Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,367
Hivi ushasikia zmekamatwa kilo ngapi..??
Tunachokitaka ni wewe tu na wale unao wauzia.
Hivi ushasikia zmekamatwa kilo ngapi..??
KUFOJI CHETIHivi tatizo la ndugu Bashite hasa hasa ni , kupata zero au kufoji cheti?
Ilipaswa ipelekwe puani kwako?
Au ulitaka iende wapi?.
Bashite mkubwa wewe
Oooh sorry! sikujua kama umeipenda kiasi hicho mpaka unasema "Au ulitaka iende wapi?"Hapo sawa, maana naona watu wengi wanakomaa na zero yake utadhani ni kosa kubwaKUFOJI CHETI
KUFOJI CHETI
Hapo sawa, maana naona watu wengi wanakomaa na zero yake utadhani ni kosa kubwa
Ujumbe huu ulipaswa kumwambia mtakatifu sizonje wakati walipokuwa wanaitisha ukaguzi wa vyeti.....~~~>>>>Hayo ni maneno ya kujifariji tu... Uwe umesoma kwa kuunga unga ama lah... hata ikiwa hujasoma mwisho wa siku tunaangalia "Una nini".
Una vyeti vyenye A lkn ukisikia Makonda anakuja ofisini kwako unaanza kujijambia jambia....
Una vyeti vyenye A kibao lkn unapanga foleni dukani kwa Mangi aliyeishia darasa la 7 ili umkope ulipe mwisho wa mwezi...
Bado kwangu naona Makonda nimpambanaji... Kuwa jambo alikutana na changamoto za Shule ila alitambua kuwa maisha hayahitaji vyeti... Jamaa akapambana na ametoboa kweli.
Hongera sana Makonda...
Autoe wapi? Moyo umeshapanuka kwa presha unachezea kufoji wewe!Hivi analala usingizi kweli?
issue ni nyepesi sana kama DAUD ana vyeti aweke mambo sawaWanasahau DJ hana hata cha drs la saba!
Hahaha huu niupepo na Vibendera kama kawaidayao kufuata
Muda si mrefu inabuma
na mapambano ya Madawa yapo palepale
nimeamka pouwa baba languManka...umeamkaje mama langu??
kosa si kupata zero kosa ni kufoji chetiHapo sawa, maana naona watu wengi wanakomaa na zero yake utadhani ni kosa kubwa
Kutaja wauza unga hadharani na hasa home boy gwa na jimaHivi tatizo la ndugu Bashite hasa hasa ni , kupata zero au kufoji cheti?