changamoto
Lakini sio vile amafanya uyo pastor
Kwa hiyo unashauri wachungaji wengine pia watumie style hii?Yaani hiyo nimeipenda maana vijana wengi wakiwa kanisani wanakuwa watakatifu wakitoka kanisani wanakuwa watakafujo na mingine inaimba na kwaya hapo hapo madhabahuni yanapanga kwenda kukutana kwenye magheto yao ........ Yaani yamegeuza kanisa kuwa chumba Cha kutunzia Siri za uzinzi wao ... ....... Vijana tubadilike tuache matabia mabaya yasio. Faa mbele za MUNGU kwani mwana wa adamu yuaja kutwaa kanisa lake ambalo ndiyo watu wenyewe
Hahahahaha....!! Kwa hiyo uchawi maokoto tu hapo mkuu?Labda kama huna maokoto ila kama una hela hata uwe na tabia chafu kwenye jamii utapewa cheo au mzee wa kanisa
Afya ya akiliiiiiMchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na kuamuru ampatie simu yake, ambapo aliikagua na kukuta meseji ya WhatsApp kutoka kwa binti. Kisha akampigia huyo binti akiwa hapo hapo madhahabuni kwa simu ya Eliya, na mwisho alimtimua Eliya ibadani.
Tukumbuke kuwa huyu mchungaji ametoka gerezani hivi karibuni baada ya kushinda rufaa yake ambapo awali alikua amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila usajili.
Nimeambatanisha clip hapa chini.
Je, unazungumziaje, hii ni sawa Mchungaji kukagua simu za waumini wake tena hadharani?
Mimi naona ni unajisi wa wazi wa haki ya faragha kwa waumini wake, mbaya zaidi inakua kama udhalilishaji kwa kufanya haya hadharani.
Hii inasikitisha sana.
Imefanyaje mkuu?Afya ya akiliiiii
Ivi wanyakyusa mnatuonaje kwenye imani?Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na kuamuru ampatie simu yake, ambapo aliikagua na kukuta meseji ya WhatsApp kutoka kwa binti. Kisha akampigia huyo binti akiwa hapo hapo madhahabuni kwa simu ya Eliya, na mwisho alimtimua Eliya ibadani.
Tukumbuke kuwa huyu mchungaji ametoka gerezani hivi karibuni baada ya kushinda rufaa yake ambapo awali alikua amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila usajili.
Nimeambatanisha clip hapa chini.
Je, unazungumziaje, hii ni sawa Mchungaji kukagua simu za waumini wake tena hadharani?
Mimi naona ni unajisi wa wazi wa haki ya faragha kwa waumini wake, mbaya zaidi inakua kama udhalilishaji kwa kufanya haya hadharani.
Hii inasikitisha sana.
Hapana ila kila mtu atakavyo ongozwa na ROHO MTAKATIFUKwa hiyo unashauri wachungaji wengine pia watumie style hii?
WaKwa hiyo unashauri wachungaji wengine pia watumie style hii?
Tunawaona mpo kama MATUTUSA🤣🤣Ivi wanyakyusa mnatuonaje kwenye imani?
Sawa mkuu, wacha tumsikilize Roho wa Bwana.Hapana ila kila mtu atakavyo ongozwa na ROHO MTAKATIFU
Wa
Duuuuuhhhh!! Kwa reference gani mkuu?Msongo wa mawazo mbaya sana.
Dhambi aliyoifanya Mbarikiwa ya kumtimua muumini madhabahuni ni kubwa kuliko dhambi ya kufila
Yaani aliibuka Ambilikile, lusekelo, mwamposa, mwakipesile, mwaibanile, Andondile nk wote utapeli mtupuuTunawaona mpo kama MATUTUSA🤣🤣
Maneno gani hayo juu ya mtumishi wa MUNGU au hata wewe ndio tabia yako ukiwa kanisani
Labda mchungaji anagombea 'demu' muimba kwaya na Eliya.
Hahahaha!! Kwa hiyo kaamua kumpiga knock out bwana Eliya?😂😂
Labda mchungaji anagombea 'demu' muimba kwaya na Eliya.