Nyanda Mhandagila
Member
- Oct 7, 2018
- 29
- 23
Hivi hili Gazazeti liko wapi? Maana sijaliona kitambo kirefu!View attachment 987527
Makonda alituhumiwa kugushi vyeti kwa muda mrefu. Watumishi waliogushi vyeti walifukuzwa kazi na serikali yenye viwango vya uajibikaji.
Inashangaza mpaka leo jambo hili halikufanyiwa kazi na mamlaka zote ikiwepo rais. Suala hili sio la kupuuza kwa sababu lia adhari katika utendaji. Tunaona Makonda akiingiza nchi katika mgogoro mkubwa na western countries.
Je,vita ya ufisadi anayopigana Rais Magufuli ina macho?