Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Umemshupalia na kunishupalia pia, I hope unapata kipato kwa wivu uliokujaaa au nini tena!? Shusha proof humu. Mimi ni Cocochanel, ya mama nani sijui nani pitisha huko kawagongee unaowaongelea makwao. Hutaki mtu awe na mashabiki, hadi unatunga upupwu juu yangu.


Makonda oyeeeee
Huwa navutiwa na unavyojitoaga ufahamu ili mradi sever za Jf zijae. Keep moving on, walikuwepo zaidi yako ila sijui siku hizi walipotelea wapi.
 
Huwa navutiwa na unavyojitoaga ufahamu ili mradi sever za Jf zijae. Keep moving on, walikuwepo zaidi yako ila sijui siku hizi walipotelea wapi.
Wamepotea kabisa, nadhani wamebadili hata JF ID zao. Labda ni waajiriwa wa kujibu arising and hot issues kwenye social media. Kibaya wanaunga mkono hata upuuzi ili mradi mkono uende kinywani. Wamejitoa ufahamu.

Kama alivyowahi andika nguli wa habari nchini, J. Ulimwengu kuwa watu wanaweka akili zao pembeni kudeal na serious issues ktk maamuzi. Huzichukua baadaye na akiulizwa hapo akiwa nazo, majibu yanatofautiana na ya awali
 
Wana jukwaa,naamini nyote mko salama.Mie nahisi nina tongo tongo katika hili jambo. Je,kunamtu anaweza kututhibitishia kwamba RC Paul Makonda sio jina lake halisi na kwamba ni kweli alinunua vyeti?Maneno ni mengi yanasambaa mitandaoni kuhusu huyu mheshimiwa. Ni yvema tupate ukweli halisi wa jambo hilo. Makonda,hata wewe najua uko humu, naomba uje ktk huu utelezi utupe ukweli kuhusu haya yanayosemwa.
 
Daudi Bashite (Paul Makonda wa sasa) ameshindwa kuthibitisha kua hajanunua cheti au kupata ZERO katika matokeo yake ya kidato cha nne. Hivyo ukweli wa kwamba yeye ni mwizi wa kitaaluma uko palepale.
 
1. Ni tanzania pekee mwenye Zero anaweza kuwa mkuu Wa mkoa!
2. Ni tanzania pekee ukiombwa vyeti Unatoa Machozi.
3. Ni Tanzania pekee raia waliofoji vyeti wanafungwa wakati kiongozi akibembelezwa.
4. Ni Tanzania pekee mkandarasi anapokonywa pass ya kusafiria wakati aliyegushi vyeti lenye jina feki kwenye pass ya kusafiria akitanua mawinguni kwenda nje!
5. Ni Tanzania pekee sheria hairuhusu mgeni kumiriki ardhi; lakini cha ajabu mgeni anaweza gawa heka 1500 Kwa serikali.
6. Ni Tanzania pekee kutuhumiwa hadharani halafu ndio ukasachiwe!
7. Ni Tanzania pekee ukiwa na cheti cha zero unatembea makanisani na misikitini kutafta division one!
*********************************
Ninavyojuwa Mimi ili upokee baraka za Mungu ni lazima Utubu hadharani kwamba uliiba na ile Mali ya wizi usiitumie kutoa sadaka hapo ndipo utabarikiwa!
**VINGINEVYO ZAIDI YA HAPO MAOMBI YANAWEZA GEUKA ALBADILI***
 
Ni Tanzania pekee ambapo raia wake wanawatetea wauza madawa ya kulevya kwenye mitandao.
Ni Tanzania pekee ambapo chama kikuu cha upinzani kimegeuka kuwa mtetezi wa wezi wa mali za umma.
 
Ni Tanzania pekee ambapo raia wake wanawatetea wauza madawa ya kulevya kwenye mitandao.
Ni Tanzania pekee ambapo chama kikuu cha upinzani kimegeuka kuwa mtetezi wa wezi wa mali za umma.
Ni Tanzania pekee ambapo vijana wamepumzisha akili zao kufikiri kwa sababu ya ushabiki wa vyama.
 
