Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Daudi Bashite (Paul Makonda wa sasa) ameshindwa kuthibitisha kua hajanunua cheti au kupata ZERO katika matokeo yake ya kidato cha nne. Hivyo ukweli wa kwamba yeye ni mwizi wa kitaaluma uko palepale.

Mibas, nawe pamoja na mwanzilishi wa tuhuma hizo hamjaweza kuzidhibitisha ila mnang'ang'ania athibitishe mwenyewe.

Siku, wiki, na miezi sasa inapita mnachotaka hakifanyiki, tumieni ushahidi mlio nao kumpeleka mahakamani.

Naamini iko siku wawindaji watakuwa wawindwaji.
 
Wadau na wanaharakati, hii issue ya Nay wa mitego ilikua ni mpango wa kuwatoa wananchi kwenye mapambano ya kuhoji vyeti vya kijana kutoka Koromije.
Serikali yetu inatambua udhaifu wa wananchi wake, hawachelewi kupuuza mambo ya msingi, na hawawezi kwenda na beat mpaka mwisho..
Baada ya kuona mambo yameshika pabaya, na Baba hawezi kufanya maamuzi magumu juu ya aibu hii, wakaamua kujitoa ufahamu juu ya habari ya Nay... Sasa wananchi wamehamisha mawazo yao yapo kwenye mshangao na kuacha agenda ya vyeti vya Bashite...
Jamani wadau na wazalendo wa kweli naomba tukaze uzi lazima kieleweke....
Nimeshuhudia mzee mmoja akitemeshwa kazi akiwa anasubiri miezi 4 kustaafu, kwa ajili ya vyeti fake, huku akikosa mafao yake yote ya miaka 35 aliyotumikia kazini,.. Kwann Bashite awe salama na wengine wakiwa wameumia? Aluta kontiniua....Bashite weka vyeti.
 
Hana vyeti jambazi huyu
Anatuma ma body guard wake wamtolee bastola Nape
Na huyu waziri Wa mambo ya ndani shame on you kwa kudanganya watanzania, au ndio kujipendekeza kwa makomeo

Kweli hii nchi imeoza more than we think
 
Huyu jamaa lazima tuhakikishe anang'oka tu,.. Watachelewesha lakini Mungu anasikia kilio chetu.. Haina kulala,. Sisi ni sauti ya wanyonge lazima tukaze uzi
 
Wadau na wanaharakati, hii issue ya Nay wa mitego ilikua ni mpango wa kuwatoa wananchi kwenye mapambano ya kuhoji vyeti vya kijana kutoka Koromije.
Serikali yetu inatambua udhaifu wa wananchi wake, hawachelewi kupuuza mambo ya msingi, na hawawezi kwenda na beat mpaka mwisho..
Baada ya kuona mambo yameshika pabaya, na Baba hawezi kufanya maamuzi magumu juu ya aibu hii, wakaamua kujitoa ufahamu juu ya habari ya Nay... Sasa wananchi wamehamisha mawazo yao yapo kwenye mshangao na kuacha agenda ya vyeti vya Bashite...
Jamani wadau na wazalendo wa kweli naomba tukaze uzi lazima kieleweke....
Nimeshuhudia mzee mmoja akitemeshwa kazi akiwa anasubiri miezi 4 kustaafu, kwa ajili ya vyeti fake, huku akikosa mafao yake yote ya miaka 35 aliyotumikia kazini,.. Kwann Bashite awe salama na wengine wakiwa wameumia? Aluta kontiniua....Bashite weka vyeti.

TUNATAKA VYETI, HAKUNA KINGINE CHOCHOTE!
 
Bashite mzee wa kublack mail weka vyeti mezani
tapatalk_1489915028717.jpeg
 
Wadau na wanaharakati, hii issue ya Nay wa mitego ilikua ni mpango wa kuwatoa wananchi kwenye mapambano ya kuhoji vyeti vya kijana kutoka Koromije.
Serikali yetu inatambua udhaifu wa wananchi wake, hawachelewi kupuuza mambo ya msingi, na hawawezi kwenda na beat mpaka mwisho..
Baada ya kuona mambo yameshika pabaya, na Baba hawezi kufanya maamuzi magumu juu ya aibu hii, wakaamua kujitoa ufahamu juu ya habari ya Nay... Sasa wananchi wamehamisha mawazo yao yapo kwenye mshangao na kuacha agenda ya vyeti vya Bashite...
Jamani wadau na wazalendo wa kweli naomba tukaze uzi lazima kieleweke....
Nimeshuhudia mzee mmoja akitemeshwa kazi akiwa anasubiri miezi 4 kustaafu, kwa ajili ya vyeti fake, huku akikosa mafao yake yote ya miaka 35 aliyotumikia kazini,.. Kwann Bashite awe salama na wengine wakiwa wameumia? Aluta kontiniua....Bashite weka vyeti.
Mwanzako Ana Refalii ambaye ndiyo baba mwenye Nyumba kuwa mpole kijana acha hamasa
 
Ishu ya daudi haiwezi kufa as along as dogo yupo sirikalini. Na kubebwa ina mwisho... wala msipate tabu kama hana vyeti ndo ishakula kwake.
 
Wadau na wanaharakati, hii issue ya Nay wa mitego ilikua ni mpango wa kuwatoa wananchi kwenye mapambano ya kuhoji vyeti vya kijana kutoka Koromije.
Serikali yetu inatambua udhaifu wa wananchi wake, hawachelewi kupuuza mambo ya msingi, na hawawezi kwenda na beat mpaka mwisho..
Baada ya kuona mambo yameshika pabaya, na Baba hawezi kufanya maamuzi magumu juu ya aibu hii, wakaamua kujitoa ufahamu juu ya habari ya Nay... Sasa wananchi wamehamisha mawazo yao yapo kwenye mshangao na kuacha agenda ya vyeti vya Bashite...
Jamani wadau na wazalendo wa kweli naomba tukaze uzi lazima kieleweke....
Nimeshuhudia mzee mmoja akitemeshwa kazi akiwa anasubiri miezi 4 kustaafu, kwa ajili ya vyeti fake, huku akikosa mafao yake yote ya miaka 35 aliyotumikia kazini,.. Kwann Bashite awe salama na wengine wakiwa wameumia? Aluta kontiniua....Bashite weka vyeti.

Walioanzsha huu mjadala wa umbea washaufyata na wengine wameukosa uwaziri...wamesalimu amri ww bado humo tu?
 
Back
Top Bottom