ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,635
- 56,994
Meya alisema atafungua kesi mahakamani dhidi ya makonda. Hiko ndicho ninacho kisubiri Kwa mud mrefu. Nashauri na wale mnaosubir makonda kutumbuliwa muache.. Kwa Sasa Mbinu pekee ambayo mnaweza hata kumvua Ukuu wa mkoa ni hiyo ambayo meya amesema angefungua kesi. Subirini huko amiri jeshi mkuu Ana mambo mengi ya kufanya Kwa taifa.
Ikumbukwe mahakamani kinachoangaliwa ni ushahid. Usahihi ukiwepo mahakama zitafanya kazi. Tukasubiriane mahakamani
Ikumbukwe mahakamani kinachoangaliwa ni ushahid. Usahihi ukiwepo mahakama zitafanya kazi. Tukasubiriane mahakamani
wanyewe wameshindwa
msituletee akili zenu za mafuta ya mgando hapa