Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Nchi ina mambo mengi na ya hovyo ya kukemea watu wanapotea katka mazingira ya kutatanisha sisi tumekaa na upuuzi wa Bashite Bashite arghhhh
Hayo mengine fanya wewe..ndio mana tupo milioni 50..bashite ni mwizi wa vyeti ambaye bado anadunda mtaani.
 
SO AKITOKA BASHITE NDIO BENSAA NANE ATAPATKANA? AKITOKA BASHITE NDIO WATUMISHI WATAACHA KUKATWA 15 ASILIMIA? HAHAAAAAAAA TAIFA LA MAZUZU
Mlengwa mkuu ni anaye zaa ambaye ni ccm aka gamba kubwa , sasa nyie si mnaiba kura kwa msaada tiss,JWTZ , polisi, ila bado hatujalala tunaendela kuchimba.

Unajua ukichimba mgodi kutafuta madini ya gold njiani utakutana na mengineyo ambayo sio gold, sasa hao ndio akina bashite lazima uyatoe ili ufikie magold yenyewe.

Mungu si athumani tunaweza kulifikia gamba kuu maana lenyewe linawasha sana.

Ila naona maandalizi yenu ya kuiba kura safari hii ni babu kubwa lazima ukawa wapate sifuri.
 
Back
Top Bottom