Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

KILA MTUHUMIWA AJIBU TUHUMA MWENYEWE.HATUTAKI LONGOLONGO.
 
Tatizo hakuna ushahidi juu ya hayo mnayotulazimisha tuyaamini,kama haujui siasa ni mchezo mchafu sana,ili tuamini hayo madai yenu tuleteeni huyo aliyemuuzia vyeti kuthibitisha vinginevyo ni hila tu na chuki zisizo za msingi.
Jambo sahihi lazma utambue tuhuma hii Si jambo dogo watu wamezisotea degrii yeye analeta mchezo.
 
Tatizo hakuna ushahidi juu ya hayo mnayotulazimisha tuyaamini,kama haujui siasa ni mchezo mchafu sana,ili tuamini hayo madai yenu tuleteeni huyo aliyemuuzia vyeti kuthibitisha vinginevyo ni hila tu na chuki zisizo za msingi.
Mbona rahisi tuu kwani si aweke mezani vyeti? Kama wewe mbiba unavyo na unaweza kuweka mezani?
 
Daudi Bashite Hakusoma UDSM Mkuu. Alisoma MUCCOBS ambapo inasemekana alidisco mara tatu na baadae akatoka na cheti kwahiyo kuna uwezekano chuo cha MUCCOBS walimuuzia Paul Makonda cheti cha degree. haiwezekani mtu adisco mara tatu katika chuo hicho hicho baadae eti anatoka na cheti cha kumaliza masomo. Huyu daudi alishajijengea tabia ya kufoji elimu.
 
Tatizo hakuna ushahidi juu ya hayo mnayotulazimisha tuyaamini,kama haujui siasa ni mchezo mchafu sana,ili tuamini hayo madai yenu tuleteeni huyo aliyemuuzia vyeti kuthibitisha vinginevyo ni hila tu na chuki zisizo za msingi.
Cut to the chase, mwambie yeye aweke vyeti mezani kama akina zito na mwigulu. Kwani yeye nani asituhumiwe?
 
Kama huyo mtuhumiwa hajakana mashitaka mpaka leo ni kwann hatua zingine zisitumike kama ambavyo nimependekeza ili kuumaliza huu utata na watanzania wote tukajua mbivu au mbichi juu ya hili swala.
kubebana. au hilo hujaliangalia?
 
NECTA wametoa taaarifa kwamba kwa yeyote anaehisi kwamba kuna raia yeyote wa Tanzania amegushi vyeti vya elimu ,awasiliane nao.

Wametoa namba za simu,na barua pepe kwa mawasiliano.

Nakuomba Mchungaji Gwajima utumie nafasi hii kikamilifu.

Wenye uwezo kimamlaka ya kuwatambua watahiniwa ni NECTA.

Usipo fanya itaonekana ni uzushi dhidi ya RC Makonda.
Na hii pegine ni nafasi kuufunga mjadala huu ambao kila kukicha ni issue ileile wakati taifa kwa ujumla wake lina changamoto nyingi sana.

Pia Mchungaji Gwajima kumbuka kosa la kufoji vyeti linaendana pia na kosa kuchafua image ya kiongozi yeyote yule.

Nahisi yote ni kama jinai.
Fanya sasa weka proof hadharani mamlaka stahiki zichukue hatua stahiki.
 
Unaweza kuwa sahihi kuna watu watakuwa wana wivu tuu
dc57d3e40cc929e29b514f4f8e6ede45.jpg

9f367f797c03e8672899fdb9f892e6ee.jpg

So unapenda kumuangalia kiongozi wetu handsome man, hadi unarusha picha zake. Hongera
 
Mama kama ww ndio mama Daudi mwenyewe aliyekusudiwa kwenye kale ka comment ka instagram, basi anza kuandika maumivu taratibu. Mumeo kashakua mshukiwa wa kutenda uhalifu wa kununua cheti cha mtu na kukitumia. ikibainika, sheria itakata kama msumeno.

Umemshupalia na kunishupalia pia, I hope unapata kipato kwa wivu uliokujaaa au nini tena!? Shusha proof humu. Mimi ni Cocochanel, ya mama nani sijui nani pitisha huko kawagongee unaowaongelea makwao. Hutaki mtu awe na mashabiki, hadi unatunga upupwu juu yangu.

Makonda oyeeeee
 
Nasikia kaondoka leo mchana kwenda bondeni sijui kafuata nini
 
Umemshupalia na kunishupalia pia, I hope unapata kipato kwa wivu uliokujaaa au nini tena!? Shusha proof humu. Mimi ni Cocochanel, ya mama nani sijui nani pitisha huko kawagongee unaowaongelea makwao. Hutaki mtu awe na mashabiki, hadi unatunga upupwu juu yangu.

Makonda oyeeeee
maelezo yao sio cheti. kama kakuonyesha cheti, tuonyeshe na sisi
 
Samahani mama nadhani wewe ni mtu wa Karibu na Mheshimiwa sana Makonda! Kumsaidia jaribu kujenga hoja ili nguvu ya hoja ijitahidi kumtetea. Unapotumia hoja za nguvu unaongeza mafuta ya petroli katika moto. Ni ushauri wangu wa mimi ambaye nimefeli darasa la nne.

Mimi sipo karibu na Mh. Makonda wala hatujuani, na yeye na family members waje sifahamiani nao pia.

Naandika ninalojisikia kuandika, pole kwa kukosea hahahaaaaaaaaaaa. Uwiiiii kiroja

Makonda oyeeeeeee
 
Askofu Gwajima aliahidi jana atamleta mtu kutoka koromije kuja kuthibitisha madai yake..na aliahidi kuweka hadharani vyeti halisi vya makonda..je alifanya hivyo?
Watu wa koromije walifuatwa huko huko na mwanahalisi! Wametupa habari ya kutosha kuwa koromije bwana yule anafahamika kama Daudi Bashite na mama yake anajulikana kama mama Daudi! Daudi Bashite alipaya ziro form 4.
 
Tatizo hakuna ushahidi juu ya hayo mnayotulazimisha tuyaamini,kama haujui siasa ni mchezo mchafu sana,ili tuamini hayo madai yenu tuleteeni huyo aliyemuuzia vyeti kuthibitisha vinginevyo ni hila tu na chuki zisizo za msingi.
Ujue lakini kuwa mhusika hana hata ubavu wa kukanusha! Hawezi kukanusha kuwa jina lake ni Daudi Bashite! Kijijini anafahamika hivyo! Wanafunzi wenzake wanamjua hivyo! Daudi Bashite alipata ziro f4.
 
Back
Top Bottom