Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Hana vyeti jambazi huyu
Anatuma ma body guard wake wamtolee bastola Nape
Na huyu waziri Wa mambo ya ndani shame on you kwa kudanganya watanzania, au ndio kujipendekeza kwa makomeo

Kweli hii nchi imeoza more than we think
aliyekwambia wale ni mabody guard wa Makonda ni Mange kasema? hahahahaa
 
nenda mahakamani humu hatuwezi kukusaidia wala hatuwezi kudhibitisha hzo propaganda zako!!!

Vyeti vya mtu vinakusaidia nn ww kama sio udaku tu!!
 
Aisee vyeti asikwambie mtu bwana juzi niliota vyeti vyangu vimeibiwa nilipostuka ndotoni nikaamka nikaenda kuangalia kimoja baada ya kingine....niliota kabisa Bashite kajakuvamia na jeshi lake wanikombe vyeti vyangu daaah
 
Iko hivi kiburi majivuno vitamponza Sizonje baada ya awamu hii kuisha mi nadhan kwa sasa tumejua ninan anamlinda huyu kiumbe anaetemba na jinai ya kufoji na nyinginezo muda utaongea
 
Back
Top Bottom