Sio wote wanaochelewa kulala wanatoboa, Labda kilichomekewaMagufuli aliwahi kusema alikuwa analazimika kulala usiku wa manane ili kupitia na kukagua majina ya wateule wake
Uyo mwenye cheti kasema hajampa makonda na angeweza yeye kusoma xhuo kama angempa makonda cheti chake? ina maana chuo wangeenda watu wawil wanaotumia cheti kimoja? kuweni na akili axheni kulishwa maneno, gwajima yeye sio waziri wa elimu wala mwenyekiti wa necta, nitachoamn gwajima ana povu la kutajwa, mungu anajua sana ndomana hakumpa urefu gwajima maana angesumbua sana. Gwajima namfahamu kama mzinifu mwizi wa wake za watu....na muuza unga hasiyetumia unga...namn ushahidi upatikane zaidi atiwe hatiani.....Ninachoamini kuwa gwajima na story zake za kutunga na kujingiza kwenye siasa uku akisahau kazi yake alonayo...Namkumbusha gwajima haache kula pesa za wahumin wake kuwatapeli na kujijengea majumba ya fahari mno.....Who iz gwajima....?? Gwajima ni mzinfu mwizi....mropokwaji,,,,Mfitinishaj wa ndoa za watu
kanywe juice ya ukwaju usikilizie utamu wa ugwadu na si kuongea mambo ya bashite
abeeManka???
abee
upande wa MUNGUNimeingia muda si mrefu sijaweza pitia comments Zote maana Uzi unakimbia balaa..
Upo upande gani mama angu ????
Yani ni kiboko ya uchafu hata Jik haioni ndani tehe tehe teheGwajima ni daktari bingwa wa kutibu wendawazimu wanaobwabwaja hovyo.
Tuachane na utapeli wake gwajima,haya naomba vyeti vya daud bashite harakaKati ya wachungaji matapeli basi huyu gwajima namba moja aise
Yupi huyoMbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
Zero ipo au haipo ........................!!?Ngwajima ni chizi tangia lini mwenye zero akapewa cheti?
Maji ukiyavulia sharti uyaogeWalikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Umeolewa??Ziro ya cheti cha ndoa au, maana ndo hupatikana kanisani
Ohoooo!!!Ndio wanapewa, kwani wewe hukupewa?