Nana brain
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 488
- 367
Hiyo pichwa ilipostiwa mtandaoni na mmoja wa walio kwenye picha hiyo mara tu baada ya makonda kuchaguliwa kuwa mkuu wa mkoa, alipost akimaanisha ' huwezi jua kesho utakuwa wapi' nakumbuka mpaka aliepost alipigiwa simu na clouds kuhojiwa maswali kadhaa
Hii picha nimekutana nayo muda mrefu mitandaoni ila mimi sikuelewa. Leo katka group flani la Whatsup ikatumwa tena. Mi nikaona hata wakiniona kilaza poa tu acha niulize, hii picha yamaanisha nini? Ndyo wakanifahamisha kuwa aliyelala apo ni Daudi Bashite.
Mpaka sasa sijaamini kama ndye yeye. Na kama ndye yeye basi watanzania nimewaamshia mikono kwa kufukunyua maisha ya watu.
Hili la Makonda limekwisha...nasubiri sasa ile PhD feki; Dr gani hawezi kuongea hata sentensi moja ya kimombo fasaha hadi anazidiwa na watoto wa Grade 1 pale St.Mary's?
Duh Leo mkuu wa mkoa
Hii picha nimekutana nayo muda mrefu mitandaoni ila mimi sikuelewa. Leo katka group flani la Whatsup ikatumwa tena. Mi nikaona hata wakiniona kilaza poa tu acha niulize, hii picha yamaanisha nini? Ndyo wakanifahamisha kuwa aliyelala apo ni Daudi Bashite.
Mpaka sasa sijaamini kama ndye yeye. Na kama ndye yeye basi watanzania nimewaamshia mikono kwa kufukunyua maisha ya watu.
Kama weweNaona dalili mbaya kwa JF. Wajinga wamejazana humu
Sidhani kama hiyo ni sababu ya kufeli mimi nilikua mzee wa umabo ila sikutaga.Wanafunzi WA Dar asa wale walio katika Shule Za kata wengi wao awafiki shule utawakuta wamejazana kwenye fukwe za bahari (Beaches) mbaya zaidi wakiwa wamevaa sale Za Shule. Nadhani wahusika wawachukulie ataua pamoja na jamii endapo watakutwa uko mida ya shule wakiwa na sale Zao
Fools. Rudini Facebook, mnachafua hadhi ya JFKama wewe
Wenzake wanakula book yeye ametia mbonji. Ndio maana disco kibao
Hii picha nimekutana nayo muda mrefu mitandaoni ila mimi sikuelewa. Leo katka group flani la Whatsup ikatumwa tena. Mi nikaona hata wakiniona kilaza poa tu acha niulize, hii picha yamaanisha nini? Ndyo wakanifahamisha kuwa aliyelala apo ni Daudi Bashite.
Mpaka sasa sijaamini kama ndye yeye. Na kama ndye yeye basi watanzania nimewaamshia mikono kwa kufukunyua maisha ya watu.
Nimecheka sana.Miaka mingi huko Sumve wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza kulikuwa na mzungu aliyeitwa Jonathan,nyumbani kwa Jonathan ndio ilikuwa sehemu pekee iliyokuwa na bomba la kupampu (kama ya Hesawa) basi kila asubuhi majirani wa Jonathan walikuwa wakifika nyumbani kwake kwa minajiri ya kuchota maji lkn walikuwa wakipata wakati mgumu sana kumuamsha asubuhi maana majirani wale walikuwa wakishindwa kabisa kutamka jina Jonathan (ni kawaida ya wasukuma kushindwa kutamka baadhi ya majina , mfano Abdallah huwa anaitwa Bundallah au Magdalena anaitwa Madelena) .Kuondoa usumbufu huo kila walijaribu kuita jina lake kwa shida,Jonathan aliwaambia "call me J" baada ya hali ile kujirudia kwa muda wenyeji wale walijiridhisha kabsa kwamba jina lingine la Jonathan ni call me J=Kolomije ( likoromije ghete' kwa maana hili linaitwa Likoromije),hapo ndipo mwanzo wa jina hiliKolomije,miaka ikapita baadae akazaliwa Gwajima na miaka ikapita zaidi akazaliwa Daudi na kwa taarifa tu kila ndege inayopita kwenye anga la Kolomije huwa inaitwa Gwajima.
Karibuni kwa maswali
okMiaka iliyopita walikuwa wanatoa
WeweWauza ngada???unawajua???mtaje aliyeshtakiwa kwa kuuza ngada tz
Wakikitaka cheti chako kinapatikana tu. Hata huko necta kuna watu ambao anawakera kwa hiyo lazima cheti kipo. Kuna sehemu aliomba kazi vitakuwepo tu wala hii siyo siri. Hata ndani ya nyumba kuna ambao hakubaliani naye kwenye mitaa anakokaa wale pia siyo Wema. Ukiwa na busara watakusitiri lakini ukimchimba kila mtu watakuchimba na weweHuku si ni kudanganya mchana kweupe, mm nafikiri mtu anaweza kuwa na matokeo ya mtu lakini si cheti chake au hata result slip kwa sababu hivi vitu hutolewa kwa muhusika tuu, na kama mtu alifeli cheti huwa hapewi au necta huwa wanabaki na cheti cha ziada kwa mhitimu? je kama ndiyo hivyo huyu anayesema ana ushahidi kwa maana ya vyeti yeye kavitoa wapi? au mtuhumiwa mwenyewe kaamua kuvujisha siri zake mwenyewe?