Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,946
- 134,015
Clouds Media kupitia kipindi cha Take One kilichokuwa kinaendeshwa na Zamaradi kiliwahi kuweka Video ya mahojiano ya Zamaradi na Wazazi wa Mh.Makonda katika mtandao wa You Tube........katika video hiyo ya You Tube moja kati ya wachangiaji katika video hiyo kwenye mtandao wa You Tube walikuwa Mahimana Joyce. Mama huyu ni mama yake mdogo wa Mh.Makonda. Katika comment yake kwenye video ya Clouds Media aliandika ''Barikiwa sana familia ya Bashite na pia dada Suzan pole sana Daangu. Mungu atukuzwe sana.kweli amekuinua''
Katika hali ya kushangaza Clouds Media Group ambao ndio walionweka video hiyo wamefuta ujumbe huo uliowekwa miezi nane iliyopita.
View attachment 477185
Wachangia wameilaumu Clouds kwa kufuta ujumbe huo kitendo kinachoamsha hasira katika kupambana na matumizi ya vyeti feki
Kwa maelezo zaidi tembelea You Tube
Invisible na Mods wote tuseme ukweli huu uzi una mahusino gani na huku mlipouleta.