Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

"Bashitelism" isikie tu kwa jirani.Inafifisha kujiamini,inadidimiza heshima kwa wote wanaokuzunguka,inaondoa furaha na kupoteza moyo wa ujasiri kukemea makosa yanayohusiana na taaluma au uweledi.Bashistelism inazima moyo wa kiuongozi na kiutawala ndani ya nafsi ya mtu.

Tuwashukuru pia hata "vipanga" waliojitolea kutufundisha au kudesa wakati wa majaribio na mitihani.Wale walioshindwa kwenda "tuition" miaka hiyo,kuna walituletea madesa toka Mzumbe,Tabora Boys,Kibaha na Ilboru,Kilakala,Msalato na Weruweru.Hawa wote walituokoa na "Bashitelism
".

.
Mkuu nimependa hizo paragraphs
 
Wenyewe wako bize kuuliza sifa za mtu kuwa mkuu wa mkoa wakati wenzao hoja yetu ni uadilifu kwa mtu anayekuwa Mkuu wa Mkoa!!
Uadilifu ni muhimu. Uadilifu pasipo elimu kwa cheo cha mkuu wa mkoa ni bure. A physician without education is a witchdoctor.
 
Lipi linaangamiza taifa Kati ya madawa ya kulevya na vyeti vya mtu?
 
Nilikuwa naangalia interview ya Mama na Mzee Bashite nilicheka sana, wamediriki hadi kusema Daudi ndiye the one and only son
 
Oooh sorry! sikujua kama umeipenda kiasi hicho mpaka unasema "Au ulitaka iende wapi?"

But Rais2020 hukua na sababu ya kusema "llipaswa ipelekwe puani kwako?" coz hicho kitu hakipo wala hakiwezekani, ongea vitu vyenye maana.
Hebu ongea basi wewe kitu chenye maana,ilipaswa iende wapi?
 
GOT FROM ANOTHER FORUM
DANGERS OF ANOINTING OIL AND WRISTBANDS
In the spiritual world anointing oil, water or any other object is given to members to establish contact with the demonic world.These objects which are a symbol of a covenant with satan are to be worn around the waist, hands or neck. In the case of anointing oil and holy water, it has to be applied to the body, or used in food etc. The use of these items enslaves one and leads to idolatry because all your hopes are now centered around those things.The word clearly ..."says you shall have no other gods before me. You shall not make for yourself an idol in the form of anything in heaven above or on the earth beneath or in the waters below..."Exodus 20: 3
Unknown to members is by getting in contact with those things you have subjected yourself to go under your prophet's occultic survelliance and covenant. When you go under the prophet's spell, your decisions and behaviour begins to be controlled by the anointing oil ,wristband or whatever object you have been given.
Spell 1 - Over Glorifying your prophet.
Have you ever met a person who will speak about their prophet so much it's evident they are under a spell? Everything is about their Prophet, with little or no mention of GOD. The conversation is all about how great their prophet is, the great works their prophet is doing, not God. It is bad to the extent that when you part ways they never said, were they work, what business they are into, whether they are married or not. The whole conversation was about their prophet. You then wonder where God is.
Spell 2. - Vengeance and War
Some have been possessed and cast with the spirit of war and are blood thirst, they openly declare they are willing to kill for their Prophet. Those same people would never kill for their own parents, children etc, but they can kill for a prophet. When anyone says anything bad about their prophet, they retaliate viciously in an unchristian way, nothing they say in the process is backed up with any scripture, it is just war. All these are signs of being under a serious spell?
Spell 3. Toiling for the prophet
Some people will work and take all their money to church. Rent will not be paid, their biological parents could be sick or in need of money and they will say they don't have money, but they will take to church. They themselves will go without food in their homes, but they would have taken money to church, they will take to church and borrow for their own survival.
Spell 4. Backwardness
Some have been in the same church for over 5years, wearing wristbands, using anointing oils and still things are getting worse in their lives. Every service they are told a breakthrough is coming, and they believe, Insanity is doing the same thing over and over again expecting different results.
Only a spell can cause people to do this. Many occultic prophets are using Sandawana oil that casts spells on their congregates. If you go to West Africa and South Africa you will find that most of breakthroughs marketed comes with an anointing oil. When you use the oil the breakthrough is not for you but your prophet, as you lose your fortunes your prophet will be gaining immense wealth.You can easily verify all this.
Do you know there are children who have disowned their parents, children, sisters, brothers for not believing in their prophet. Some even resigned from work because their boss was against their prophet.
The world has become a dangerous and deceitful place. So much evil is taking place behind closed doors, people are not who they say they are. You see ,in the Bible Jonah was a silent killer of peace, joy and wealth as containers were being thrown out of the ship so that the ship wouldn't sink,he was sleeping. Some of you by the time you know who your prophet is you would have thrown opportunities, relatives and relationships away.
Pray to God that those under these spells may begin to see the light.
Amen
Asante mkuu somo mubashara
 
Huyu Daudi Bashite a.k.a Paul Makonda,kumbe ni kilaza kiasi hiki?
Degree anaandika Digree. Jamani huko shule alienda kusomea ujinga?(In Faizafoxy voice)
47caa847e27ad9284951a06a75f261a0.jpg
Watu wa Misungwi mpo ? Vijana wa 1982 Misungwi tupatieni data
 
Hiyo degree haina maana kama huku chini yaani form four alipata fafafa zote
 
Huyu Daudi Bashite a.k.a Paul Makonda,kumbe ni kilaza kiasi hiki?
Degree anaandika Digree. Jamani huko shule alienda kusomea ujinga?(In Faizafoxy voice)
47caa847e27ad9284951a06a75f261a0.jpg
Typing errors za wadada wa Steshenari tu hizo
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,hii si kana kwamba aliandika mwenyewe,nafikiri mnajitoa tu ufahamu,mnajua hilo bango linapatikanaje,mna tofauti gani na Gwajima kusema ana vyeti vya Mh,Makonda vya Form 4 zilo? 0!
 
Chadema: JK alisema ana majina ya wauza dawa za kulevya kwanini serikali isiwataje hadharani ili watanzania wawafaham na serikali iwashughulikie ipasavyo

Makonda: Wema,TID, chid benzi,lulu diva,rommy jons, nk

Chadema: Hii serikali ni ya ajabu sana yaan inawataja watumiaji na waathirika wa madawa ambao badala kuwapeleka soba wao wanawaweka mahabusu, tunataka muwataje mapapa sio hao wagonjwaa.............

Makonda: Manji, Azan, Gwajima, Mbowe nk

Chadema: Makonda alinunua cheti cha mtu cha elimu, yeye jina lake kamili ni Daud Bashite, Rais mtumbue, mtumbue

Makonda&watanzania wazalendo: ???????

Chadema: Daud Bashite, Daud Bashite, Daud Bashite, Daud Bashite

Unadhani chadema wanataka nini????
 
Pius Luhende alipoteuliwa kuwa mkurugenzi wa halmashauri, alipata kashfa ya elimu. Akatoa ushahidi hadharani... Picha hii ni yeye akionyesha Cheti chake huku JPM akihutubia... Paul aweke wazi tu mambo yaishe, mkewe kaweka akaunti yake ya Insta private baada ya watu kugundua kuna picha alipost na kuweka caption ya 'mama daudi mwenyewe'.....
57338a147bed11d8185e92cbfad2b796.jpg
Duuuuh
Hii sijaipata hii,kwa hiyo hata mke analijua hilo jina?
 
Back
Top Bottom