Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

6c4e3f4feceb6628fe230e20eae6f6bd.jpg

imfikie mteule wa sizonje usiwe mchoyo share ifike
 
Duuhkaanza la Kwanza 1988 kafeli La Nne Mara 2 bado akamaliza 1996? Mbona mapicha picha
Wewe utakuwa kilaza zaidi ya Daudi Bashite, wewe ulitaka amalize mwaka gani? Darasa la kwanza 1988, la pili 1989, la tatu 1990, la nne 1991,la nne 1992, la nne 1993,la tano 1994,la sita 1995,la saba 1996,. Nadhani umeelewa.
 
Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Si swala la kutaka kujua jamaa yangu,mbona hata Gwajima hakutajwa siku nyingi kama anauza ama kutumia madawa ya kulevya.
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.

Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.

Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.

Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?



=======

PAUL MAKONDA:

1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.

2. Majina yake halisi ni Daudi Albert Bashite

3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bashite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.

4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).

5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.

6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.

7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).

8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.

9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.

10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg. Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Meya wa Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.

11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.

12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.

13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).

14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management & Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokuwa akisoma (akawa discontinued).

15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na carries 3 ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa carry over na supplementary. Akaamua kuacha chuo.

16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.

17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community & Economic Development (CED).

18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community & Economic Development kwa jina la Paul C Makonda badala ya majina yake halisi ya Daudi Albert Bashite

19. Jina Makonda analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda baada ya kuapa mahakamani.

20. Ndugu Daudi Albert Bashite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.
 
"His Service is questionable " Yesu Mwenyewe hakuhukumu wala hakupigana vita kimwili kwa kuwa alisema wazi kuwa yeye si wa ulimwengu huu. Wewe unayehukumu ukiwa madhabahuni unamtumikia mungu gani?
 
Wewe utakuwa kilaza zaidi ya Daudi Bashite, wewe ulitaka amalize mwaka gani? Darasa la kwanza 1988, la pili 1989, la tatu 1990, la nne 1991,la nne 1992, la nne 1993,la tano 1994,la sita 1995,la saba 1996,. Nadhani umeelewa.
Ama kweli mi kilaza, ila nahisi Milembe ingekuwa vema zaidi kuliko "Molembe"
 
kwa kifupi mkuu wa lile jiji kubwa nchini alitaga paper ya kiadato cha nne
 
Kwa kitendo cha kuacha kupandishana vyeo kwa mfumo wa kufuata seniority basi nchi hii tutarajie sanaa isio na mwisho, sio bure ndio maana watumishi wengi wa serikali wameomba kustaafu kwa hiari kabla ya muda. Niliyaona haya kwenye taasisi fulani vijana weeengi waliajiriwa na vyeo vikubwa na kiiswanglish kwa saana kama wazungu waliopotea, wakiamini wazee elimu yao ni ya kizamani, hawajui kiingereza na wala hawastahili promosheni, uhakiki ulipokuja! 200 wakaacha kazi kimyakimya na 80 wakafukuzwa. Yetu macho na masikio.
 
Huyu bwana maamuzi yake hayatofautiani na Daud or fake makonda

Kwa kuwa imethibitika makonda alitaga form four kwa kupata zero
Na ilimbidi anunue cheti cha bwana mwingne kuendelea na elimu

Je Rc wa arusha lile ni jina lake?
Au na yeye yupo hapo kwa hisan ya mrisho gambo

Magufuli aliwahi kusema alikuwa analazimika kulala usiku wa manane ili kupitia na kukagua majina ya wateule wake

Ni kwel magufuli yupo smart km anavyoongea au yeye husema tu aonekane yupo hivyo

Mweye kumjua huyu Rc gambo tafadhali isije kuwa arusha inaongozwa na kilaza km hapa dar
Mkuu Rc gambo hana tatizo hilo ni jina lake halisi kwa kuwa namjua tangu utotoni ingawa naye bangi linamuharibu
 
Back
Top Bottom