Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Kama unatuhitaji Wanasheria,hamishia mada yako kwenye Jukwaa la Sheria. Mambo ya jinai si ya kisiasa. Jinai ni kukamata na kushtaki
Wewe utakuwa mhasibuNyie kila siku mnauliza maswali hayohayo wakati kila siku historia yake inarudiwa... saizi ni action tu - weka vyeti au niweke kesi
Wakili usipanicKama unatuhitaji Wanasheria,hamishia mada yako kwenye Jukwaa la Sheria. Mambo ya jinai si ya kisiasa. Jinai ni kukamata na kushtaki
makonda ni mwanasiasa na ndio maana mada zake zitajadiliwa ktk jukwaa la siasaKama unatuhitaji Wanasheria,hamishia mada yako kwenye Jukwaa la Sheria. Mambo ya jinai si ya kisiasa. Jinai ni kukamata na kushtaki
Alete chetiMakonda uchunguzi wake utakuwa kama ifuatavyo.
tunajua amesoma shule gani primary na secondary(PAMBA)
tunahitaji kuona cheti chake au result slip yake ya secondary
- je result slip au cheti chake cha secondary kinaonyesha amemaliza shule gani?
- JE alivyoenda kuapa mahakamani kubadilisha jina alienda kubadlisha jina gani
- alienda kubadilisha kutoka DAUDI BASHITE to PAULO MAKONDA au ni vipi
- je cheti chake cha form 4 kina jina la DAUDI BASHITE au PAULO MAKONDA
- mzazi wake nae pia alibadili jina PIA ?
- SiKu aliyokuwa anahOjiwa na ZAMARADI alikuwa anajitambulisha kama mzee MAKONDA.
- Ikiwa result slip/cheti chake cha form four kinaonyesha amemaliza PAMBA
- Je hiyo result slip/cheti kinaonyesha amepata DIVISION GANI?
- Ikiwa amepata division BASHITE je? ilikuwaje akajiunga na chuo? alitumia cheti cha mtu au chuo kilimkubalia hivyo hivyo na BASHITE YAKE?
- saasa ikiwa amepata division 3 tena hapo itakuwa amri kutoka majuu itakuwa imefanya kazi au GWAJIMA AU MANGE wametuletea habari ya uwongo.
- sasa mahakama makini ya wananchi haitoishia hapo tutawatafuta waliomaliza mwaka ule aliomaliza MAKONDA
- hawa waliomaliza na MAKONDA /BASHITE watatuambia muongo ni nani
Hahahaha teh teh tehHuyo unayemuuliza ndiye Albert Bashite Mwenyewe.