Daudi Bashite (Paul Makonda wa sasa) ameshindwa kuthibitisha kua hajanunua cheti au kupata ZERO katika matokeo yake ya kidato cha nne. Hivyo ukweli wa kwamba yeye ni mwizi wa kitaaluma uko palepale.
Ok
 
SAKATA LA VYETI FEKI LAZUA SURA MPYA


Kuna vitu huwa sielewi hapa. Mwaka fulani ilitajwa orodha ya mafisadi wa elimu waliokuwa Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge alikuwa Marehemu Mzee Samwel Sita (Mwenyezi Mungu ailaze Roho yake mahala pema peponi, Amina), Spika akaingilia kati kusema PhD ya Dr. Mathayo David ilikuwa halali hivyo katajwa kimakosa, ila wengine wote waliobaki hakuwasemea mf, akina Dialo (Dr.), Merry Nagu (Dr.) nk. Lakini nakumbuka baada ya Mzee Sita kusema hivyo, TCU immediately walitoa tamko, ya kwamba wao ndio wenye mamlaka ya kusema kama Degree ya mtu fulani ni feki ama vinginevyo na baada ya hapo hata vile vijarida na yule bwana aliyekuwa kinara wa ile scandal sijui walipotelea wapi.
Nirejee kwenye hii scandal maarufu ya Daudi Bashite Vs Paulo Makonda, tunazo taasisi zetu nyingi kuanzia hizo za kitaaluma alikopita huyo Ndg, anza secondary school both O level and Advanced Level, kuna walimu waliomfundisha, na baraza la Mtihani NECTA nk. Twende kwenye Chuo alichosoma tena hivi majuzi tu kote huko vyombo vya kiuchunguzi vinapajua na panafikika na sio wala nje ya nchi na hakuna gharama kihivyo.
Binafsi naamini kama hiyo ni kweli ni swala la muda tu, let us wait and see, lakini kama ni longo longo kwa nini tunapoteza muda wetu.
Kuna mkubwa mmoja katika taasisi moja hapa nchini, yeye alisema ana PhD, Chuo alichopata hiyo Degree yake SA, watu wakaanza kusema sema alikimbia mwenyewe ofisi, ingawa kiutendaji alikuwa mzuri kabisa na ni kweli aliwahi kufanya hiyo Degree yake huko SA ingawa haiku- materialize.
Kumbe basi ni swala la muda tu, maana tumeshudia watu wengi wakifutika humu makazini kama upepo na wengine wakistafu gafla, ukiuliza unaambiwa vyeti vina utata, hivyo basi kama jamaa naye kuna hila ipo siku ataondoka tu. Binafsi naamini kwa hizi kelele ambazo zimepigwa kuhusu Bashite vyombo vya uchunguzi vilikwisha maliza kukusanya taarifa kuanzia kijijini Kolomije, shuleni msingi na sekondari na hadi chuo.
Nikimwaangalia Makonda bado ni kijana kuliko mimi, lakini mimi nikienda shuleni kwangu msingi bado wapo walimu walionifundisha primary pale kituoni zaidi ya 20 yrs ago, ingawa wengine wamehama na wengine kustaafu, lakini hata wasipokuwepo taarifa zinapatikana tu. Sasa sembuse huyo, Jamani Sefue Ombeni aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi aliandikwa na Gazeti moja tu, akatoka akakanusha kwa nguvu zote juu ya ile taarifa na vitisho vya kwenda mahakamani na kudai fidia, mbona baada ya muda mfupi aliondoka. Ingawa sijui kama kuondoka kwake kulitokana na ile habari iliyooandikwa na lile gazeti, lakini walau ndio taarifa pekee ya mwisho iliyokuwa na ukakasi kumuhusu yeye binafsi na sio taasisi.
Mamlaka ya uteuzi wa Mkuu wa Mkoa (RC) ambayo ni Rais, ina mikono mirefu na mipana, ina macho mengi na yenye nguvu ya kuona kila sehemu, tuipe ushirikiano chanya katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku likiwemo hili la Daudi Bashite nadhani itatoa majibu nasi tutayaona hata pasipokuambiwa. Hizi kelele nyingi kupita kiasi zinaweza hata kuwapoteza na kuipuuzia hii taarifa kwa kuzani ni kelele za watu walioguswa na utendaji wa Ndg Makonda hasa kwenye dawa za kulevya.
Katika utendaji kazi wake hasa kwa siku za hivi karibuni kama Mkuu wa Mkoa Ndg Makonda sote tunajua amegusa eneo la watu wenye nguvu ya pesa chafu, majuzi nimeona comment ya Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif, juu ya hii vita, kila mtu anajua nguvu ya hao watu, wanaweza fanya jambo lolote hasa kwa watu wa kawaida kama akina RCs nk, maana kuna nchi tunaambiwa hata President anaweza kupinduliwa na drug dealers, hivyo mimi kwa kutambua uwezo mkubwa wa watu walioguswa na RC Makonda hivi karibuni, nitakuwa wa mwisho kuamini kila baya linalozungumzwa kuhusu Makonda kwenye social media na kwingineko mpaka vyombo husika vitakapo toa taarifa aidha in public ama tukaona vitendo kama enzi ya kina Sefue nk. Mwanzoni kuanzia kule Bungeni tuliambiwa ana majumba ya Gorofa ndani mwaka mmoja nk, leo havisemwi tena.
Mwisho kabisa, natamani kuona vyombo vyetu (Responsible Institution) zikifanya kazi yake kwa umakini na kutoa taarifa sehemu husika kwa utekelezaji na sio vinginevyo. Ahsante
 
