Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Acheni porojo mwambie Daudi Bashite aonyeshe vyeti vyake hadharani kama hajanunua aache usanii kwenye jumba la sanaa.
 
Tunaomba akina Top na yule jamaa mla "makongoro" nao wafatiliwe. Yule Mahangale aliyekuwa n.waziri kwa JK tunasikia silale wanadai ni wa huko mpakani. Wako wengi tu, vyeti na majina nchi hii mengi ni hewa na ya kuchonga. Kwenye familia moja jina linatumiwa na mtu na kaka mtu, vyeti vivyo hivyo.

Watafutwe jamani na historia zao zibainishwe, tukaweke kambi kwenye vijiji na shuleni walikosoma tutawapata wengi. Tuisafishe nyumba yetu kwani imekuwa kama ya "Mjomba"

Nasikia kuna mteule mwingine karibu atalambishwa chumvi
 
Wakati fulani jambo halitowezekana mpaka nature iamue, mambo yakienda hivi naamini tunaelekea kuisafisha nyumba yetu vyema. Safari moja uanzisha nyingine
 
Umenifurahisha asante.
 
Salaam wadau!
Huu mjadala hadi hivi sasa umefikia patamu, humu jamvini kumekuwa na nyuzi nyingi zinazohusu hili sakata la Mkuu wa mkoa wa Dsm kwamba alitumia vyeti ambavyo siyo vyake, kuna habari iliyoandikwa kwenye gazeti la mwanahalisi kuonyesha shule alizosoma na majina aliyokuwa akitumia na kubainisha alipata daraja zero kidato cha nne!
Hoja yangu ni je kama hizi tuhuma ni za kweli na hili suala likaachwa lipite kwa kupuuza hizi taarifa, nani atakayeweza kusimama kidete na kuzungumzia vyeti feki?
Je huko serikalini siyo kwamba kwenye sekta nyeti kuna watu wanaotumia majina ya watu wengine lakin zoezi la uhakiki halikuwagusa?
Nashauri mamlaka husika ziingilie kati bila kujali cheo cha mtu, la sivyo itakuwa ni fedheha kubwa siyo tu kwa mamlaka bali kwa taifa zima
 
maelezo yao sio cheti. kama kakuonyesha cheti, tuonyeshe na sisi

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa

Nenda kagonge hodi nyumbani kwake nakuambia tena.

Humu JF kwa ajili yake watu wame ni quote mara zaidi ya mamia kwa mamia, kwa kweli Mh. Makonda ni habari nyingine kwa kweli. Na PM kibao eeeeh, kazi ipo sisemi juu ya PMs

Makonda oyeeee
 
Salaam wadau!
Huu mjadala hadi hivi sasa umefikia patamu, humu jamvini kumekuwa na nyuzi nyingi zinazohusu hili sakata la Mkuu wa mkoa wa Dsm kwamba alitumia vyeti ambavyo siyo vyake, kuna habari iliyoandikwa kwenye gazeti la mwanahalisi kuonyesha shule alizosoma na majina aliyokuwa akitumia na kubainisha alipata daraja zero kidato cha nne!
Hoja yangu ni je kama hizi tuhuma ni za kweli na hili suala likaachwa lipite kwa kupuuza hizi taarifa, nani atakayeweza kusimama kidete na kuzungumzia vyeti feki?
Je huko serikalini siyo kwamba kwenye sekta nyeti kuna watu wanaotumia majina ya watu wengine lakin zoezi la uhakiki halikuwagusa?
Nashauri mamlaka husika ziingilie kati bila kujali cheo cha mtu, la sivyo itakuwa ni fedheha kubwa siyo tu kwa mamlaka bali kwa taifa zima
Kweli wewe punguani
 
Huwa navutiwa na unavyojitoaga ufahamu ili mradi sever za Jf zijae. Keep moving on, walikuwepo zaidi yako ila sijui siku hizi walipotelea wapi.

Hahahahaaaaa ungenifahamu usingeongea hayo, vipi na nyie na kusambaza uongo wa Mheshimiwa? Hamjaugua bado?

Nitakuwa 10 yrs ndani ya JF, hahahahaaaaaa

Makonda oyeeeeeeee
 
Salaam wadau!
Huu mjadala hadi hivi sasa umefikia patamu, humu jamvini kumekuwa na nyuzi nyingi zinazohusu hili sakata la Mkuu wa mkoa wa Dsm kwamba alitumia vyeti ambavyo siyo vyake, kuna habari iliyoandikwa kwenye gazeti la mwanahalisi kuonyesha shule alizosoma na majina aliyokuwa akitumia na kubainisha alipata daraja zero kidato cha nne!
Hoja yangu ni je kama hizi tuhuma ni za kweli na hili suala likaachwa lipite kwa kupuuza hizi taarifa, nani atakayeweza kusimama kidete na kuzungumzia vyeti feki?
Je huko serikalini siyo kwamba kwenye sekta nyeti kuna watu wanaotumia majina ya watu wengine lakin zoezi la uhakiki halikuwagusa?
Nashauri mamlaka husika ziingilie kati bila kujali cheo cha mtu, la sivyo itakuwa ni fedheha kubwa siyo tu kwa mamlaka bali kwa taifa zima
Hakuna kesi ya kuingilia kati hapo.Blah blah tupu.Ungeshauri Ben Saanane atafutwe kwa nguvu zote ungeonekana wa maana badala ya kuzungumzia suala ambalo halipo
 
Huwa anafuatilia sana mijadala ktk mitandao yetu ya kijamii.Lkn ni wiki mbili leo amekuwa akikutana na kashfa imhusuyo DB.

Kwa hiyo ameniomba nimjuze eti DB ni nani huko Tz na mbona amekuwa maarufu kuliko.....?!

Binafsi sina jawabu kwake.Ila nadhani wanajamvi pengine mnalo jibu la eti DB ni nani huko Tz?
 
Mamlaka ya uteuzi imerukiwa na usaha wa majipu kiasi kwamba macho sasa hayaoni!!!!

Aibu kubwaaaaaaa
 
Kweli ni aibu kubwa. Afu kuna mijitu hata humu inatetea. Watu wameondelewa makazini kwa kutumia vyeti vya kugushi. Mkuu wa mkoa failure anapeta na vyeti vya kugushi
 
Back
Top Bottom