Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

mmmhhhh kwakeli hii historia ya Makonda ni funzo kubwa sana katika Maisha ya binadam yeyote yule mwenye malengo kwakweli mim badala ya kumcheka nimefurahishwa sana Makonda alianza kupambana mda mrefu sana hadi alipofika leo bila kukata tamaa amevumilia mengi sana na ndiyo maana leo vijikelele hvyi haviogopi safari yake ya elimu ni zaidi ya safari wapo wengi walionza nao lakn leo hii wapo pabya sana walikata tamaa makonda kweli kama alivyosema anakifua chakuvumilia kweli amevumilia mengi sana kwenye Maisha usikate tamaa kuwa kama makondo siyo leo hii mtoto akifeli tu unampigia kelele keleleeeeeeeeeee makonda ni shujaa wa maisha alisumbuliwa kwenye elimu sana sasa nayy anasumbua ni mjanja sana kwenye maisha huyu ndie makonda historia ya makonda ni funzo kubwa sna kwa watu wanao taka ndoto zao zitimie bila kujali kitu chchte leo wengi wanamcheka Makonda kwa elimu yake lkni wapo wengi wanao mcheka ambao pia wanatumia majina ya watu hvyohvyo lkni wameshasahauu
Kufoji vyeti na kutumia cheti cha mtu mwingine nayo ni funzo?
Angepambana kurudia fom 4 hadi afaulu hapo hata mimi nimgemwona shujaa
 
Huyu Gwajima....ukisikiliza maelezo yake anasema DAUD BASHITE hakuweza kufauru darasa la saba..

Swali DAUD BASHITE aliwezaje kujiunga form 1 katika shule ya Secondary Pamba ambayo ni shule ya serikali nakipindi DAUD BASHITE anaingia form 1 shule kama PAMBA, MWANZA SECONDARY, BWIRU BOYS,BWIRU GIRLS, NSUMBA BOYS na NGAZA GIRLS zilikua ndizo shule zinazochukua wanafunzi wenye ufauru mzuri katika manispaa ya MWANZA.

Nakuomba Mchungaji Gwajima uka revise uhuu ushahidi wako.

USHAURI WANGU KWAKO GWAJIMA.

Mchungaji GWAJIMA wewe ni kiongozi wa dini, nyuma yako kuna kundi kubwa la waumini, haya masuala ya kina DAUD BASHITE/PAUL MAKONDA ungeachana nayo na ukawekeza nguvu nyingi katika kumtumikia MUNGU kama Mchungaji.

Kama kweli yeye ni Mchungaji amuige Yesu, alipofanyiwa mabaya hakulipiza alimuachia MUNGU.

Soma 1 Petro 2:23.

ALIPOKUA AKITUKANWA HAKUJIBU KWA MATUKANO, ALIPOKUA AKITESEKA HAKUTOA VITISHO BALI ALIENDELEA KUJIWEKA
MKONONI MWA YULE AMBAE ANAHUKUMU KWA UADILIFU.

GWAJIMA jifunze kua na akiba ya maneno, Ukiona kondoo kapotea hupaswi kubwabwaja. Unatakiwa utafakari namna ya kumrudisha katika zizi achangamane na wenzake.
 
Binafsi sina wasiwasi na mh magufuli,ni mkali sana kwenye masuala ya msingi,na si mara moja aliwaondoa wanafunzi wasio na vigezo chuoni,najua gili la bashite,tena mtu mmoja,halitamsumbua,huko nyuma kuna historia ya maelfu kurudishwa nyumbani kwa kukosa vigezo.

Ndalichako aliwahi kusemekana kuachia nafasi yake Baraza la mitihani ili kulinda heshima ya taasisi hiyo
TCU kila kukicha wanachuja na kuondoa wanafunzi wasio na vigezo

Hili la bashite litawashinda?liwashinde watu hawa waliotumbua maelfu ya wafanyakazi?

Mimi hawa jamaa nawakubali balaa
 
Hivi kwenye yale majina ya TCU wale wasio kuwa na vigezo vya chuo msela hayumo kweli?
 
Gwajima acha porojo chunga kondoo wa bwana tutolee hapa habari zako hizo za akina mange kimambi hivyo vyeti wewe umevitoa wapi na je div zero huwa wanatoa vyeti!?
 
Kuna tetesi kwamba wazazi na waliokuwa wanafunzi UDOM(via.laza) wanasubiri kwa hamu maamuzi ya serikali kuhusu suala hili

Tusubiri!!
 
Hili muvi la kihindi.. Katikati ya mission tuna pause then burudani kidogo... Tukirudi jambazi ashakuwa stering
 
By the way makonda kafika hapo alipofika sababu ya kukutana na Samuel Sitta outside that HE is nothin coz alishindwa kusimama kwa miguu yake mwenyewe zaidi alibebwa each stage na Mzee sitta (RIP)
wewe umefika wapi? acha wivu wa kijinga
 
Unazijua AMRI KUMI za Mungu?!!

Hivi unajua Jacob aliiba haki ya uzaliwa wa Kwanza ...Na Mungu akambariki na hatimaye uzao wake kuwa taifa kubwa

Mungu ana namna zake za kuyatimiliza mambo

Go Makonda Go...Haya yote mbona hawakuyasema kabla hujawataja na biashara zao za madawa ya kulevya

Afteral wewe kesi yako ni excusable sio ya kama ya hao wanaoua vijana wetu kwa madawa ya kulevya
 
Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Tunamshukuru sana kwa kupambana kiume kwenye madawa ya kulevya! Lakini na yeye inabidi akubali kuwa kitumbua kimeingia Mchanga! Kwa masikitiko hata tuliomwona kuwa ni shujaa wa Taifa tunalazimika kukubali kuwa kitumbua tulichokipenda hakiliki tena maana kimeingia mchanga!
Kuendelea kumwacha kwenye hiyo nafasi ni kumtesa wala si kumsaidia! Hawezi kujiamini tena! Hivyo ni vigumu kutimiza majukumu yake vizuri!
Anahitaji kusaidiwa! Na msaada huo ni kumbadilishia majukumu!
 
Back
Top Bottom