ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,291
- 4,967
Hivi darasa la 4 unafelije ?
Hata mimi nashangaaHabari wakuu...
Siyo kawaida kwa bwana mdogo Makonda kukaa kimya hasa pale anapotajwa au kuhusishwa na mambo fulani katika Jamii.
Sasa suala la vyeti vya Paul Makonda ni habari iliyopata umaarufu mijini na vijijini, na mbaya zaidi pale inaposemekana anatumia vyeti visivyo vya kwake. Hizi tuhuma siyo nyepesi hivyo Makonda ajitokeze hadharani kujibu kashfa hizi kama alivyokuwa mwepesi kuwahi Clouds Media kutoa series za madawa ya kulevya.
Njoo kibarazani Bw Daudi utuweke wazi.
Kumbe hata watu wakubwa hukumbwa Na stress disorder, Daudi bashite katika page yake ya Instagram amepost picha za huzuni Na kujipa moyo kwa kusikiliza mahubiri ya kutia moyo.
sasa Daudi bashite kwanini upate stress disorder. jitokeze, kuwa jasiri ita media zote ,prove it!
nakuonea huruma Daudi bashite !!! usije ukawehuka.