Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Ushauri mzuri sana kwa vijana Kama unaweza ufikisha zaidi ya jf hata fb huko wanakopenda vijana itawasaidia Sana.Mambo haya yanauma Sana na mtu hujuta Sana na kuhisi Dunia inamtazama yy shortcut sio nzuri kabisa.
 
Niliwaona na kuwasikiliza wazazi wake wakihojiwa na "mawingu TV",hivi wanajisikiaje kushiriki udanganyifu wa kiwango hiki?Kwa nini wasijitokeze na kuusema Ukweli juu ya majina yao halisi na ya mtoto wao?

Kughushi vyeti kunaweza kuwa mwanzo wa mwisho wa kijana mlopokaji,mjivuni na mlaghai anayemtumia Mungu katika kuhalalisha hadaa zake.Tunaoamini katika Kristo Yesu tunapomkiri Yesu huwa tunaongozwa sala ya toba ambayo miongoni mwa maneno yatumikayo katika toba hiyo ni kumuomba Mungu ayafute majina yetu kwenye kitabu cha hukumu na kuyaandika majina yetu kwenye kitabu cha uzima,sijuwi muheshimiwa mungu wa Dar anatumia majina gani kwenye vitabu hivyo.

Baba yake alisema kupitia mawingu Tv.kuwa yeye ni kiongozi wa kanisa,mwanaye anapohusishwa na udanganyifu wa kiwango cha lami huku yeye akikaa kimya huku akitumbua mapato ya udanganyifu wa mwanaye anajisikiaje?Hii ni fedheha sana.
 
Shukrani kwa Baba yangu alienipa mikwaju ya kutosha kila siku, shukrani kwa mwalimu taturu aliebadilisha taabia yangu darasa la saba kwa stick kali kali kila siku bila wao leo nisingekuwa hapa mjini nikitibiwa agha khan na kuingia five star yoyote.
 
1488310597475.png
 
Thubutuu majina yanaumba mwanangu kamwe haitwi jina la hovyo kama hilo
 
Shukrani kwa Baba yangu alienipa mikwaju ya kutosha kila siku, shukrani kwa mwalimu taturu aliebadilisha taabia yangu darasa la saba kwa stick kali kali kila siku bila wao leo nisingekuwa hapa mjini nikitibiwa agha khan na kuingia five star yoyote.
Taturu???Yule wa Mwaseco?au majina tu
 
Viongozi wetu wa Dini Mungu munaye muamini awasisaidie Sana kujua maana Upendo wa kweli na Ucha Mungu wa Kweli. Kwa nini mioyo yenu inabeba Chuki na Visasi? Mnafumdisha nini kwa watu mnaowaongoza?

Maandiko yanasema samehe 7 * 70= 490, Na mnatuhubiria hivyo kila uchao. Je Mh. Makonda kamkosea BABA Mchungaji Gwajima mara ngapi?

Mchungaji Gwajima angefikiria hivi Peke yake bila ushabiki wa wapambe huenda asingemkashifu RC Makonda Hadharani eti kama yeye alivyotajwa kwenye TV.
1. Tofauti ya Umri wake na Makonda
2.Jinsi Huyo Daudi alivyohangaika kupata Elimu kwa kufeli na kurudia kama alivyotaja.
3. Je akiharibikiwa Makonda yeye Gwajima itakuwa ni harusi kwake?
4.Nafasi ya Makonda katika familia yake.
5. Atapanda mbegu gani kwa waumini wake wanaojifunza kwake?
Ipi gharama ya kusamehe Duniani na Mbinguni?

Mchungaji wangu kondoo ni kondoo tu hata kama ni wa zizi la jirani. Nakuombea kwa Mungu akupe moyo wa KUSAMEHE, HEKIMA NA BUSARA.
Ahsante, Ubarikiwe Sana.
 
Hebu niagize fursana ya baridi huku naendelea kuutafakari huu uzi na walio changia kwa namna moja ama nyingine kuninyoosha
 
Kitendo chat kusema ana vyeti vyote vya RC Makonda alivyopata zero (alivyofeli) ni uongo wa mchana kweupeeee
Ninachojua Mimi ni kwamba baraza La mitihani Tanzania (NECTA) halitoi cheti Kwa mtahiniwa aliyefeli. Sasa. Gwajima hicho cheti alikitoa wapi!!!????
naeasilisha
 
Ili mjadara uishe leteni vyeti vya RC
 
elimu ya darasani haina uhusiano na uongozi Makonda ni mchapakazi kupita maprofesa wenye PHD ZAO
 
Hivi wewe bado unahangaika na hawa wachungaji wa siku izi?? kuamua moja wawe wanasiasa hawatakiii.
Haki maandiko yanasema siku za mwisho wengi wata iacha imani na kushikamana na imani...........
 
Punguzeni maneno, leteni vyeti. Mnapoteza muda bure mkijua mnamsaidia kumbe ndiyo mnazidi kuharibu.
 
Back
Top Bottom