Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Sikiliza ndugu kufeli mtihani haimaanishi hujui kitu kuna Sababu nyingi zinazochangia kufeli.

Kuumwa kipindi cha mtihani.

Kupata matatizo ya kifamilia wakati wa mtihani n.k

Pia mitihani ya chuo inatungwa Na lecture wako wakati mitihani ya kidato cha nne Na Sita inatungwa na bodi.(necta) . Kwahiyo kwangu Mimi nasema ni rahisi kufaulu chuo kuliko kidato cha nne. Na Ndio Maana wanaofeli kidato cha nne ni wengi kuliko wanaofeli wakiwa chuo.

Na Huyu bwana bashite ninavyosikia amesoma miaka sita. Hiyo degree ya miaka mitatu.. Na pia akadisco Tena alipotaka kufanya master mzumbe.
La saba chini
Form 4 chini
Form 6 chini
Chuo cha Ushirika (Miaka 6 badala ya mi3)
Masters Mzumbe chini

Huyu jamaa tukiri tu kuwa ni kilaza period lakini ni mpambanaji sana. Na kisaikolojia ni mlamba na mfunga viatu mzuri. Sitashangaa siku moja akija kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....
 
Hii movie itaisha vizuri pale bunge litakapomweka kitimoto na kuchambua makosa yake yote, na kumwachie rais aamue. Kwa sasa aachwe azunguke nyumba zote za ibada huku akilia kama alivyokuwa akiliza binadamu wenzake.
 
Baada kuona mjadala tena mrefu humu ndani leo na mimi naona nitoe uzi wangu ili tupate kujadili wote na ikiwezekana kila mmoja awe amepata jibu sahihi.
Hii ni kutokana na swala linaloendelea ambapo mimi siwezei kukubaliana nalo wala kulikataa ila naweza kulikubali endapo tu itakuja evidence itakayoonyesha hii ni kweli, si jambo lingine nalozungumzia hapa ni swala la kusema RC wa Dar amechukua jina ambalo si la kwake, hebu tujiulize maswali yafuatayo ili tupate kujiridhisha na kuweza kumaliza utata wa swala hili.

1: Mmiliki halali wa hicho cheti yuko wapi na anajihusisha na nini?, na je ni kwanini asijitokeze au asichukuliwe ili kumaliza mzizi wa fitna badala ya kumsubiri huyo mtu anayedhaniwa amechukua jina la mtu na kulitumia ndo afanye hivyo?.

2: Endapo akijitokeza huyo mhusika (mmiliki halali wa hicho cheti) anapaswa kuulizwa maswali kadhaa
A) ni kwann alikubali jina lake litumiwe na mtu mwingine na kupelekea huyo mtu kujiendeleza kielimu na si yeye binafsi

B) kwann alisubiri watu wajitokeze na si yeye binafsi asiende kwenye vyombo vya sheria ili kuchukua hatua juu ya swala hilo?.

C) atatuthibitishiaje umma tupate kuamini kuwa yeye ndo mmiliki halali wa hilo jina?

3: kama kuna mtu mwenye ushahidi mbali na mhusika kamili ambaye bado hajatoka mbele ya kadamnasi kuthibitisha kuwa bwana Daudi Bashite alibadilisha jina na baadae akaitwa Paul Makonda ni kwanini asijitokeze na kuweka mambo hadharani ili watu wajue ukweli badala ya kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii.

4) familia ya mtu ambaye cheti chake kilichukuliwa either kwa kununuliwa au kwa kukitoa kawaida iko wapi? na kwanini hawataki kujitokeza hadharani ili kuwafungua watanzania wengi wanaoamini au wasiamini hii sinema kama ni kweli au la?

5) Walimu, wanafunzi wenzake na Daudi Bashite pamoja na Paul Makonda wako wapi? Na kwanini wasijitokeze na kutoa ushahidi kamili licha ya huu unaosadikika?

6) na je ni kwanini wasifatwe ndugu wa karibu wa familia ya paul makonda na kuhojiwa juu ya hili swala ili kupata jibu sahihi mbali na kuendelea kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii?

