moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,287
Watu wengi sana wanamlaani huyu mtu yeye hajui tuMimi ameniudhi tu kumdhalikisha Manji wakati anashikilia ajira za watu 5000, kama kutumia kwanini wasimchukue Chid benzi?
Watu wengi sana wanamlaani huyu mtu yeye hajui tuMimi ameniudhi tu kumdhalikisha Manji wakati anashikilia ajira za watu 5000, kama kutumia kwanini wasimchukue Chid benzi?
Apeleke ushahidi mahala husika makonda atachukuliwa hatuaHii inaitwa “Kill Or Be Killed"....shida ya michezo mibaya ukiishamkosea step adui yako kidogo tu naye akapata chance yakukuchapa hutokaa uamini kitakachokutokea na ndo kinachomtokea Bashite.kama kweli Gwajima kayasema haya lazima atakuwa na hard evidence maana ni jambo zito.
Yeah ndo usiseme sasa kuwa awe mfano wa kuigwa sijui ni hardworker...... we jua kwamba sio fighter wala nini ni mjanja flani tu kafoji vyeti baada ua kukata tamaa ya kufeli kila cku shuleni na pia aliponra baada ya kukutana na benjamin sitta ndio akabebwa..... so dont tell us that BS eti mfano wa kuigwa unatudhalilisha sisi vijana.wewe umefika wapi? acha wivu wa kijinga
Mungu hasimami na wanafikiKuamua kutumia cheti cha mtu mwingine ili atoboe kimaisha ni akili kubwa sana na anaonyesha ni mpambanaji, sio mtu wakubweteka. Tatizo liko kwenye vita aliyoianzisha. Mwenyezi Mungu msaidie katika kazi hii.
Yeah ndo usiseme sasa kuwa awe mfano wa kuigwa sijui ni hardworker...... we jua kwamba sio fighter wala nini ni mjanja flani tu kafoji vyeti baada ua kukata tamaa ya kufeli kila cku shuleni na pia aliponra baada ya kukutana na benjamin sitta ndio akabebwa..... so dont tell us that BS eti mfano wa kuigwa unatudhalilisha sisi vijana.
Wivu???😀😀 Oooh pliz...... kwa lipi??? Mkuu yaani nmuonee wivu mtu aliyebebwa na aliyepata GPA ya 2.7???? Really??? Sihitaji kuboast ila what i have is very enough kwa umri wangu na sina haja ya kumuonea wivu mtu yoyote maana nmeridhika na maisha yangu siwezi anza muonea wivu MFOJI VYETI na KILAZA wa division zero
OVER MY DEAD BODY
Hana shida ya kufanya hivyo wewe unayemtuhuma thibitisha tuhuma zakoKwani huwa vinapatikana wapi? Mwambieni Makonda aonyeshe vyeti vyake hadharani
Hana shida ya kufanya hivyo wewe unayemtuhuma thibitisha tuhuma zakoKwani huwa vinapatikana wapi? Mwambieni Makonda aonyeshe vyeti vyake hadharani
Labda uonee wivu kalai lakeYeah ndo usiseme sasa kuwa awe mfano wa kuigwa sijui ni hardworker...... we jua kwamba sio fighter wala nini ni mjanja flani tu kafoji vyeti baada ua kukata tamaa ya kufeli kila cku shuleni na pia aliponra baada ya kukutana na benjamin sitta ndio akabebwa..... so dont tell us that BS eti mfano wa kuigwa unatudhalilisha sisi vijana.
Wivu???😀😀 Oooh pliz...... kwa lipi??? Mkuu yaani nmuonee wivu mtu aliyebebwa na aliyepata GPA ya 2.7???? Really??? Sihitaji kuboast ila what i have is very enough kwa umri wangu na sina haja ya kumuonea wivu mtu yoyote maana nmeridhika na maisha yangu siwezi anza muonea wivu MFOJI VYETI na KILAZA wa division zero
OVER MY DEAD BODY

Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Peleka ushahidi kwanzaUhamiaji wamcheki huyu,kapata passport kwa taarifa za uongo na jina la uongo!
Mti mkavu usio na majani usiopandwa na nyani!Huyu ndiye Gwajima ninayemfaham
Hawezi kukaa kimya kama anahisi uozoKama anajuwa aliyepewa kapewa angekaa kimya siyo kutaja majina ya watu hivyo kuwa wanauza madawa ya kulevya.
Amuonyeshe nani? Kwani anashida gani? Ameshamuonyesha muajiri wake ameridhika? Kama unashida navyo peleka tuhuma na ushahidi mamlaka husika achukuliwe hatua.Daudi atuoneshe cheti malumbano yaishe.
Unajuaje km feki?Vyeti feki ni kosa kwa wengine ila kwa rc kuvitumia syo kosa!
Ova