Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Watu wenye dhambi kubwa ni dhihaka kusimamia madhabauni watu wasio taka toba zaidi ya kiki,
DAB hukumu yake anapaswa kuwajibishwa na mamlaka au jamii lkn kwa upande wa Imani mwadamu hawezi kuhukumu kama Mungu. Hakuna dhambi kubwa na ndogo bali kuna dhambi isiyosameheka
 
Wapuuzi sana hao
Huko kwenye majengo ya waumini ndio kumejaa mazuzu na wanaafiki huwezi kuamini, yupo mwingine juzi kasimama na kipaza sauti anadai nchi hii ahitaji katiba mpaka uchaguzi ujao upite kwanza. Sijui kapewa bei gani bwana yule!
 
Bashite na Gwajima ni zilipendwa!

Haiwezi kuwa zilipendwa....

Ipo hai na itaendelea kuwa hai mpaka mtu alipie gharama zote......

Na gharama za DAB ni kutubu tu na kurudi kuwa mtu mwema......

Else yeye na washirika/mshirika wake wawe tayari ku - face consequences za uharibifu wao....

It's simple like that....
 
Hizo tuhuma dhidi yake ni tetesi tu maana hazijawahi kuthibitishwa na mamlaka husika hivyo inawezekana ni hadithi za kubuni na kuchekesha (soga).
 
Hizo tuhuma dhidi yake ni tetesi tu maana hazijawahi kuthibitishwa na mamlaka husika hivyo inawezekana ni hadithi za kubuni na kuchekesha (soga).

Mzee mzima huwa akidondokwa na taulo akitoka bafuni kuoga, huchutama ingalau.....!!

Mamlaka ndiyo yenye makosa (inayotuhumiwa) halafu unataka mamlaka hiyohiyo ipruvu???

Lakini unasahau kitu kimoja muhimu sana juu ya ishu ya DAB....

Kwamba, huyu bwana hakushushwa tu kutoka kuzimu kusikojulikana....

Huyu anatoka kijijini Kolomije, wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza.....

Amezaliwa na kukulia hapo akijulikana hivyo!!

Leo wataka mamlaka ipi ambayo ni genuine kuliko hii (ya kijijini kwake alikozaliwa, kusomea na kukulia) ku - pruvu kwamba huyo siyo Paul Christian Makonda bali ni Daudi Albert Bashite???
 
Leo wataka mamlaka ipi ambayo ni genuine kuliko hii (ya kijijini kwake alikozaliwa, kusomea na kukulia) ku - pruvu kwamba huyo siyo Paul Christian Makonda bali ni Daudi Albert Bashite???
Nazungumzia hiyo iliyomteua na kumuapisha kwa jina la Paul Makonda.Kumbuka pia kabla ya uteuzi lazima vetting ifanyike ili kujiridhisha hivyo yote yalifanyika awali.
 
Nazungumzia hiyo iliyomteua na kumuapisha kwa jina la Paul Makonda.Kumbuka pia kabla ya uteuzi lazima vetting ifanyike ili kujiridhisha hivyo yote yalifanyika awali.
Vetting ya Makonda iliyofanyika na kumpitisha ni kumtukana hadharani Lowassa kabla ya uchaguzi mkuu na kumpiga Kwa mafanikio makubwa Mzee wa katiba isiyopendwa na ccm, Mzee Warioba
 
Back
Top Bottom