Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mnaandika hata proof ya tone la maji juu ya mnayomsingizia kwa sababu ya wivu na uvivu wenu hamna, bila kusahau madawa.

Endeleeni mkichoka jipigeni vibao vya uso.

Makonda oyeeeeeeee
 
CD imechujq hiyo,iliobaki majuha muondoe stress tu kwa kujibizana humu wenyewe kwa wenyewe
 
Wadau na wanaharakati, hii issue ya Nay wa mitego ilikua ni mpango wa kuwatoa wananchi kwenye mapambano ya kuhoji vyeti vya kijana kutoka Koromije.
Serikali yetu inatambua udhaifu wa wananchi wake, hawachelewi kupuuza mambo ya msingi, na hawawezi kwenda na beat mpaka mwisho..
Baada ya kuona mambo yameshika pabaya, na Baba hawezi kufanya maamuzi magumu juu ya aibu hii, wakaamua kujitoa ufahamu juu ya habari ya Nay... Sasa wananchi wamehamisha mawazo yao yapo kwenye mshangao na kuacha agenda ya vyeti vya Bashite...
Jamani wadau na wazalendo wa kweli naomba tukaze uzi lazima kieleweke....
Nimeshuhudia mzee mmoja akitemeshwa kazi akiwa anasubiri miezi 4 kustaafu, kwa ajili ya vyeti fake, huku akikosa mafao yake yote ya miaka 35 aliyotumikia kazini,.. Kwann Bashite awe salama na wengine wakiwa wameumia? Aluta kontiniua....Bashite weka vyeti.
Naomba nikutaje wewe Nanoli ni nani ki uhalisia namba yako ya simu, familia yako na maisha yako ili wadau waanze kuku chambua. Mimi nakufahamu in and out.
 
1490733823936.jpg
 
Mimi siwezi sahau hii ishu, labda wapuuzi waliopumbazwa na ishu ya Ney. Bashite ouuuut...!!!
 
aliyekwambia wale ni mabody guard wa Makonda ni Mange kasema? hahahahaa
No wala am not her follower
Kuna watu wamekuwa wakimuona bashite na hao vijana sehemu nyingi

Na hao vijana wake wamekuwa waki comment kwenye post za bashite wakimuita BOSS, na hata magari ya bashite yalikuwa Protea siku Nape anataka kuongea,kuna mwandishi Wa habari waliokuwepo pale pia wameniambia, kuna watu wa usalama nafahamiana nao, wanawajua wale vijana pia
 
Kweli Makonda alikosea kanuni moja muhimu sana ya magwiji wa vita. Unapotaka kuanzisha vita CHAGUA ADUI. Yeye angebaki kwa kina Mbowe, Lowassa, Warioba, n.k. Wengine ni "wendawazimu"! Kosa moja tu unapigwa bao la uhakika. Nasubiri kuona ataamka kivipi katika hili.
 
mwiguli umejidhalilisha sana hizi njaa zinawafanye mwonwkane mazezeta sana, nyie akina mwigulu inaonekena hata mkiambiwa........... mtakubali kwa kuwa njaa mmeiweka mbele sana.
 
Wadau na wanaharakati, hii issue ya Nay wa mitego ilikua ni mpango wa kuwatoa wananchi kwenye mapambano ya kuhoji vyeti vya kijana kutoka Koromije.
Serikali yetu inatambua udhaifu wa wananchi wake, hawachelewi kupuuza mambo ya msingi, na hawawezi kwenda na beat mpaka mwisho..
Baada ya kuona mambo yameshika pabaya, na Baba hawezi kufanya maamuzi magumu juu ya aibu hii, wakaamua kujitoa ufahamu juu ya habari ya Nay... Sasa wananchi wamehamisha mawazo yao yapo kwenye mshangao na kuacha agenda ya vyeti vya Bashite...
Jamani wadau na wazalendo wa kweli naomba tukaze uzi lazima kieleweke....
Nimeshuhudia mzee mmoja akitemeshwa kazi akiwa anasubiri miezi 4 kustaafu, kwa ajili ya vyeti fake, huku akikosa mafao yake yote ya miaka 35 aliyotumikia kazini,.. Kwann Bashite awe salama na wengine wakiwa wameumia? Aluta kontiniua....Bashite weka vyeti.
Mkuu suala la vyeti ni mtambuka. Singo ya WAPO haiwezi kututoa kwenye mstari. Bashite sharti atoe vyeti mubashara bila chenga otherwise movie hii haiwezi kufika mwisho....itakuwa kama Isidingo.
 
Naomba nikutaje wewe Nanoli ni nani ki uhalisia namba yako ya simu, familia yako na maisha yako ili wadau waanze kuku chambua. Mimi nakufahamu in and out.

Kama Nanoli ni mkuu wa mkoa, na anatumia vyeti feki we mtaje tu ili tuanzishe uzi wa kumshambulia.
 
Mnaandika hata proof ya tone la maji juu ya mnayomsingizia kwa sababu ya wivu na uvivu wenu hamna, bila kusahau madawa.

Endeleeni mkichoka jipigeni vibao vya uso.

Makonda oyeeeeeeee
Proof ipi unayoitaka wewe?km ww haya yanayosemwa khs Balshite ni uongo tuthibitishiwe kwa kuweka vyeti vyake hadharani hapo utakuwa umemsaidia maana hana amani na furaha ksb anatamani sana awe na vyeti....pia ujue kabisa hakuna anayemuonea huyo boss wako wivu watu tunaishi zetu mjini kwa akili zetu,kazi zetu &vyeti vyeti so labda ww ndo mvivu
 
Back
Top Bottom