cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,668
- 78,159
Kweli mnampenda Makonda ila hamtaki kukubali, yaani wewe hadi ya kifo umeyafikiria DUH
Vituko vya wavivu, wenye wivu, wa ngada haviishi
Vituko vya wavivu, wenye wivu, wa ngada haviishi
Kwa kweli sijwahi kuona mtu wa Mungu anakuwa mtu wa visasi sina shaka huyu ni agent wa lucifier this is true JF Members and other viewers.
Kama sio kweli kuwa ni mtu wa mgada mbona unakuwa mkali na kushindwa kuwa a true man of God who respect peoples values no matter what?
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.
Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.
Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.
Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?
=======
PAUL MAKONDA:
1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.
2. Majina yake halisi ni Daudi Albert Bashite
3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bashite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.
4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).
5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.
6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.
7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).
8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.
9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.
10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg. Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Meya wa Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.
11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.
12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.
13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).
14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management & Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokuwa akisoma (akawa discontinued).
15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na carries 3 ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa carry over na supplementary. Akaamua kuacha chuo.
16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.
17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community & Economic Development (CED).
18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community & Economic Development kwa jina la Paul C Makonda badala ya majina yake halisi ya Daudi Albert Bashite
19. Jina Makonda analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda baada ya kuapa mahakamani.
20. Ndugu Daudi Albert Bashite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.
Dogo anapiga kimyakimyaKwahiyo dawa kwa sasa ni kukaa kimya tu? Nimekuelewa mleta huzi ila kumbuka kuna watu walikaa kimya maofisi wanachapakazi lakini walitumbuliwa sababu ya we mwambie atoe uthibitisho ili awe huru kupiga kazi tumemiss yale makeke yake chezea shule!
Umeandika nini? Wakati ulikuwa bado, ukiwavuruga watu kwa kiburi, jeuri, ushetani vinakurudia!Wakubwa poleni sana na kazi,
Napenda niwakumbushe jambo moja lililowahi kutokea hapa Tanzania na kuvuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi. Mchungaji Mwasapile Almaarufu babu wa Samunge aligundua dawa ya miti shamba iliyodhaniwa kuwa inatibu magonjwa mengi ukiwemo UKIMWI.
Watu wengi walikwenda kupata tiba hiyo iliyokuwa ikihusisha unywaji wa dawa kwenye Kikombe. Kimsingi watu wengi waliamini na baadhi yao walikatisha dozi zao za madawa waliyopewa mahospitalini.
Wengi walikufa kutokana na kukatisha dozi. Swala la mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Makonda na kazi anayofanya kwa manufaa ya wananchi itadumu katika mioyo ya wenye kuhitaji ila wenye kubeza kwa ajili ya kuguswa na kazi hizo watavuma kwa muda mfupi na kisha kusahaulika.
Uteuzi ulipofanyika kwamba Makonda awe RC wabaya wake kwanini hawakuyasema haya ya Bashite? Kwanini sasa?
Nawaomba wananchi wote wenye dhamira ya dhati kuweza kumaliza janga hili la madawa ya kulevya tushikamane na Mkuu wetu wa nchi na viongozi wengine wenye kulitakia mema taifa hili. Muda si mrefu huu upepo wa madai yasiyo na vielelezo utazimika kama Mzee wa Kikombe, a.k.a Mwasapile.
Fafanua MzeeUmeandika nini? Wakati ulikuwa bado, ukiwavuruga watu kwa kiburi, jeuri, ushetani vinakurudia!
I can gather from your post you are trying to defend him!Fafanua Mzee
It is a wise decision to defend him from unfair colloquie. Whichever you prefer to be done against him will be punched instantly. Wengine tunamifano hai ya athari za madawa haya.I can gather from your post you are trying to defend him!
Wote tuna mifano, lakini siyo hivyo alivyofanya! Naye ni muovu, vyeti sio vyake, hana tofauti na madawa ya kul;evyo..... education opium....?????It is a wise decision to defend him from unfair colloquie. Whichever you prefer to be done against him will be punched instantly. Wengine tunamifano hai ya athari za madawa haya.