cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,324
Hizo ni rare case hata hapa bongo kuna watu tukitumia dawa flani inaleta reactions mbaya it's normal, hata chanjo za tb, surua, polio huwa tunaxhomwa ila kuna saa Zina react negative kwa baadhi ya watu. Hafu hyo reaction ya wachache isiwe sababu eti chanjo ni mbaya mbona hata pnv, azuma nazo hudunda kwa baadhi ya watu na kwingine hufanya vizuri.Wewe hujasoma watu kuganda damu au kufa,au hedhi kubadilika hedhi baada ya kuchanjwa?
Haya hebu tujuze long term side effects za chanjo?
Tujuze kwanini consent form inaeleza serikali haitahusika kwa lolote likimpata mgonjwa?