Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Duh,hakika ukiwa muongo unatakiwa uwe na ubongo uliotulia,ukibug step kidogo tu umekwenda na maji,Ndo maana Abraham Lincolin alijisemea"No man has a good enough memory to be a successfull liar."
Huyo binti naye ni mzembe sana.. Yani hili vuguvugu hakujua madhara ya hiyo post yake?
 
Aaah mama ashaua hapo,
Ubaya naskia hawana mtoto
Maana wangekuwa na mtoto at least wangesema aka yake ni Daudi.

Ila pia kosa la Bashite aka Makonda, siyo kufeli kosa ni forgery, kama kufeli, kina Mbowe na Ole sendekea walisha feli na wanapiga mzigo fureshi tuu.
Makonda or Bashite or whoever ajitokeze kujibu tuhuma maana hali ishakuwa mbaya hapa.
Kumnasa mtu aliye badili jina ni rahisi sana,mmchukue na kumpeleka sehemu aliyokulia kisha piga nae misele hapa na pale utasikia tu rafiki zake wa enzi hizo jina wanalomuita.

Daudi vp za siku au Daudi umenenepa sana au Daudi mambo yako super sana dah hahhaaa
 
Huyo binti naye ni mzembe sana.. Yani hili vuguvugu hakujua madhara ya hiyo post yake?
57 weeks ago mkuu approximately a year and 2 months ago,hakukua na hili vuguvugu na naamini hawakuwahi kufikiri watu watachimba mpaka kufika huko.
 
Kumnasa mtu aliye badili jina ni rahisi sana,mmchukue na kumpeleka sehemu aliyokulia kisha piga nae misele hapa na pale utasikia tu rafiki zake wa enzi hizo jina wanalomuita.

Daudi vp za siku au Daudi umenenepa sana au Daudi mambo yako super sana dah hahhaaa
Halafu huhitaji watu wengi sana
Unahitaji watu 5 au 10 tu kujua ukweli wa jambo
 
57 weeks ago mkuu approximately a year and 2 months ago,hakukua na hili vuguvugu na naamini hawakuwahi kufikiri watu watachimba mpaka kufika huko.
Nafikiri ni mpango wa Mungu tu, maana kama angekuwa mjanja mara tu baada ya vuguvugu kuanza angeifuta hiyo post
 
Hahahaaaaaaaaaa

Mama Daudi mwenyewe, akimaanisha yeye atakuwa mama wa Daudi. Imani ya kupata mtoto hiyo jamani, kutoka kwake msoma biblia.
 
Aliiimba kijana mmoja anaitwa hammer qq "halifuchikiiii eeeh halifichikii pembe la ng'ombe"
 
Mmh! Kila ck Makonda Chadema wana siasa za ajabu Sana, kwa mwendo huu mnategemea kushika nchi kwek? Labda nchi kavu
 
Kamata mwizi!Jamani ama kweli kama hujui historia yako na chimbuko lako basi kuwa mwanasiasa!Utapewa kila kitu,hasa makando kando!
 
Duh,hakika ukiwa muongo unatakiwa uwe na ubongo uliotulia,ukibug step kidogo tu umekwenda na maji,Ndo maana Abraham Lincolin alijisemea"No man has a good enough memory to be a successfull liar."

Na mradi hiyo post ya ''insta'' imeshafanyiwa copy hapa JamiiForums hata wajaribu kuifuta ''electronic / digital footprint'' haiwezekani, imeshakuwa permanent hawana ujanja tena. Kweli JamiiForums kupitia World Wide Web (www.) ni hazina kubwa ya kuhifadhi kumbukumbu za '' kivuli cha kiruhani'' '' a.k.a person's digital shadow.
 
Back
Top Bottom