Mkuu kwa hali ilivyo sasa Rais ameshaelezwa kila kitu kuhusu Wizi wa Taaluma wa huyu RC wake...

Na sina wasiwasi kuondoka kwake (RC)wenda SA kuna maelekezo na baraka za Ikulu.

Kigugumizi cha mamlaka yake ya uteuzi kulisemea hili la Daudi Albert Bashite kunatokana na namna alivyomteua kwa NYODO..

Rais alisema anampandisha cheo Makonda na kumweka hapo DSM kwasababu anataka kuwakomesha maadui zake na RC.

Sasa napata hisia anasita sana kumpiga chini maana na yeye mtumbuaji atakuwa anadhalilika kwa namna fulani.
 
Kilichomponda Paudi Mashite ni "Kibri" na "Dharau" - Mwelekeo ulikuwa mzuri sema utekelezaji ulikuwa "Unprofessional" kupita kiasi. Now its demon facing time. Ofcourse, President anaweza kujua ukweli within a day, I think its a "buying time" tactic, wanasubiri chai ipoe kidogo kabla wampe honorable farewell maybe. Lazma walindane kwa kiasi fulani banaaaaaa lol Eh bWana weeeeeh
 
Tunaomba akina Top na yule jamaa mla "makongoro" nao wafatiliwe. Yule Mahangale aliyekuwa n.waziri kwa JK tunasikia silale wanadai ni wa huko mpakani. Wako wengi tu, vyeti na majina nchi hii mengi ni hewa na ya kuchonga. Kwenye familia moja jina linatumiwa na mtu na kaka mtu, vyeti vivyo hivyo.

Watafutwe jamani na historia zao zibainishwe, tukaweke kambi kwenye vijiji na shuleni walikosoma tutawapata wengi. Tuisafishe nyumba yetu kwani imekuwa kama ya "Mjomba"
 
Tunaomba akina Top na yule jamaa mla "makongoro" nao wafatiliwe. Yule Mahangale aliyekuwa n.waziri kwa JK tunasikia silale wanadai ni wa huko mpakani. Wako wengi tu, vyeti na majina nchi hii mengi ni hewa na ya kuchonga. Kwenye familia moja jina linatumiwa na mtu na kaka mtu, vyeti vivyo hivyo.

Watafutwe jamani na historia zao zibainishwe, tukaweke kambi kwenye vijiji na shuleni walikosoma tutawapata wengi. Tuisafishe nyumba yetu kwani imekuwa kama ya "Mjomba"
Uwataje na kuthibitisha kama kweli wanavyeti fake
 
Back
Top Bottom