Baada ya kuwasikiliza sana watetezi wa Bashite D. A. nimegundua bila shaka huyu jamaa hana cheti cha Form Four na alitumia cheti si chake.
Katika mada moto jana channel ten nilimsikia Mzee mmoja akisema Makonda ana vyeti halali vya Diploma na digrii, hivyo cheti cha Form Four hakina maana! Na Albert Kilala alikuwa anamuongoza huyu mgeni wake kwa maswali kama, " kama utendaji wa mtu ni mzuri, cheti kina umuhimu? "
Ndipo Mzee yule akasema rais angalie kama anahitaji vyeti au utendaji bora.
Na akamshauri rais asihangaike na cheti cha Bashite bali aangalie utendaji wake, after all ana digrii za halali, hivyo cheti cha Form Four kinakuwa rendered irrelevant!
Kingine kilichonidhibitishia kwamba Makonda hana cheti cha F4 ni maungumzo ya "mdogo wake Gwajima" hasa aliposema serikali imesikia hivyo ziachiwe mamlaka husika badala ya kuendelea kumsakama Bashite. Nini maana yake? Bashite ana njia rahisi sana ya kuwanyamszisha wanaomtuhumu lakini haitumii, yaani kuweka vyeti mezani!
Utetezi huu wote unaonesha wazi cheti c