Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Tuliza mshono wewe!!! Kima kasoro mkia!!

Lugha lugha, wafuasi wa Gwajima utawajuwa kwa lugha wanayotummia, lugha ya kihuni, na si ya mtu mwenye kufuata dini. Watatumia kila aina ya lugha kuficha maovu yao na kutetea kanisa lao ambalo linawadanganya watu na sadaka zao. Hawa watu ni matajiri kwasababu wafuasi wao ni masikini. Kitu kidogo walichonacho wanapeleka kanisani kwa madhumuni ya kubalikiwa kumbe wanapeleka kwa shetani. Wafuwasi wa Gwajima wanahitaji maombi wafunguwe macho yao wawaone wezi wanaowazunguka. Pesa za wanyonge Gwajima ndizo zinampa majivuno. Ati NDEGE yangu ! Mtu wa MUNGU utachimba swimming pool uogelee Wakati jirani ZAKO hawana hata MAJI ya kunywa?
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Unalielewaje hilo neno????
 
Lugha lugha, wafuasi wa Gwajima utawajuwa kwa lugha wanayotummia, lugha ya kihuni, na si ya mtu mwenye kufuata dini. Watatumia kila aina ya lugha kuficha maovu yao na kutetea kanisa lao ambalo linawadanganya watu na sadaka zao. Hawa watu ni matajiri kwasababu wafuasi wao ni masikini. Kitu kidogo walichonacho wanapeleka kanisani kwa madhumuni ya kubalikiwa kumbe wanapeleka kwa shetani. Wafuwasi wa Gwajima wanahitaji maombi wafunguwe macho yao wawaone wezi wanaowazunguka. Pesa za wanyonge Gwajima ndizo zinampa majivuno. Ati NDEGE yangu ! Mtu wa MUNGU utachimba swimming pool uogelee Wakati jirani ZAKO hawana hata MAJI ya kunywa?
Wabongo kwa wivu
 
Sio Gwajima tu mkuu,serikali inasthaili kuyafungia makanisa ya mzee wa upakp,Mwingira na yule mhuni wa Arusha na moshi Bwana Malisa
 
Alafu watu waje kuabudu kwa babaako
Kama acha mihemko acha sifa acha ujinga,
Mwambie Babaako ajaribu kufunga kanisa lolote aone!!!
 
Haya sio makanisa ni vijiwe vya uporaji wananchi maskini wa Tanzania
 
Nawalaumu watu wa makanisa kuendelea kumpokea

Huko kwenye majengo ya waumini ndio kumejaa mazuzu na wanaafiki huwezi kuamini, yupo mwingine juzi kasimama na kipaza sauti anadai nchi hii ahitaji katiba mpaka uchaguzi ujao upite kwanza. Sijui kapewa bei gani bwana yule!
 
mkuu kanisa linapokea waovu na wema, shauku ya watumishi wa Mungu wa kweli ni kuona kila mtu anamrudia Mungu na kutubu.
Labda uulize kwanini wanamkabidhi mimbari

Aisee mi nilicheka mpaka machozi yalinitoka. Yaani Bashite ni comedy tu, we uliona wapi mtu kashika microphone mkononi halafu analia?
 
Back
Top Bottom