Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Huwezi kumhukumu mtu kwa kuangalia picha tu,huwezi jua huyo aliyelala pengine siku hiyo alikua hajisikii vizuri,pengine alikua ana umwa na kichwa so,akaamua ajipumzishe kidogo,

Pia upo uwezekano kua huenda labda yeye alianza mapema zaidi ya hao wenzake kujisomea na hapo wenzake walikua wanamalizia jambo fulani tu dogo so, yeye akaamua apumzike,

Ziko sababu nyingi tu za kuitafsiri hiyo picha ila mleta mada umeamua kuitafsiri in a negative way only,

Naona Jamii forums sasa inageuka na kua kawa Instagram,kuna team Makonda na kuna team Wema!!
JF irejeshe hadhi yake,sio kila unachokiokota huko kwenye magroup ya WhatsApp basi unakimbia mbio kuja kuanzisha thd humu, sio kwamba nawapangia watu vitu vya kujadili hapana sina maana hiyo, jf irudi katika ubora wake.
Kinachochekesha apa ni yale yanayoongelewa ukihusianisha na hii picha daaaa kwi kwi kwi!!!
 
Msuli tembo ,matokeo sisimizi...Bashite alituwa anatusua tu kwenye pepa mpaka watu wanamshangaa .[HASHTAG]#You[/HASHTAG] were very bright Bashite.
 
besti Sasa jiulize hata cheti cha kuzaliwa jamaa kafoji na kupata passport Kwa jina la Makonda
Na hapo ndipo ninapowaogopa Wa-TZ kwa usanii! Uchunguzi pia ufanyike ijulikane hata hicho cheti cha kuzaliliwa kilitolewaje? Na kama tunataka kushinda undanganyifu ktk taifa letu huyu kiongozi na awe mfano wa kukukiri hadharani kwamba alifanya udanganyifu.
 
MCHUNGAJI Gwajima Ni Kiboko!! Utafiti huu Sio wa Kitoto, Naunga hoja ya Mjumbe Aliyesema Anamkubali, Ni Sampo ya Aina yake.
Ama Kweli Waswahili Wanasema UkilikoLoga Utalinywa.
 
Back
Top Bottom