Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,842
- 4,474
elimu ya darasani haina uhusiano na uongozi Makonda ni mchapakazi kupita maprofesa wenye PHD ZAO
Bashitelist
elimu ya darasani haina uhusiano na uongozi Makonda ni mchapakazi kupita maprofesa wenye PHD ZAO
Kitu cha kujifunza hapa ni kwamba roho mbaya haijengi ...Mtu anafeli kuanzia mtihani wa darasa la nne,lazima alikuwa mtoro wa shule au laaa, kwa kuwa alizaliwa mtoto pekee kwao basi akawa yai, kudekadeka,akiguswa na walimu/watoto wenzie wazazi wanakuja juu,akiamua kulala tu asiende shule,hachapwi.
Watoto wanaozaliwa peke yao pia wana tabia za kusingizia wenzao sana na kutokana na shida alizopata katika kutafuta elimu,wanachukia sana waliokuwa vipanga
Typing errors za wadada wa Steshenari tu hizo
Pascal unausikia huo ushauri wa 'Salary Slip'!Tangu Askofu Gwajima atoe tuhuma nzito kumuhusu Daudi Basheti leo ni siku ya nne na hakuna kinachoendelea na sidhani kama kuna kitakachofanyika...
Kwahiyo nachomshauri mchungaji Gwajima ni yeye kukaa na waheshimwa wabunge wachache atakaoona wanafaa na kuwapa taarifa zote muhimu alizonazo kuhusu sakata hili pamoja na huo ushahidi wa nyaraka alionao ili wao/mmoja wao apekeke hoja binafsi Bungeni kuhusiana na swala hili.
...
CC: Pascal Mayalla
Bunge lijalo ni la bajeti siyo la kumjadili Makonda tafadhali.Mshauri huyo Gwajima aende mahakamani!Tangu Askofu Gwajima atoe tuhuma nzito kumuhusu Daudi Basheti leo ni siku ya nne na hakuna kinachoendelea na sidhani kama kuna kitakachofanyika.
Maswali 5 ya utangulizi:
1.Tunachopaswa kujiuliza ni je, mchungaji Gwajima mpaka sasa ameitwa Polisi kwa mahojiano baada ya kutoa tuhuma zile?
2.Kama hajahojiwa,mbona kina Lissu wanakamatwa na kusafirishwa kutoka Dodoma mpaka Dar-es-salaam kutokana na matamshi tu alafu iweje Gwajima aliepo hapo hapo Dar-es-salaam akaachwa bila hata kuhojiwa tena akidai ana ushahidi wa anayoyasema?
3.Gwajima anaedai kutafutiwa sababu za kukamatwa na kuharibiwa jina lake,inakuwaje aachwe iwapo atakuwa amejiingiza mwenyeww mtegoni kwa kutoa tuhuma za uongo?
4.Je,hii sio ndio ilikuwa fursa ya mbaya wake kummaliiza?
5.Sasa kwanini mpaka sasa ni kimya?
Nimeanza na maswali hayo ili kujaribu kuwapa picha ni kwanini tuhuma zinazomuhusu Daudi Basheti zinaweza kuwa ni za kweli ila zinaonekana kufumbiwa macho hivyo kuna umuhimi wa kutumia njia nyingine kuhakikisha tuhuma hizi zinafanyiwa kazi na serikali na iwapo tuhuma hizi zitathibitishwa kuwa ni za kweli basi mtuhumia awajibike/awajibishwe.
Iwapo serikali itapuuza tuhuma hizi,wananchi hatuna cha kufanya hata tukikesha humu mitandaoni kujadili na kuitaka serikali ichukue hatua zaidi ya tu kuishinikiza serikali kuchukua hatua kupitia wawakilishi wetu wetu ambao ni wabunge maana wao kama Bunge ndio wenye mamlaka ya kuisimamia na kuishauri serikali.
Kwahiyo nachomshauri mchungaji Gwajima ni yeye kukaa na waheshimwa wabunge wachache atakaoona wanafaa na kuwapa taarifa zote muhimu alizonazo kuhusu sakata hili pamoja na huo ushahidi wa nyaraka alionao ili wao/mmoja wao apekeke hoja binafsi Bungeni kuhusiana na swala hili.
Wanachotakiwa kufanya wabunge ni wao kwanza kujiridhisha na ikiwezekana na wao wafanye uchunguzi wao wa ziada na wakijiridhisha basi mbunge mmoja aibebe agenda hii kama hoja binafsi na aiwasilishe Bungeni.
Na ili hili jambo lipate uungwaji mkono na pia ili lisichukue sura ya kisiasa, hoja hii ni vema ikawasilishwa na mbunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuliko kuwasilishwa na mbunge wa upinzani maana Bunge letu tunalijua lilivyo.
Hoja ikubaliwa na hatimae kupata nafasi ya kuwasilishwa Bungeni na kujadiliwa,wabunge wanaweza kuunda kamati ndogo kuchunguza swala hilo na baadae kuwasilisha taarifa yao ndani ya Bunge au Bunge linaweza kujadili hoja iliyowasilishwa na baadae kuja na maazimio ambayo yatakayopelekwa serikalini kwa utekelezaji iwapo Bunge litajiridhisha juu ya ukweli kuhusu tuhuma zinazotajwa.
Iwapo itatokea maazimio ya Bunge hayatafanyiwa kazi na serikali, wabunge wanaweza kumuwajibisha Waziri Mkuu maana huyu ndieo wana mamlaka nae.
