Uko nje ya maada bro. Swali ni kwamba jamaa anacheti au hana? Mengine siyo ya muhimu kwa sasa.Nashangaa kuona wanaojiita wasomi na wenye madaraja ya juu ya ufaulu wanaona Mange na Gwajima ndo Refference zao. Amkeni kwani mnazani Huyu Bashite Mnaye mtaja aking'atuka Gwajima ndo atakua mkuu wa mkoa? Acheni maneno tulijenge Taifa
Yeah. Excuse my typos.Is that English?
Dah.... Mashtaka yake yapo mahakamani Ipi?Kwa mtu mwenye akili timamu kwa sasa hawezi tena kuuliza swali kama hili maana kila kitu kimeshawekwa wazi mpaka majina ya watu aliosoma nao Msingi,Secondary na hata chuoni na wala yeye mwenyewe hajakanusha.
Silipwi na mtu yoyote.
Jesca nilijizuia kumjibu lolote huyu muuza miguu na utumbo wa kuku kwa mtogole, lakini umenifurahisha ulivyomjibuMbona povu mwaya, ila nimecheka ulivyoandika inaonekana unajifunza kusoma na kuandika. Kama sikosei ni walewale kinabadhite, bidada jipange unatia aibu kutokujua kuandika vizuri
.....Vyeti hana ndugu RC kwasababu vyeti vyake vilichukuliwa NECTA na Gwajima kama alivyosema mwenyewe na vyeti NECTA huwa hawatoi zaidi ya Mara moja hata ukipoteza imekula kwako.
Sasa kwa kuwa Mchungaji alisema anavyo vyeti nafikiri tumdai yeye mwenye vyeti. Maana kusema ana vyeti vya mtu na alivichukua NECTA anamaanisha mwenye vyeti hana vyeti kwa kuwa havitolewi Mara mbili.
La si hivyo huyu Mchungaji ni muongo na hivyo vyeti hana anatufanyia utapeli kweupeeee
Uko nje ya maada bro. Swali ni kwamba jamaa anacheti au hana? Mengine siyo ya muhimu kwa sasa.
Mwambieni huyo mtu wenu aachie ngazi, kosa lake la kughushi ni fedheha kubwa sana.Kwani katenda jinai gani mpaka sasa?
Lete ushahidi kuwa kaghushi chochote.Mwambieni huyo mtu wenu aachie ngazi, kosa lake la kughushi ni fedheha kubwa sana.
Hapo kwenye taarabu ndiyo kuna kizungumkuti.Mmeambiwa mlete ushahidi wa vyeti ila mmekalia maneno ya taarabu tu.
Tatizo lenu huwa mnawafanya watu wajinga, huyo Bashite tunamjua sana na ni kweli kuwa kasomea cheti cha mwingine, na ingelikuwa ni tuhuma angelikuwa amejitokeza kupinga siku nyingi na serikali isingekubali idhalilike hivi, mwambie huyu mtu wako kuwa ni mfungwa anaetembea huwezi jua lini huyo anaemkingia kifua atadondoka.Lete ushahidi kuwa kaghushi chochote.
Endeleeni kusubiri hivo vyeti hapo hapo Subirini, muwe wavumilivu kuendelea kusubiriAmalizee utata atuwekee vyetii tuu ..mbonaa tutamwacha na life lakee cc hatunaa hata shidaa akishawekaa vyeti
Cheti
Mnalialia nini mwambieni aoneshe cheti bana alaa.
Acha ushabiki rejea scandal ya Obama kuhusu cheti cha kuzaliwa pale US, we unataka kiongoz wa umma anayelipwa kodi toka ktk Mifugo ya maskini atuhumiwe na nani ili athibitishe ukweli!? Kiongozi WA umma hatakiwi kuwa na tuhuma zozote hata km angetokea raia mmoja tuu Kuandika kuwa anawasiwasi na mkuu ilibid ajisafishe kuweka kumbukumbu sawa na kulinda hadhi ya serikali na aliyemteua maana alichofanya ni issue ya kiinterejensia.Hakuna kilichowekwa wazi.
Kilichopo ni maneno tu.
Hata huyo anayedaiwa kuwa ndo Paul Makonda mwenyewe sura yake haijulikani.
Hayo majina ya watu unaodai walisoma naye hayajathibitishwa na mwingine yeyote zaidi ya wapinzani wake ambao hawawezi kuaminika kivile.
Hata huyo Gwajima wenu licha ya kudai anavyo vyeti vya Makonda huko ofisini kwake bado hajatuonyesha kama kweli anavyo. Na anaweza kabisa kuwa anatudanganya tu.
Na yeye Makonda kutokukanusha chochote mpaka sasa hivi [kama unavodai] si ushahidi wa chochote wala lolote lile.
Bado kabisa sijaiona hiyo jinai unayodai kaitenda. Sisemi kuwa hajatenda jinai. La hasha. Nasema kuwa sijaona ushahidi wowote ule wa kunishawishi kuwa katenda jinai. Maneno yenu pekee si ushahidi wa kunishawishi mtu kama mimi.
Na hii mada yako wala haina jipya zaidi tu ya kujaribu kuipa uhai habari ambayo inaelekea kaburini.
Mwambieni Gwajima wenu atuonyeshe hivo vyeti alivyonavyo ofisini kwake maana Makonda mwenyewe hataki.
Proof iko tu. Hata brightest person sio rahisi ku cover kila kitu, sembuse huyuFine and dandy.
But where is the proof, apart from people blabbing, that he is not who he says he is?
Because remember this, just saying it so doesn't make it so.
So where's the proof?
Ni jasiri hasaaa.....uitwe jina ambalo sio lako afu ukaitika.....yataka roho ya chuma hasa.....Hapa kazi tu! Piga kazi uliyotumwa kufanya ktk mkoa wa Dar. Achana na kelele za milango za waropokaji wa siku zote. Ignore all fake stories. Be calm. Chapa kazi iliyotukuka kama kawaida yako. Na huhitaji kuwajibu chochote. Wao siyo waajiri wako. Who are they? Waganga njaa tu.Watazoea. Ni upepo tu huo utapita. Katika maisha lazima kuwa strong. Hongera sana Makonda kwa kazi nzuri. Nchi hii inahitaji viongozi majasiri kama wewe.