ladypeace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 935
- 506
hile ni result slip. nayoinaweza kutambuluka kama chetiGwajima Anasema ana ushahidi wa Cheti cha Makonda cha Form four alichopata Zero! Hapa Mchungaji kasema Uongo. Necta hawatoi cheti kwa Wenye zero
ndo amuoneshe chamoto sio abagueKwa hiyo Ndalichako ana majibu lakini kaamua kukuaa kimya? sasa hao anawatishiaga kuwa watakiona cha moto huyu RC hayumo kwenye kundi hilo?
Haiwezi kua kweli mpk ithibitike mahakamani spare your words.mambo ya aibu sana, watu wanahangaika kusoma na ajira hakuna ila wajinga flani kwa kujuana na watoto wa wakubwa wanakula shavu na kuleta nyodo
nchi ya kipuuzi sana hii kama ni kweli.
Yani unaamini katika upuuzi halafu unajitangaza kazi kwelikweliKile kichwa cha Gwajima ninakiaminia, Bulembo mwenyewe alisarrender.
unaijua evening class mkuu, mwenye kujitahidi alikuwa anapata division threePaul Makonda alipata division two point 18 form four na chuoni ( muccobs) alipata upper second class hakuwahi kudisco alikuwa very bright .
BY: Wanafunzi waliosoma na Makonda chuo na secondary.
Daudi bashite katumia cheti cha Paul makonda. Imekula kwake
minimekuelewa ujue! Lkn Hii awatoeza.. Ukweli utabakia tuMuhusika amekana kuwa hakuwahi kumjua makonda na vyeti vyake havikuwahi kutumika popote pale,na amemuonya Gwajima kumtaja taja kwa uongo atamfungulia kesi.Nimeona hyo kamvua nguo zote walalh huyu dogo imekula kwake sujui atagombea nn na vyeti vyake feki ni pingamizi tu atendelea kuteuliwa viti maaluum tu na sizonje wake
Hata Kama watamwacha lakini ukweli ujulikane mkuu wa mkoa wa dar ni Daudi bashite![]()
![]()
minimekuelewa ujue! Lkn Hii awatoeza.. Ukweli utabakia tu
Maneno haya hayana tena uwezo wa kumfariji!![]()
CVs za mh. Paul makonda toka ukuu wa wilaya ya Kinondoni mpaka ukuu wa mkoa wa Dar es salaam ni vyeti tosha kabisa kwa kazi yake! KWA MANENO MENGINE HATUHITAJI VYETI VYOVYOTE VYA MAKONDA BAADA YA KUSHUHUDIA KAZI YAKE, INATOSHA!
Kama ana ushahidi aupeleke kwenye mamlaka husika hatua zitachukuliwa.Kwahiyo kufoji vyeti inaruhusiwa?