Ukweli nii kwamba hatupaswi kufika huku ila serikali isipotekelezaji wajibu wake basi hii ndio njia pekee na halali ya kisheria na kikatiba ambayo inaweza kuchukuliwa na Bunge kama ambavyo imekuwa ikifanyika kwa watendaji wengine wa serikali pale wanapokumbwa na tuhuma mbalimbali na hasa pale wanapokuwa wagumu kuwajibika kwa hiari yao mpaka kwa shinikizo la Bunge.
Tuhuma ni tuhumu tu ziwe ni za ufisadi,kugushi, n.k na hasa pale zinapomuhusu kiongozi alipewa dhamana na serikali hivyo hakuna cha kuupuuza hapa.
CC: Pascal Mayalla
Huwezi kumuheshimu mtu asiyekuheshimu, pitia uzi unaoongelea mienendo yake ndo hujue kuwa jamaa hana heshima hata kwa wakubwa zake. Unamkingia kifua kama nani wewe!Wana jamvi, kauli ya Askofu Gwajima kuwa ANA VYETI vya RC Makonda ni makosa makubwa ya jinai ambayo askofu hastahili KUSHIRIKI!
Gwajima anahitajika KUHOJIWA ili kujua alipata wapi na ALIVIPATAPATAJE hivyo vyeti anavyodai ni vya Makonda?
Je kama alivyonavyo ni FORGERY ili kumpakazia Makonda atabaki kuwa askofu?
Na kama kuna mtu ama kikundi cha watu waliokuwa WAMEHIFADHI PROFILE ya Makonda kama {SIRI} wakaamua kuitoa nje KINYUME cha sheria nao hao WAKAMATWE!
Ni lazima tuwe na nidhamu katika kila sehemu {sic].
Askofu Gwajima pia ni lazima akae kama askofu.
Neno la Mungu linasema
" MSILIPIZE kisasi ndugu zangu mwachieni Bwana"
Gwajima haoni hilo. Yeye ni kurusha makombora ya maneno tu.
Jamani MNAIAIBISHA INJILI !!!!!
Biblia hiyo hiyo inasema "Palipo na MANENO MENGI dhambi HAIKO MBALI"
"Where there are too many words sin is NOT absent"
Tafakari hayo
Kama Gwajima anaona alionewa, si amwachie Mungu amtetee?
Swali linalonisumbua japokuwa hapo mwanzo baadhi yetu tulijaribu kumwonea huruma na kumtetea, Picha anayoitoa sasa INASIKITISHA!
Naona huyu jamaa AMEKUWA rogue!!
Ni kwa niaba ya NANI Gwajima anakuwa na UJASIRI huu?
Yesu akasema "WAOMBEENI wanaowaudhi".
Kwa nini asiendelee kuhubiri injili badala ya kuwa CONTROVERSIAL Bishop katika mambo yasiyo ya KIROHO?
Yesu alipoteswa HAKUWATISHA maadui zake. Walipomtemea mate ALINYAMAZA KIMYA.
Alipotishwa hakurudisha matisho.
La mwisho ni kuwa Gwajima ni lazima AHOJIWE na atuambie hivyo vyeti na Profile ya Makonda nani ALIMPATIA?
Wana jamvi, kauli ya Askofu Gwajima kuwa ANA VYETI vya RC Makonda ni makosa makubwa ya jinai ambayo askofu hastahili KUSHIRIKI!
Gwajima anahitajika KUHOJIWA ili kujua alipata wapi na ALIVIPATAPATAJE hivyo vyeti anavyodai ni vya Makonda?
Je kama alivyonavyo ni FORGERY ili kumpakazia Makonda atabaki kuwa askofu?
Na kama kuna mtu ama kikundi cha watu waliokuwa WAMEHIFADHI PROFILE ya Makonda kama {SIRI} wakaamua kuitoa nje KINYUME cha sheria nao hao WAKAMATWE!
Ni lazima tuwe na nidhamu katika kila sehemu {sic].
Askofu Gwajima pia ni lazima akae kama askofu.
Neno la Mungu linasema
" MSILIPIZE kisasi ndugu zangu mwachieni Bwana"
Gwajima haoni hilo. Yeye ni kurusha makombora ya maneno tu.
Jamani MNAIAIBISHA INJILI !!!!!
Biblia hiyo hiyo inasema "Palipo na MANENO MENGI dhambi HAIKO MBALI"
"Where there are too many words sin is NOT absent"
Tafakari hayo
Kama Gwajima anaona alionewa, si amwachie Mungu amtetee?
Swali linalonisumbua japokuwa hapo mwanzo baadhi yetu tulijaribu kumwonea huruma na kumtetea, Picha anayoitoa sasa INASIKITISHA!
Naona huyu jamaa AMEKUWA rogue!!
Ni kwa niaba ya NANI Gwajima anakuwa na UJASIRI huu?
Yesu akasema "WAOMBEENI wanaowaudhi".
Kwa nini asiendelee kuhubiri injili badala ya kuwa CONTROVERSIAL Bishop katika mambo yasiyo ya KIROHO?
Yesu alipoteswa HAKUWATISHA maadui zake. Walipomtemea mate ALINYAMAZA KIMYA.
Alipotishwa hakurudisha matisho.
La mwisho ni kuwa Gwajima ni lazima AHOJIWE na atuambie hivyo vyeti na Profile ya Makonda nani ALIMPATIA?[/QUOTEy