Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Kujipinda kote unaandika utumbo?
 
Vyeti vimetoka wapi? Wakati mwenye division zero hapati cheti? Au aseme ana matokeo ya huyo anayemtaja...!
Trying to think...!
 
Naomba tukumbuke kuwa ukipata zero NECTA hawakupi cheti. Kwahiyo huwezi kusema una ushahidi wa cheti cha mtu kwenye zero. Unaweza kuwa na matokeo lakin sio cheti.
Kuweni wavumilivu baada siku chache kila kitu kitakuwa peupe kwa mujibu wa Askofu Gwajima
 
Hawez kufukuzwa
Na wakae kimya milele kuhusu uhakiki wa wafanyakazi hewa na vyeti fyeki, na wafanyakazi wapewe stahiki zao sasa zilizositishwa kwa kigezo cha uhakiki wakati wahusika wanakula nao
 
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako.... kabla ya kumnanga mtuhumiwa atuambie angalau basi yeye kascore nini form 4.

Na washawasha!


Lejea bandiko lako uliposema yeye Gwajima mbona hataji alikosoma na vyeti vyake,inshu ni utumishi wa serikali ya kutumbuana kwa wenye vyeti feki,Gwajima hata kama hajasoma Ndalichako hamuhusu
 
Acha uongo miaka gani hiyo walikuwa wanatoa vyeti acheni uongo wa kijinga,Paul kasoma Nyegezi chuo cha uvuvi alitumwa jina la Paul Makonda na mzee wangu kamfundisha mwambieni huyo Gwajima aache wendawazimu
Hivi unaelewa kinachozungumzwa hapa?
Hilo jina la Paul sio lake.
 
Kuna mtu anajiita Askofu,anaongopea watu kupitia madhabahu kuwa "ana vyeti vya kutoka NECTA" vyenye daraja sifuri.Kama kuna mwenye taarifa hizi,ni lini NECTA wameanza kutoa vyeti kwa wanaopata daraja sifuri? au yupo kwenye arosto?
 
Kwani huyo makonda madawa ya kulevya yameanza mwaka huu? Nae alikuwa wapi ?
 
Kuweni wavumilivu baada siku chache kila kitu kitakuwa peupe kwa mujibu wa Askofu Gwajima
Sawa, lakin kama kuna jambo linapotoshwa hatuwezi kusubiri kesho maana ukweli haubadiliki. Mimi pia ningependa nipate ukweli wa jambo hili, lakin sitegemei kuonyeshwa cheti cha mtu aliyepata zero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…