NB: kuna kipindi kulikuwa na maswala kama haya ya bwana Daud Bashite na ikapelekea kuandikwa kwa kitabu cha "MAFISADI WA ELIMU" kuna baadhi ya viongozi ambao mpaka leo wapo madarakani, na watu wamekosa ushahidi wa kusema kwamba wamechukua vyeti vya watu na kujiendeleza kielimu au la.
Mtazamo wangu kama ni kweli huyu jamaa alichukua vyeti ni heli yakatumiwa hayo maswali kama njia mojawapo ya kusema ukweli kuliko kusema, kuandika sana haya mambo kila siku kwenye mitandao ya kijamii na hata kwenye baadhi ya vyombo vya habari bila ya kuwa na ushahidi yakinifu na kuwafanya watanzania kuacha kufanya mambo mengine na kujadili hili jambo kila siku.

[HASHTAG]#huu[/HASHTAG] ni mtazamo wangu tu ambao utatusaidia kumaliza huu utata wa bwana Daud Bashite/Paul Makonda.
Hv uhakiki ulpokuwa unafanyika,hayo yalifanyika ambayo unataka sasa yafanyike?
 
Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.

The Corservator
Ni kwamba alibebwa. Darasa la nne kafeli mara mbili, la Saba kafeli, fomu 4 kafeli, chuo Kikuu miaka 6
 
Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.

The Corservator
Kwenye hayo maswali yako pia ongezea swali alianza elimu ya chuo mwaka gani na kumaliza mwaka gani?
 
Na mashaka sana na elim yako
Elim ya chuo ni tofauti na sekondary au advance
Chuo magumash meng yanafanyika
Mara ngap umesikia wadada wamelala na maprofesa wafaulu ??
Chuo watu wanafanyiana assignment,quiz test na sometymes mpaka UE's
Chuo watu wananunua mitihani
Vitu ambavo havipo sekondary wala advance
Kutoboa chuo ni easy sana
Ndio hivyo alibebwa. Na yule mama yake aliyeula hivi karibuni yuko sawa?
 
Wanampenda sana Mh. Makonda, hawalali, hawaogi, hawali, hawanywi etc

Wanamuwaza tu, wengi na wivu juuuuuuuuuuu
Unaweza kuwa sahihi kuna watu watakuwa wana wivu tuu
dc57d3e40cc929e29b514f4f8e6ede45.jpg

Wanampenda sana Mh. Makonda, hawalali, hawaogi, hawali, hawanywi etc

Wanamuwaza tu, wengi na wivu juuuuuuuuuuu

9f367f797c03e8672899fdb9f892e6ee.jpg
 
Wanampenda sana Mh. Makonda, hawalali, hawaogi, hawali, hawanywi etc

Wanamuwaza tu, wengi na wivu juuuuuuuuuuu
Mama kama ww ndio mama Daudi mwenyewe aliyekusudiwa kwenye kale ka comment ka instagram, basi anza kuandika maumivu taratibu. Mumeo kashakua mshukiwa wa kutenda uhalifu wa kununua cheti cha mtu na kukitumia. ikibainika, sheria itakata kama msumeno.
 
Ameshasema... Alitumia watu kupata degree.
 
akipatikana na hatia ya kutakatisha cheki, ananyang'anywa na cheti na chuo.div 0 huwezi kwenda chuo kikuu.

Aende jela miaka saba aonje kidogo japo miezi sita akirudi aje kuwasimulia akina Gambo na Mnyeti na wale wote wanapenda kulaza wenzao Mahabusu.
 
Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.

The Corservator
umeambiwa hiyo degree ya miaka mitatu amesoma kwa muongo mmoja (>10yrs)
 
Njia rahisi kumaliza huu mzozo aonyeshe vyeti vingine ni historia! Hatutaki historia aweke vyeti vyake!!!! Simpleeeeee
Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.

The Corservator
 
Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.

The Corservator
Alijiongeza. Unamjua Mtanzania pekee anayefanya kazi bill Gates? Kamuulize au fuatilia
 
Maswali mengine ya ajabu kweli!! Yaani full ubashite....!!! Kwanza aliosoma nao MUCCOBS wanasema wazi hata pale aliendeleza ubashite wake!!! Lakini hata kama angekuwa ametoka na First Class bado hiyo haiwezi kuwa hoja kwamba alifeli Form IV how come alitoka na first class!!!
 
Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.

The Corservator
Hujafika chuo mkuu, kule Kuna kudesa sana tu. Vijiji wakati wa mitihani, 4-4-2 na course work za kununua au kujipendekeza sana. Ndiyo maana Professional bodies huanzishwa. Kama ilivyo NBAA kule hakatishi mtu na degree za kibashite bashite
 
Back
Top Bottom