Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Kwa sababu University wanafanya mitihani ya ndani, hivyo ni rahisi ku cheat!!!
 
ndo maana serikali sasa hivi wanatak watu wamalize form six ndo waende vyuo vikuu
 
Unajua kabsa hii
Nchi bla rushwa haiend
Bashite aligush vyet sasa
Anashindwaje kusonga mbele
 
Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.

The Corservator
Mbona inawezekana mkuu!!! Wako wengi kama yeye.
 
Nyumba aliyokulia Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (Daudi Bashite)


KILA pembe ya kijiji cha Koromije, Wilaya ya Misungwi, pamoja na viunga vya jiji la Mwanza Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anatajwa na kufahamika kama Daudi Albert Bashite, wanaandika Waandishi Wetu.


Wanaomtaja kwa jina hilo ni wanakijiji, ndugu zake, wanafunzi aliowahi kusoma nao pamoja na watu waliowahi kumshuhudia akifanya kazi kama kondakta.


Gazeti la MwanaHALISI baada ya uchunguzi wake wa kina uliohusishwa kutuma timu ya maripota wake jijini Mwanza, wanakuletea habari kamili inayofichua ukweli wa sakata hilo huku mama na baba wa Makonda, shangazi yake na wanafunzi waliowahi kusoma naye wakiwa wamehojiwa.



Shule ya Msingi aliyosoma Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Chanzo: Mwanahalisi
 
Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.

The Corservator
Bila shaka hujakanyaga chuo mkuu, chuo waweza kufaulu kupitia migongo ya watu na pesa zako.
 
Wanampenda sana Mh. Makonda, hawalali, hawaogi, hawali, hawanywi etc

Wanamuwaza tu, wengi na wivu juuuuuuuuuuu
Samahani mama nadhani wewe ni mtu wa Karibu na Mheshimiwa sana Makonda! Kumsaidia jaribu kujenga hoja ili nguvu ya hoja ijitahidi kumtetea. Unapotumia hoja za nguvu unaongeza mafuta ya petroli katika moto. Ni ushauri wangu wa mimi ambaye nimefeli darasa la nne.
 
Mwambie atuonyeshe vyeti. hatutaki malumbano yasiyo na tija. au mwambie akanushe kuwa ni uongo halafu ndo uje tena

Respect umande
 
Ni rahisi kufaulu chuo kuliko secondary.....lkn kwa baadhi ya courses......sio zote.....
 
Aliyekwambia chuo alifaulu ni nani
certificate ya uvuvi huko Mwanza alifeli, diploma tena huko bagamoyo the same story, bachelor Moshi ilikuwa sup sup sup sup disco, Masters Mzumbe Dar hivyo hivyo sup sup sup sup disco, na hapo ni kwa kutumia mgogo wa Mh Sita, ndio aliweza kuunga unga ila kichwani sifuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Chuo unafanya mtihan wa mwisho ukiwa na mark's 60 huku 40 mark's ukiwa umezikusanya bila mashart
 
La saba chini
Form 4 chini
Form 6 chini
Chuo cha Ushirika (Miaka 6 badala ya mi3)
Masters Mzumbe chini

Huyu jamaa tukiri tu kuwa ni kilaza period lakini ni mpambanaji sana. Na kisaikolojia ni mlamba na mfunga viatu mzuri. Sitashangaa siku moja akija kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....

Yani ni kilaza namba moja, bachelor miaka 6 hata anayesomea Medicine kashamaliza, tatizo Makomeo alikuwa na mipango nae ya kumuandaa kwa baadae sasa ndio anajifikiria kashaaribu itakuwaje
 
Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.

The Corservator

WATU WENGINE MNAFIKIRI KWA KUTUMIA KIUNGO GANI?
 
mwenyewe amesena Alikuwa Anahitaji degree moja tu bila kujali ataipataje
 
Back
Top Bottom