Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Tatatizo lipo wapi Kila mtu ana muda wake wa kusoma. Kuna watu wanatabia kwenda kusoma saa 6, 9,10 usiku wakati wenzio ndo wanaenda kulala.
 
Huwezi kumhukumu mtu kwa kuangalia picha tu,huwezi jua huyo aliyelala pengine siku hiyo alikua hajisikii vizuri,pengine alikua ana umwa na kichwa so,akaamua ajipumzishe kidogo,

Pia upo uwezekano kua huenda labda yeye alianza mapema zaidi ya hao wenzake kujisomea na hapo wenzake walikua wanamalizia jambo fulani tu dogo so, yeye akaamua apumzike,

Ziko sababu nyingi tu za kuitafsiri hiyo picha ila mleta mada umeamua kuitafsiri in a negative way only,

Naona Jamii forums sasa inageuka na kua kawa Instagram,kuna team Makonda na kuna team Wema!!
JF irejeshe hadhi yake,sio kila unachokiokota huko kwenye magroup ya WhatsApp basi unakimbia mbio kuja kuanzisha thd humu, sio kwamba nawapangia watu vitu vya kujadili hapana sina maana hiyo, jf irudi katika ubora wake.
Yeye ndo aliyeaamsha aliporudi kutoka kubukua
 
Miaka mingi huko Sumve wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza kulikuwa na mzungu aliyeitwa Jonathan,nyumbani kwa Jonathan ndio ilikuwa sehemu pekee iliyokuwa na bomba la kupampu (kama ya Hesawa) basi kila asubuhi majirani wa Jonathan walikuwa wakifika nyumbani kwake kwa minajiri ya kuchota maji lkn walikuwa wakipata wakati mgumu sana kumuamsha asubuhi maana majirani wale walikuwa wakishindwa kabisa kutamka jina Jonathan (ni kawaida ya wasukuma kushindwa kutamka baadhi ya majina , mfano Abdallah huwa anaitwa Bundallah au Magdalena anaitwa Madelena) .Kuondoa usumbufu huo kila walijaribu kuita jina lake kwa shida,Jonathan aliwaambia "call me J" baada ya hali ile kujirudia kwa muda wenyeji wale walijiridhisha kabsa kwamba jina lingine la Jonathan ni call me J=Kolomije ( likoromije ghete' kwa maana hili linaitwa Likoromije),hapo ndipo mwanzo wa jina hiliKolomije,miaka ikapita baadae akazaliwa Gwajima na miaka ikapita zaidi akazaliwa Daudi na kwa taarifa tu kila ndege inayopita kwenye anga la Kolomije huwa inaitwa Gwajima.
Karibuni kwa maswali
 
Watumishi tumemuelewa gwajima na tume muunga mkono yakiwa upande wenu kimyaaa kibao kikigeuka mnatalk gwajima mwaga mboga ugali ulimwagwa walikaa kimya waliona ni sahihi vipi kwenye mboga blah blah nying
Aweke na yeye Vyeti vyake vya Uchungaji,, tujue kasomea chuo gani ,, maana haifai kujiita Dactari wakati hujawahi kusomea Udaktari ktk Chuo chochote,,
 
Ingia Instagram angalia nkipal ni nani, onganisha doti then subili episode inayo fuata
 

Attachments

  • Screenshot_20170228-001820.png
    Screenshot_20170228-001820.png
    475 KB · Views: 40
Mungu akuhurumie gwajima naomba kujua na uthibitidhe tangu baraza LA mitihani kutoa Cheri chenye sufuri.pia wewe unavimiliki umevitoa wapi? Au saivi nacte wanadouble vyeti......kweli wewe ni mtu wa kupu.....


lakini mpaka saa hizi hakuna mtandaoni majibu ya form four ya daudi bashite, ya paul mayenga??

huyo aliyeuza cheti hajaonekana watu wakamuhoji??
 
wewe sikiliza dogo...bashite angepata div3 au div4 tungehisi hivyo unavyowaza wewe...zero maana yake alikuwa hapendi kusoma,,..yaani hakuna anachokijua....mbururah yani...
hajua kitu kuhusu masomo hata kuandika essay hawez...
sasa apo boma reports huwa anafanyaje sijui.....always kila.aza atabaki kuwa kilaza tu.....kweli kuwa original laha
Heshima haiuzwi dukani,unayemuita dogo huenda akawa sawa na Baba yako,kua muangalifu sana.
 
Wakuu heshima kwenu,
Mimi binafsi tayari nimeshaanza kunusa ukweli wa sakata la mkuu wa mkoa wa dar kupitia maelezo ya hii picha ya instagram iliyotumwa na mkewe.

Screenshot_2017-02-28-00-39-11.png


Picha hii imejibu swali moja muhimu ambalo ni lile la kutaka kujua kama hili jina la Daudi ni la bwana rc au sio lake.

Jibu limepatikana kwamba ni kweli Ndugu rc anaitwa Daudi.

Tuendelee kuusaka ukweli....Muda utatueleza
 
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.

Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.

Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.

Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?



=======

PAUL MAKONDA:

1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.

2. Majina yake halisi ni Daudi Albert Bashite

3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bashite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.

4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).

5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.

6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.

7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).

8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.

9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.

10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg. Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Meya wa Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.

11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.

12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.

13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).

14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management & Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokuwa akisoma (akawa discontinued).

15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na carries 3 ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa carry over na supplementary. Akaamua kuacha chuo.

16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.

17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community & Economic Development (CED).

18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community & Economic Development kwa jina la Paul C Makonda badala ya majina yake halisi ya Daudi Albert Bashite

19. Jina Makonda analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda baada ya kuapa mahakamani.

20. Ndugu Daudi Albert Bashite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.


Kwa kweli sijwahi kuona mtu wa Mungu anakuwa mtu wa visasi sina shaka huyu ni agent wa lucifier this is true JF Members and other viewers.

Kama sio kweli kuwa ni mtu wa mgada mbona unakuwa mkali na kushindwa kuwa a true man of God who respect peoples values no matter what?
 
Back
Top Bottom