Achs kudanganya umma. Hapa ni kashfa kwa mtumishi. Sasa mtumishi ndo alipe kisasi. Biblia yako we unaisoma kama novel. Ujumbe wa Mungu uko wazi atakayevumilia mpka mwisho ndo atakayeokoka. Mchungaji kazi yake ni kuwafanya watu wamkaribie Mungu iwe kwa kusema. Kuonya. Kukaripia nk itakuwa mtume Paulo sikumbuki. Lakini yeye magumu yanapomkuta anapaswa kumkabidhi Mungu. Kibinadamu angeweza kujieleza yeye kuwa hauzi wala hatumii. Mali zake anazipata kwa njia hihi na hii nk. Lakini sio sasa kumfuatilia mtu. Huo sio unabii ni ushambenga. Sisi wakristo njia. Yetu ni Kristo. Ukweli wetu ni Kristo na uzima wetu ni Kristo. Kama yeye alivyokabidhi mateso yake. Mwanafunzi wake. Mkristo hupaswa kukabidhi mateso na mahangaiko kwa bwana. Njia hii ni ngumu. Sio rahisi. So. Makonda awe na makosa yake. Ok but sio kazi ya askofu kukaa kanisani na kuropoka. Its never done like that. He is or ought to be a Man of God. Now kama ataanza kutumia neno hivyo je akinza na siri za waamini wake anaowahudumia.