Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Wana jamvi, kauli ya Askofu Gwajima kuwa ANA VYETI vya RC Makonda ni makosa makubwa ya jinai ambayo askofu hastahili KUSHIRIKI!

Gwajima anahitajika KUHOJIWA ili kujua alipata wapi na ALIVIPATAPATAJE hivyo vyeti anavyodai ni vya Makonda?
Je kama alivyonavyo ni FORGERY ili kumpakazia Makonda atabaki kuwa askofu?

Na kama kuna mtu ama kikundi cha watu waliokuwa WAMEHIFADHI PROFILE ya Makonda kama {SIRI} wakaamua kuitoa nje KINYUME cha sheria nao hao WAKAMATWE!
Ni lazima tuwe na nidhamu katika kila sehemu {sic].

Askofu Gwajima pia ni lazima akae kama askofu.
Neno la Mungu linasema
" MSILIPIZE kisasi ndugu zangu mwachieni Bwana"

Gwajima haoni hilo. Yeye ni kurusha makombora ya maneno tu.
Jamani MNAIAIBISHA INJILI !!!!!

Biblia hiyo hiyo inasema "Palipo na MANENO MENGI dhambi HAIKO MBALI"
"Where there are too many words sin is NOT absent"
Tafakari hayo

Kama Gwajima anaona alionewa, si amwachie Mungu amtetee?
Swali linalonisumbua japokuwa hapo mwanzo baadhi yetu tulijaribu kumwonea huruma na kumtetea, Picha anayoitoa sasa INASIKITISHA!

Naona huyu jamaa AMEKUWA rogue!!
Ni kwa niaba ya NANI Gwajima anakuwa na UJASIRI huu?

Yesu akasema "WAOMBEENI wanaowaudhi".
Kwa nini asiendelee kuhubiri injili badala ya kuwa CONTROVERSIAL Bishop katika mambo yasiyo ya KIROHO?

Yesu alipoteswa HAKUWATISHA maadui zake. Walipomtemea mate ALINYAMAZA KIMYA.
Alipotishwa hakurudisha matisho.

La mwisho ni kuwa Gwajima ni lazima AHOJIWE na atuambie hivyo vyeti na Profile ya Makonda nani ALIMPATIA?

Kizazi Jeuri Manabii Jeuri MUNGU anaenda na tabia ya kila KIZAZI
 
Ukimwaga Mafuta ya Taa katika shimo lazima Nyoka watoke tu.
 
Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
walikuwa wanasubiri pa kuanzia.Bahati nzuri Daudi kakosa uvumilivu kalianzisha.Bora angechelewa kidogo wale walimu wasiojitambua UDSM wangempa mchongo wa kupata degree fasta fasta kwa makubaliono nae aje kuwaona.Ili ile siri ya wasomi mamguli wa UDSM kuchaguliwa iendelee.
 
Makonda hata asipotumbuliwa, tayari ana maumivu makali na nguvu za kelele hana tena.
Makonda ameiga tabia ya viongozi wa serikali ya awamu ya tano ya kukiuka kwa makusudi misingi ya haki za binadam.

Walitumbuliwa viongozi na Mh Rais na wao wakaiga kunyanyasa, kutukana na kudhalilisha watu. Bahati mbaya, machozi yale hayakwenda bure. Walipogusa wale wa madawa ya kulevya ndio cheche zikaonekana.

Lakini msingi wa hali ya sasa ni ukiukwaji wa sheria na upuuzwaji wa haki za binadam. Tujikumbushe;

1. Serikali ilitangaza mchanga kuanza kusafishwa nchini na kufunga ule mgodi wa Shinyanga ili wananchi wapate maji bila kujali kuwa kuna taratibu za kisheria.

2. Serikali iliajiri vijana wengi sana na ikawapa mikataba lakini mpaka leo hii vijana wale wanaumia na wakati huo ikasitisha stahiki za wafanyakazi.

3. Suala la Lema likajaa ukomoaji badala ya taratibu za kisheria.

4. Ukiukwaji wa taratibu za manunuzi
 
Hawa walikuwa wanajifanya magangwe,wataondoka mmoja mmoja kwa aibu

[HASHTAG]#paybacktime[/HASHTAG]
 
..Kwahiyo nachomshauri mchungaji Gwajima ni yeye kukaa na waheshimwa wabunge wachache atakaoona wanafaa na kuwapa taarifa zote muhimu alizonazo kuhusu sakata hili pamoja na huo ushahidi wa nyaraka alionao...

Hii ndio Mh. Mwigulu aliita ''kujibinafsishia'' mapambano. Why Gwajima? Kwanini waziri wa TAMISEMI au wa Elimu asiingilie kati na kufuatilia hii kitu kama ni serious kiasi hiki?. Ni rahisi sana kujua kama bwana Daudi Albert Bashite somewhere along the way alijigeuza kama nyoka na kuwa Paulo nani nanii...
 
Wana jamvi, kauli ya Askofu Gwajima kuwa ANA VYETI vya RC Makonda ni makosa makubwa ya jinai ambayo askofu hastahili KUSHIRIKI!

Gwajima anahitajika KUHOJIWA ili kujua alipata wapi na ALIVIPATAPATAJE hivyo vyeti anavyodai ni vya Makonda?
Je kama alivyonavyo ni FORGERY ili kumpakazia Makonda atabaki kuwa askofu?

Na kama kuna mtu ama kikundi cha watu waliokuwa WAMEHIFADHI PROFILE ya Makonda kama {SIRI} wakaamua kuitoa nje KINYUME cha sheria nao hao WAKAMATWE!
Ni lazima tuwe na nidhamu katika kila sehemu {sic].

Askofu Gwajima pia ni lazima akae kama askofu.
Neno la Mungu linasema
" MSILIPIZE kisasi ndugu zangu mwachieni Bwana"

Gwajima haoni hilo. Yeye ni kurusha makombora ya maneno tu.
Jamani MNAIAIBISHA INJILI !!!!!

Biblia hiyo hiyo inasema "Palipo na MANENO MENGI dhambi HAIKO MBALI"
"Where there are too many words sin is NOT absent"
Tafakari hayo

Kama Gwajima anaona alionewa, si amwachie Mungu amtetee?
Swali linalonisumbua japokuwa hapo mwanzo baadhi yetu tulijaribu kumwonea huruma na kumtetea, Picha anayoitoa sasa INASIKITISHA!

Naona huyu jamaa AMEKUWA rogue!!
Ni kwa niaba ya NANI Gwajima anakuwa na UJASIRI huu?

Yesu akasema "WAOMBEENI wanaowaudhi".
Kwa nini asiendelee kuhubiri injili badala ya kuwa CONTROVERSIAL Bishop katika mambo yasiyo ya KIROHO?

Yesu alipoteswa HAKUWATISHA maadui zake. Walipomtemea mate ALINYAMAZA KIMYA.
Alipotishwa hakurudisha matisho.

La mwisho ni kuwa Gwajima ni lazima AHOJIWE na atuambie hivyo vyeti na Profile ya Makonda nani ALIMPATIA?
Umefungwa na upofu wala hauoni.. Imeandikwa Hakuna nafsi itabaki ikiwa inatumia jina lisilo halisi.. Jina lako halisi ni utambulisho kwenye maombi.. Mtumishi anapaswa ahakikishe Daudi anatubu katika ulimwengu wa roho kama mwana mpotevu ilivyokuwa
 
Nonsense
 
Mmmm hvi hi episod haijamfikia sudy brown wa SHILAWADU?
 
Back
Top Bottom