Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Nazungumzia hiyo iliyomteua na kumuapisha kwa jina la Paul Makonda.Kumbuka pia kabla ya uteuzi lazima vetting ifanyike ili kujiridhisha hivyo yote yalifanyika awali.

Kesi ya ngedere huwezi kuipeleka kwa nyani maana ni walewale...!!

Achana na fikra za "vetting". Hakuna kitu kama hicho chini ya Jiwe..
 
Vyeti ni mali ya mtu binafsi huwezi kumlazimisha avitoe hadharani bila ridha yake mpaka mamlaka husika iamue kukagua.

Kama hana ataonyesha nini? We unafikiri vyeti ni mavi kila mtu awe nayo?
 
......Kwanini Pagan huwa unampinga sana mkuu wa mkoa?

Kwasababu Bashite ni fake tu yule jamaa. Hata akiongea tu anatoa pumba, hata hawezi kuwa mwanasiasa kwakuwa ni zero brain. Nakumbuka alikwenda chuo kikuu cha Dodoma. Kuna mwanafunzi mmoja akamuuliza kuhusu swala la vyeti, a katoa jibu ambalo aliendani na swali na ndio ukawa mwisho wa mjadala. Mi nakwambia yule mjomba anavyopenda ujiko angekuwa na vyeti ashaonyesha saa hizi
 
20170222_040139.jpg

Makonda alituhumiwa kugushi vyeti kwa muda mrefu. Watumishi waliogushi vyeti walifukuzwa kazi na serikali yenye viwango vya uajibikaji.

Inashangaza mpaka leo jambo hili halikufanyiwa kazi na mamlaka zote ikiwepo rais. Suala hili sio la kupuuza kwa sababu lia adhari katika utendaji. Tunaona Makonda akiingiza nchi katika mgogoro mkubwa na western countries.

Je,vita ya ufisadi anayopigana Rais Magufuli ina macho?
 
View attachment 987527

Sasa wewe unataka akimbilie kanisani kumwaga machozi 😂😂😂😂 au wewe muuza unga maana yeye anadai wanaouliza cheti chake ni wauza sembe
 
Hili swala linatia doa mamlaka husika ya maswala ya vyeti!
Kama ni lazima abaki na nafasi yake ya Ukuu wa mkoa,abaki nalo.Swala la vyeti liwekwe sawa na baraza la mitihani.MUHIMU.
Kuna wafanyakazi zaidi ya 15000 wameachia ngazi kwasababu hiyo ya vyeti na kupoteza haki zao,Why NOT Daudi Albart Bashite,aka Makonda
 
View attachment 987527
Makonda alituhumiwa kugushi vyeti kwa muda mrefu. Watumishi waliogushi vyeti walifukuzwa kazi na serikali yenye viwango vya uajibikaji.

Inashangaza mpaka leo jambo hili halikufanyiwa kazi na mamlaka zote ikiwepo rais. Suala hili sio la kupuuza kwa sababu lia adhari katika utendaji. Tunaona Makonda akiingiza nchi katika mgogoro mkubwa na western countries.

Je,vita ya ufisadi anayopigana Rais Magufuli ina macho?
Yaani mpaka leo hujajua kuwa nguvu ya ukabila ni kubwa kul8ko tuhuma au ukweli, jifunze
 
Bashite kweli ni zero brain hata akirudi shule hawezi kuokota kitu chochote. Nilishangaa kasoma chuo Cha biashara pale MUCCOBS lakini juzi juzi kashindwa kutofautisha kati ya CREDIT CARDS na DEBIT CARDS na amesoma chuo Cha biashara.

Yaani idea ya form two kwenye book keeping na commerce nayo inampiga chenga kazi yake ni kukikuza kibinda nkoye aka kishuntu.
 
Hahahahaha kibinda nkoye
 
Ile kesi aliyoifungua Meya wa Ubungo Jacob dhudu Makonda Iliishia wapi?Tume ya maadili imekosa meno?kesi moja tuu hiyo imeshindwa kutoa maamuzi?
 
Back
Top Bottom